Umekariri vibaya, naweza agiza maembe Kenya kwa Kenyan shillings. Kule China naweza pata huduma zote kwa Yuan.
Ukienda na Yuan watakukatalia?
Usishangae kuona hivyo. Tambua yakuwa USD ndio means of exchange ya biashara na miamala ya kimataifa. Dollar economy ndiyo inatawala dunia, hakuna TZS, ¥, €, £, Yuan, Russian rubble etc. BOT wanasimamia miamala yote na miamala ya kitaifa inatakiwa itumie TZS, ila miamala ya kimataifa lazima tutumie USD na BOT hawawezi kulazimisha matumizi ya TZS katika miamala ya kimataifa. Hii ni kwasababu ya dollar economy/ dollar supremacy.
Warusi wenyewe wanaangaika kuipiku dollar economy baada ya kuwa wanawekewa vikwazo Mara kwa Mara pia wanapotumia USD wanaimarisha zaidi fedha ya marekani. wamejitahidi ila wapi, na Unaijua urusi ni taifa kubwa kiuchumi, kijeshi, kiteknolojia nk... ila hawawezi kuondoa dollar supremacy sasa wewe unataka tuiondoe eti kwa sababu hatutumii bidhaa nyingi kutoka marekani, unafikiri tutaweza???
Huku TZS inaporomoka thamani kila siku ingawa BOT wanajitahidi kusimamia matumizi ya shilling katika miamala ya ndani. Ila bado wafanyabiashara wanapendelea USD kwasababu inanguvu na inaimarika kila siku kuliko TZS. Bado ukienda kwenye mabenk ukiweka fixed deposit kwa fedha ya kigeni hususani UK pounds, Euro, USD unapata interest kubwa kuliko kuweka kwa TZS ndo maana kuna watu wanasema TZS ni fedha ya madafu . Kwahiyo usishangae kuona watu wanapenda USD.
Hivi marekani from noehere wakachapisha let's say dollar trillion 100 wakasema wanaitaka Kigamboni tunawazuiaje wasiinunue? Watupe karatasi sisi tuwape ardhi
Kwani ni lazima ujue yanaenda ulaya hayo mahindi, nikikwambia nayapeleka buguruni utanikatalia?Kwani wao wanaitaka hiyo yuan?
Au kuna mtanzania ambaye yupo tayari kuuza mahindi yake kwenda ulaya kwa Tshs?
tumefafanuliwa tayari na wadau. Mayonnaise kwa wauza chipsi Wa kwetu ni ndotoMayonnaise
Tanzania inapoagiza mafuta nnje inatumia tsh au $.Kila mahali watu wana gombania dollar ya kimarekani , lakini cha kushangaza hanunui toothpick, simu, gari wala hata kahawa kutoka marekani. Vitu kama hajanunua China, basi atanunua Japan, la sivyo atanunua vya humu Tanzania. Sasa hii shobo ya kutaka dollar ni ya nini? Kwanini msitake Chinese Yuan au Japanese Yen kwenye bureau offices, au China na Japan hukataa pesa yao wenyewe?! Hivi hizo dollar mnanunuliaga nini huko marekani?
HJamani elimu ni muhimu sana.
Madhara ya shule za kujazwa ujinga yanajionesha wazi kwenye huu uzi.
Mjibu swali lake,kumkandia hakumsaidii sana.Jamani elimu ni muhimu sana.
Madhara ya shule za kujazwa ujinga yanajionesha wazi kwenye huu uzi.
PointH
Mjibu swali lake,kumkandia hakumsaidii sana.
Sasa hii comment inajibu vipi hoja ya msingi, hii ni sawa na kutibu malaria kwa panadolNadhani mtoa Uzi asaidiwe juu ya nguvy ya matumizi ya pesa ya ki marekani msiishiye kumponda jamani