Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Nyerere alikua na uwezo huo ila unasema sasa hivi bado hatuna uwezo huo? Au unajisemea wewe? Taasisi ina miaka 60 bado unasema haina uwezo au kuna mtu alijaza watu wake akawapa maagizo badala ya kufuata ushauri wao yeye ndiyo anawashauri wao.Mkuu bado hatujawa Wazuri upande wa Screening na Mass Gathering controlling huwezi amini kuna watu wanapata enough closer na watawala huku wakiwa na vifaa vya hatari, Kumzonga zonga ni kama kumguard ivi ila hata mimi sipendi vile lakini kwa mazingira yetu acha tu iwe ivo kwa sasa huku waki advance kufanya Screening kwa hadhira, Rais wa Marekani usiseme ana ulinzi mdogo hapana yupo na kundi kubwa la watu wasionekana
Kipindi cha Nyerere na sasa ivi ni tofauti sana kwa sasa threat ni kubwa sana afu pia kumbuka idara inaweza kuwa na mipango hii lakini kuna vitu kama dharura mfano misiba, Barack obama ali hutubia kwenye msiba wa nelson mandela akiwa ndani ya Bullet proof Box yote hii ikimaanisha hawakuwa well prepared kutokana na nature ya tukioNyerere alikua na uwezo huo ila unasema sasa hivi bado hatuna uwezo huo? Au unajisemea wewe? Taasisi ina miaka 60 bado unasema haina uwezo au kuna mtu alijaza watu wake akawapa maagizo badala ya kufuata ushauri wao yeye ndiyo anawashauri wao.
Mzee ulinzi hauko ivo, Marekani hajaamua tu kukuonesha ni kiasi gani anamlinda Rais wake ukiona behind the scene utashangaa sanaUmeona migambo pale na mibunduki?
Kumbe hatuelewani nimeongelea ile mijitu inayomzonga zonga rais na kumpumulia kwa nyuma mingine kushoto na mibunduki ya kivitaMzee ulinzi hauko ivo, Marekani hajaamua tu kukuonesha ni kiasi gani anamlinda Rais wake ukiona behind the scene utashangaa sana
Nyerere alitawala nchi yenye population gani?
Mwinyi alitawala population gani?
Mkapa nae?
Kama nakumbuka vizuri, wale jamaa wa Rufiji hawakuwepo kipindi cha hao wazee, walianza lini?
Hivi karibuni ndo tumeanza kupata teknolojia pia, hata rada, achilia za kijeshi, alinunua mkapa. Ben alinunua ndege ya masafa marefu kwa matumizi ya raisi, kabla ya hapo walikuwa wanaingia kwenye commercial airlines.
Itoshe kusema, kadiri mshahara unavyoongezeka ndivyo matumizi yanavyoongezeka.
Kwenye population nilimaanisha, ni rahisi kulinda mzingo ule ule wenye watu wachache kuliko watu wengiUna point nzuri lakini kuingiza population katika mada hii umepotoka. Haya, katika uongozi wa watu hao nchi haikuwa kuwa na wakazi waliopungua milioni 10. Unataka kusema kuwa na population ndogo inamaanisha kutokuwepo kwa watu watano wanaoweza kuua Rais? Zanziba mpaka leo iko chini ya wakazi milioni tano lakini Rais Karume aliuawa miaka 49 iliyopita!
Tuseme hivi, Afrika kuna tabia ya kupoka madaraka kwa mtutu wa bunduki. Iwe ni vikundi vya kigaidi au vyombo vya ulinzi. Kwangu ndio sababu kubwa ya ulinzi kuwa ulivo, japo ni kweli kama ulivyosema - technolojia ya kung’amua hatari bado ni ya chini sana au haipo kabisa. Bado mabavu yanahitaji ili kufanya mambo mengi Afrika.
Kila kitu tuna mlaumu Magufuli watanzania tuache chuki zisizo na msingi kisa mtu ulikuwa umpendi fulani. Maswala ya ulinzi hayako chini ya Rais. Rais uwa hana mamlaka ya kujiwekea ulinzi. Hivyo kusema Magufuli alitaka aonekane special ni kumzushia tu. Kitengo cha ulinzi wa Rais ndiyo chenye jukumu kubwa kuhakikisha ulinzi na usalama wa Rais.Nadhani hoja kubwa si ulinzi imara, ni ulinzi wa kitaalamu. Hao Marais wa Marekani ambako waliopita wengi wameuawa kuna 'intelligence' ya maana kwanza kabla kiongozi hajafika na wakati akiwa katika eneo
Nyerere alikuwa katika hatari kubwa sana nyakati za ukombozi ukizingatia akina Mondlane waliuawa hapa nchini
Ulinzi wa Nyerere ulikuwa wa kisayansi kiasi kwamba hakuwa anazungukwa na maaskari na bunduki bali usalama ulishapitiwa kabla na baada ya kufika eneo. Utakumbuka'' intelligence'' yetu ilivyokuwa nyakati hizi
Inashangaza sana , sijui kwanini alikuwa na ulinzi wa namna ile.
Ulinzi wa kuzungukwa na mabunduki na makundi ya watu ni wa karne ya 18. Ni ulinzi wa kijima sana.
Anwar Saadat aliuawa katikati ya kundi la Walinzi. Ndivyo ilivyokuwa kwa viongozi wengi miaka ya nyuma
Zama za teknolojia matumizi ya akili ni muhimu sana kuliko uwepo wa makundi yenye mibunduki
Jamaa alikuwa ana exaggerate kila kitu , alitaka tu kuonekana ni mtu special sana duniani.
Hakukuwa na sababu ya Helikopta ikiwa alisimama hovyo barabarani na kuhutubia.
Katika vitu vinavyokera ni Protokali ya kuhutubia. JPM alibadilisha namna kiongozi anavyotoa hotuba
Siku hizi kila anayesimama anaanza kuwatambua wageni waliopo. Ni makosa makubwa sana
Viongozi waliopo wanatambuliwa mara moja wakati wa kuanza kwa shughuli.
Viongozi wanaofuata wanamtambua mgeni rasmi kwa kumu address 'Mh Rais' au VP au PM
Rais anatambulishwa uwepo wa viongozi, si kazi ya Rais kuwatambua kwasababu walishatambuliwa
Nyerere, Mwinyi, Mkapa walianza hotuba kwa kutambua mwenyeji wa shughuli.
Hakuna sababu ya kusoma majina ya kila kiongozi katika jukwaa kuu
Halafu Rais atambue viongozi wakuu kwa makundi.
Mfano akimtambua waziri mkuu tayari ameshtambua uwepo wa Mawaziri.
Ukimtambua CDF umeshatambua vyombo vya ulinzi na usalama. Hakuna sababu ya kutambua TISS,Polisi n.k.
Wanaoandaa hotuba ya Rais waliangalie hili. Rais anatambua mwenyeji kisha viongozi kwa ujumla wao na wananchi. Si kazi ya Rais kutaja kila mtu aliyekuwepo. Hili alianzisha JPM na sasa linaendelea bila kujua kuna tatizo
Pascal Mayalla
Uliona ulinzi wa marais wa marekani walipokuja ziara Tanzania??Wapi kuna mibunduki ya wa kunja sura
Unajua nini kuhusu maswala ya usalama wa kiongozi wa nchi?wacheni ujuaji wabongo😅Awamu iliyopita imeleta vitu vya ajabu sana
Yani huwezi tu kujenga hoja kwenye kila mjadala unaohusu selikali bila kumnanga marehemu.Tanzania tunafanya kazi kwa kutumia nguvu
Rais Magufuli aliyelindwa kama Mungu yuko wapi? Tulinde afya, tumlinde rais kwa ndani sio kwa nje.
Hatuna mifumo wa taasisi imara
Tukiwaambia tunahitaji katiba mnabisha nchi inahitaji katiba itakayoweka miongozo ya kila jambo linalofanyika katika nchi na kutengeneza mifumo imara ya kiuongozi.
Mo dewji alipotekwa mlipiga kelele na kuhoji yeye kutokuwa na ulinzi,sasa leo unamzungumzia Rais wa nchi utafikiri ni mtu wa kawaida sana,vaa viatu vyake kwanza ndio uhoji mambo mazito kama hayo.Yaani kiingozi na msafara wa magari mia anasimama kijijini ambapo watu hawana hata manati ila sasa kazungukwa na mabunduki ya kivita zaidi ya hamsini anahutubia wanyonge unajiuliza anawaogopea nini wanyonge hawa? Angalau basi angewaamuru jamaa wafiche silaha ndani aongee na wanyonge wake kwanza duh?
Jiulize wewe mkuu
Watu wengi hapa ni wa vijiweni tu, ambao wana negative minds; hivyo maisha yao yote yana negative outcomes. Ndiyo maanaa hawaeishi kulalamika, yaani hata kulaumu maiti kwa vitu ambavyo maiti hiyo haikuhusika.Siku jf watu wakianza kuangalia vitu "in a positive way" nitakuwa kiama kimebakiza wiki!
UJINGA ni kipaji na Magufuli alikuwa nacho, sasa ukiongeza na kiburi chake ndiyo akawa HAYAWANI. Maana tayari kwa kipindi chake Tanzania ilikuwa inahesabika kama nchi ya 5 Afrika yenye Kiongozi mwenye ulinzi mkali.Hao wakina Biden na Eliza wanalindwa na zaidi ya hao watu wanaowalinda viongozi wa Africa.
Nadhani tunakurupuka sana, anapokuwepo raisi wa US au malkia, mzingo mkubwa unakuwa kwenye rada ya kiulinzi, thermal image inafanya kazi muda wote, snipers, SS, CIA, MI6, FBI, NSA, na technology za hali ya juu kulikagua eneo lote.
Hatuna hiyo teknology, hatuna huo uwezo, angalau basi apate ulinzi wa bodyshield.
Ni kweli kabisa kama Obama alipokuja Tanzania alikuwa na msafara wa watu 800 ina maana wote wale walikuwa wafanya biashara tu?Mzee ulinzi hauko ivo, Marekani hajaamua tu kukuonesha ni kiasi gani anamlinda Rais wake ukiona behind the scene utashangaa sana
Kuwa na ulinzi mkali ni ujinga au udhaifu? Ukweli kwamba alikuwa raisi wa nchi ya Tz, alikuzidi mbali mno, hata alama za nyayo zake usingeweza kuziona, achilia mbali kuzikaribia.UJINGA ni kipaji na Magufuli alikuwa nacho, sasa ukiongeza na kiburi chake ndiyo akawa HAYAWANI. Maana tayari kwa kipindi chake Tanzania ilikuwa inahesabika kama nchi ya 5 Afrika yenye Kiongozi mwenye ulinzi mkali.