Tanzania tunawazidi Kenya katika mambo mengi, jambo la msingi tuendelee kuheshimiana

Nimeingia kwenye mijadalayao naona wanapondana wenyewekwa wenyewe kwa kuzuiya mahindi.
 
Real data hizo Mkuu, hongera. Ni wachache humu wanaoijua Kenya ndiyo maana wanaropoka tu.

Hata hayo matuta ya barabarani wanayoyaita Mfugale au Kijazi flyover, kule ni ya kumwaga halafu humsikii hata Gavana wa County akishobokea. Huku kwetu Tz Meko anatamani Ikulu ingekuwa pale Ubungo
 
Huchagui jirani lakini kuwa jirani na Kenya ni bahati mbaya Mungu alitupa. Kenya ni washamba.. Wajuaji.. Pro wazungu.. Wana roho mbaya.. Ningekuwa mm Rais ningeimarisha uhusiano na nchi za sadc sana. Hasa Zambia, Mozambique.. Kuliko Kenya.
Umekaa kishamba sana mkuu.. Wakenya wana nafuu sana
 
Tumewazidi kuwa na raisi msomi mwenye PhD lakini lugha alio
Tumewazidi kuwa na raisi msomi mwenye PhD lakini lugha aliochukulia hiyo Phd imamtesa
Wewe fala makeneza kama taasisi sindiyo tumewazidi katika taasisi hiyo buku 7 zimekuharibu mfia chama awamu ya 6 mtayeyuka wengi akina pangu pakavu tia mchuzi
 
Uwenda ndio sera yetu kwa sasa. Hatujuwi wanayo juwa wao!
 
Mkuu, wewe unewahi kutembelea vijiji vya Kenya na kuona raia wa kawaida wanavyo ishi? Aibu tupu, majisifu ndio mengi kuliko uhalisia.
Kiukweli uchumi wa Kenya uko juu na wala tusipepese macho. Jiulize kwa nini Kenya ina makampuni zaidi ya 200 yaliyowekeza Tanzania na je Tanzania wana Makampuni mangapi yaliyopo Kenya? Nchi zote za Afrika Mashariki ni soko la bidhaa za Kenya. Uchumi haudanganyi.

Angalia takwimu za bajeti za Afrika Mashariki kwa mwaka 2019/20; Kenya Tsh 66.8 Trilion, Uganda Tsh 23.6 Trillion na Tanzania 30.4, Rwanda Tsh 6.8 Trilion, Burundi 1.8 Trilion na South Sudan Tsh 3.5 Trillion (ambayo jumla ya yote ni Tsh 66.1 Trilion). Picha unayopata ni kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko nchi zingine zote 4 za Afrika Mashariki yote zikiwekwa pamoja.
 
Unataka kusema chokochoko za Wakenya zimeanza leo?
 
Nimekuelewa bwashee!
 
Tuna bandari, treni ya mwemdokasi, ndegeulaya, mlima Kilimanjaro, ziwa Victoria, mbuga za wanyama na pesa yetu iko juu yaani shilingi moja yetu sasa na shilingi zaidi ya ishirini ya Kenya, hapo ukiacha bidhaa lukuki toka viwanda vyetu kwenda Kenya.
 
Tuna bandari, treni ya mwemdokasi, ndegeulaya, mlima Kilimanjaro, ziwa Victoria, mbuga za wanyama na pesa yetu iko juu yaani shilingi moja yetu sasa na shilingi zaidi ya ishirini ya Kenya, hapo ukiacha bidhaa lukuki toka viwanda vyetu kwenda Kenya.
Tupe na ya kwenu Malawi!
 
Kulikoni kuchanganya lugha ni bora ukatumia kimachame tutakuelewa tu bwashee!
 
Kauli kama ipi iliyosababisha Kenya kufanya hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…