Tanzania tunakwama wapi? Milion 1 ya Kenya ni sawa milion 20 ya Tanzania, haya ni maajabu

Mkuu acha fikra mbovu, Pesa ya Kenya inalingana na Dirham ya UAE, je maisha ya kenya yanafanana kipi na Dubai?
 
Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?

Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Aina maana kutuzidi uchumi kama kilasiku wanalalamika maisha magumu na sisi wa tz mbona maisha yetu yanasonga fresh bila malalamiko kwahy uchumi wa kenya kimataifa ahuña thamani kama raia wao wanalalamika maisha magumu ipò hvyo
 

huo ndio uhalisia, Bongo maisha mepesi sana ukilinganisha na Kenya.
 
Mleta mada unakujua kenya? nipo ndani ya Dar buku 2 nimekusanya fruit nakula mpaka nazitizama, nenda Kenya sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…