Tanzania tunatumia bidhaa gani toka Marekani? Dollar ya kazi gani?

Tanzania tunatumia bidhaa gani toka Marekani? Dollar ya kazi gani?

Umekariri vibaya, naweza agiza maembe Kenya kwa Kenyan shillings. Kule China naweza pata huduma zote kwa Yuan.

Nadhani hujawahi kuagiza bidhaa nje ya Tanzania kijana.

You have to spend enough time educating yourself.
 
Usishangae kuona hivyo. Tambua yakuwa USD ndio means of exchange ya biashara na miamala ya kimataifa. Dollar economy ndiyo inatawala dunia, hakuna TZS, ¥, €, £, Yuan, Russian rubble etc. BOT wanasimamia miamala yote na miamala ya kitaifa inatakiwa itumie TZS, ila miamala ya kimataifa lazima tutumie USD na BOT hawawezi kulazimisha matumizi ya TZS katika miamala ya kimataifa. Hii ni kwasababu ya dollar economy/ dollar supremacy.

Warusi wenyewe wanaangaika kuipiku dollar economy baada ya kuwa wanawekewa vikwazo Mara kwa Mara pia wanapotumia USD wanaimarisha zaidi fedha ya marekani. wamejitahidi ila wapi, na Unaijua urusi ni taifa kubwa kiuchumi, kijeshi, kiteknolojia nk... ila hawawezi kuondoa dollar supremacy sasa wewe unataka tuiondoe eti kwa sababu hatutumii bidhaa nyingi kutoka marekani, unafikiri tutaweza???

Huku TZS inaporomoka thamani kila siku ingawa BOT wanajitahidi kusimamia matumizi ya shilling katika miamala ya ndani. Ila bado wafanyabiashara wanapendelea USD kwasababu inanguvu na inaimarika kila siku kuliko TZS. Bado ukienda kwenye mabenk ukiweka fixed deposit kwa fedha ya kigeni hususani UK pounds, Euro, USD unapata interest kubwa kuliko kuweka kwa TZS ndo maana kuna watu wanasema TZS ni fedha ya madafu . Kwahiyo usishangae kuona watu wanapenda USD.
 
Hivi marekani from noehere wakachapisha let's say dollar trillion 100 wakasema wanaitaka Kigamboni tunawazuiaje wasiinunue? Watupe karatasi sisi tuwape ardhi

Hapo ni maswala ya sera za ardhi..
 
ni uchambuzi mzuri kutoka kwa wadau. Labda nidokezee mambo mawili.
1. Dolar imetokea wapi.
Kwenye karne ya 19 kama sikosei dhahabu ndio ilikuwa bidhaa ya kuamua mwelekeo wa uchumibwa dunia. Ni ka sababu tu ilikuwa ni bidhaa hadimu. Na wamarekani walipambana kuhakikisha kuwa dola inakuwa chaguo la kwanza kupanga bei ya dhahabu. Lakini hata hivyo pamoja na kwamba dhahabu ilikuwa hadimu lakini sio bidhaa muhimu. Walivyofanya utafiti wakaona mafuta ndio kila kitu walihamishia nguvu kwenye mafuta. Leo hii dola ndio inapanga bei za mafuta. Hii ina maanishi nini. Ni kuwa fedha ya nchi inavyokuwa na uamuzi juu ya bidhaa muhimu kwa matumizi ya lazima lazima iwe na nguvu zaidi.

2. Fedha ngumu na fedha laini.
hapa ulimwengu kuna fedha nyingi mnoo. Lakini kuna zile ambazo thamani yake haitetereki (ngumu) na nyingine hutetereka kama udongo wa tifu tifu hizii huitwa fedha laini. Inapokuja swala la kibiashara hasa za kimataifa ili ufaidike na kuepuka hasara [loss on foreign currency). Mfanya biashara makini atachagua fedha ngumu. Sasa hapo kwa kutumia utashi hutafikiria vitu kama uzalendo. Utawaza je lengo la biashara yangu linatimia?

nimedokezea tu...
 
Kwani wao wanaitaka hiyo yuan?

Au kuna mtanzania ambaye yupo tayari kuuza mahindi yake kwenda ulaya kwa Tshs?
Kwani ni lazima ujue yanaenda ulaya hayo mahindi, nikikwambia nayapeleka buguruni utanikatalia?
 
[Siovyemaakumkosoa tust: 15465198, member: 43551"]Jamani elimu ni muhimu sana.

Madhara ya shule za kujazwa ujinga yanajionesha wazi kwenye huu uzi.[/QUOTE]

Siovyema kumkosoa tu! msaidie mwenzako.
 
Kila mahali watu wana gombania dollar ya kimarekani , lakini cha kushangaza hanunui toothpick, simu, gari wala hata kahawa kutoka marekani. Vitu kama hajanunua China, basi atanunua Japan, la sivyo atanunua vya humu Tanzania. Sasa hii shobo ya kutaka dollar ni ya nini? Kwanini msitake Chinese Yuan au Japanese Yen kwenye bureau offices, au China na Japan hukataa pesa yao wenyewe?! Hivi hizo dollar mnanunuliaga nini huko marekani?
Tanzania inapoagiza mafuta nnje inatumia tsh au $.
 
Nasikia kwa sasa shilling imeadimika kuliko hata dollar
 
Sio rahisi kupata majibu sahahi kutokana na maelezo ya viraza waliokwisha kukujibu hapo juu. Ila kama unataka kujua zaidi kwa nini mpaka sasa Dunia nzima inatumia Dola soma kuhusu Bretonwoods Agreements kwenye link hiyo hapo chini...

On 15 August 1971, the United States unilaterally terminated convertibility of the US dollar to gold, effectively bringing the Bretton Woods system to an end and rendering the dollar a fiat currency.[2] This action, referred to as the Nixon shock, created the situation in which the US dollar became a reserve currency used by many states. At the same time, many fixed currencies (such as the pound sterling, for example) also became free-floating.

Bretton Woods system - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Back
Top Bottom