Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

Siasa bhana, Sasa Mimi ninayeishi namtumbo naaminije km hyo akiba ni ya kwel
 
Huyu mtu CM 1774858 ndiye kapewa kazi ya Kufanya kampeni ya 2025 kungali mapema namna hii?

JF, mnapata ujira sahihi wa matangazo haya yanayofanyiwa kwenye ukumbi wenu huu?
 
Chadema iko mioyoni mwa Watanzania wewe!!!! Yule dhalimu mwendazake alijua kwamba Chadema ilishajifia kwa upuuzi wake wa kidikteta na kidhalimu. Yeye na MATAGA wenzio walishangaa kwa muziki wa Chadema nchi nzima kwa umati ulivyokuwa NYOMI wakati wa kampeni.

 
Pole sana mkuu,

Endelea kujifariji to,

Wenye akili wote walihama Chadema
 
Huyu mtu CM 1774858 ndiye kapewa kazi ya Kufanya kampeni ya 2025 kungali mapema namna hii?

JF, mnapata ujira sahihi wa matangazo haya yanayofanyiwa kwenye ukumbi wenu huu?
Unaomba msaada JF!!!

njooni kwa hoja ,CCM ya Sita sio mchezo,

Kila baada ya uchaguzi mmoja yanaanza maandalizi ya uchaguzi unaofuata,

So relax ndio kwanza tumeanza kazi,



#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
😍
 
Unaomba msaada JF!!!

njooni kwa hoja ,CCM ya Sita sio mchezo,

Kila baada ya uchaguzi mmoja yanaanza maandalizi ya uchaguzi unaofuata,

So relax ndio kwanza tumeanza kazi,



#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
🀣🀣Akae tu kwa kutulia...atulie tu huyo bwana
 
Wenye akili walihama Chadema kwa kuwa malaya wa kisiasa na kununuliwa? Una akili timamu wewe!? Kama Mtanzania baada ya miaka 60 ya kuwa huru unajivunia kipi? Wenye akili maccm wanahofia Katiba mpya n Tume huru ya uchaguzi. Wanahofia uchaguzi huru na wa haki. Wanapora chaguzi kupitia polisiccm na Tume FEKI ya uchaguzi. Kwako wewe hizi ndiyo akili!!! 😳😳😳
Eti jabali la siasa hahahahaha ujinga mwisho lumumba siyo humu.


Pole sana mkuu,

Endelea kujifariji to,

Wenye akili wote walihama Chadema
 
Akiba ya fedha za kigeni imeongezeka kwa Dola bilioni 1.0...

Hii kasi ya mh.Samia hii....πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…