JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
- Thread starter
- #101
Unasema Hitler hakulindwa kama meko? Joseph Stalin pia hakuwa na ulinzi kama meko?Ulinzi wa viongozi wa dunia wa enzi za Nyerere unataka kuulinganisha na ulinzi wa viongozi wa zama hizi?
Kama ni hivyo basi tulinganishe ulinzi wa Abraham Lincoln na ulinzi wa Julius Nyerere, siyo?
Absurd!