Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Kwa kuwa alidhani anawindwa na maadui akajilinda na mabunduki, internet jammers, bomb detactors, helicopters na mabomu LAKINI kwa vile alikuwa Mjinga na hayawani akafa kwa kamasi za COVID19.Kuwa na ulinzi mkali ni ujinga au udhaifu? Ukweli kwamba alikuwa raisi wa nchi ya Tz, alikuzidi mbali mno, hata alama za nyayo zake usingeweza kuziona, achilia mbali kuzikaribia.
Hivyo kama unafikiri alikuwa ni MJINGA na HAYAWANI, fikiria nafasi yako wewe kwenye hiyo hierarchy ya UJINGA na UHAYAWANI.
Kama unabisha na wewe utakuwa mlemavu wa akili