The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Ndipo fikra zako zilipoishia hapo?Yani inatakiwa buku 2 ziwe Mb 100 tu.. Watu waingie mitandaoni kufanya mambo ya maana tu...
Mara hii nishakuwa msukuma?? Nyumbu mnafadhaisha sanaMwezi huu wote wasukuma mmevurugwa, na mtabugia madikropa na paracetamol kumikumi washamba nyinyi
Mambo ya maana hata kama yanahitaji MB nyingi hutaonea hasara kupoteza hata elfu 10 kufanikisha..Pumbavu wewe kweli nani kakwambia Mambo ya maana yanahitaji MB chache
Sawa, sasa vifurushi vimeshushwa kwa kunitukana?? πππππwe kula kulala ,ujui chochote shoga angu
Wewe ulikuwa unatumia Internet kufanya nini? Nijibu hilo swali tuendelee na mjadala
Mtarudi nyie mliekuwa mnamuona magufuli mungu wenuSawa, sasa vifurushi vimeshushwa kwa kunitukana?? πππππ
Safari hii nasema ntarudi vijijini kwenu kugema ulanzi
Kwahiyo wewe matumizi yako wastani ni MB au GB ngapi kwa siku??
- Kusoma (academic materials): kujifunza kupitia majarida mbali mbali nilipokuwa chuo na baada ya kuhitim
- Kujifunza mambo ya iman: kufatilia maubiri online, masomo ya dini YouTube, na kusoma majarida ya dini online....
Rubbish.. sibishani na takataka inalilia mb 800 za buku..Mtarudi nyie mliekuwa mnamuona magufuli mungu wenu
Nikijibana sana kama 500mb tuKwahiyo wewe matumizi yako wastani ni MB au GB ngapi kwa siku??