Kingfish23
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 490
- 485
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba hiyo list nami nione[emoji23]Kweli,kwenye list ya top 1000 ya watanzania wenye ukwasi nimeona watumishi kama 800 na wote sio wanasiasa..
hah number yako ninayo mtumishi nitakutumia whatsappNaomba hiyo list nami nione[emoji23]
Mkuu wakati unatupa nasaa sio mbaya ukatupa na connection pia mtaani hali sio shwari kutoboa bila kushikwa mkono ni mtitiMkuu mkuu mkuu nimeita mara tatu ukiijua falsafa ya kujiajir ndio maana arabs and asians people hapa Tanzania NDIO wameshika uchumi wetu....
Wengine mmechelewa sana kufunguka hii ni sababu za kijographia na malezi na udumavu wa fikra Asante Mungu kukutana na Hawa ma Guru naijua industry vyema....
Na degree mbili kabatini nazitoaga naziangalia zinarudi kabatini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]nataka mwakani niongeze ingine wengine kusoma ni passion
NB:
Neno Moja Kwa young generation fanya kile unacho penda na kukiamini kama mpira cheza,kama music fanya kama bussiness fanya Kwa bidii.....
Mm kiinua mgongo changu nakisaka Leo tuna pambania kombe ajira ni utumwa ajira ni Kwa watu waoga wa maisha wanafanya sababu ya security perpose...
Hapa nazungumzia zile ajira za watoto wa masikini nieleweke ivyo[emoji4][emoji4]
Cha ajabu sana ni kwamba matajiri wote duniani wamejiajiri, sijawahi kusikia tajiri aliyeajiriwa serikalini... [emoji23] [emoji23]Aliyeajiriwa serikalini mkopo anapata kwa masharti nafuu na KWA haraka aliyejiajiri hawezi pata mkopo kibwerere.
Wewe unayefungua biashara mpaka jumamosi na jumapili ili uuze uingize hela na muajiriwa anayepumzika weekend nzima, nani yupo kwenye slavery machine?Govt slavery machine ipo kwaajili ya waoga wenye malengo hawadumu huko.
Uwe unaelewa kwanza post inazungumzia nini ?Kweli,kwenye list ya top 1000 ya watanzania wenye ukwasi nimeona watumishi kama 800 na wote sio wanasiasa..
Matajiri wa duniani Hawajajiajiri... Wameajiri watu. Know the difference.Cha ajabu sana ni kwamba matajiri wote duniani wamejiajiri, sijawahi kusikia tajiri aliyeajiriwa serikalini... [emoji23] [emoji23]
Soma ulichoandika.Wewe unayefungua biashara mpaka jumamosi na jumapili ili uuze uingize hela na muajiriwa anayepumzika weekend nzima, nani yupo kwenye slavery machine?
Hicho unachoita mselekeko kiuhalisia ni kwamba watu huko ni wazembe, hawafanyi kazi kwa ufanisi, wezi na wategeaji. Ikitokea serikali ikaja na mfumo mpya wa watu kufanya kazi kwa masaa na clear daily targets, kuajiri kwa sifa na elimu stahiki, basi ujue wengi watakimbia na kufukuzwa kazi. Sasa hivi mtu anaingia kazini saa 1.30 asubuhi anawahi kusaini kitabu but ukifuatilia muda productive alioutumia kwa siku pengine 2 hrs tuu...Saana yaani serikalini haijalishi upo wapi ila kuna mseleleko sana pia kuna uhakika wa mambo tofauti na kujiari.. na ndio maana kupata kazi huko ni mtiti mwingine
Hivi watanzania milioni zaidi ya 60 wanaweza kweli kuajiriwa na serikali?? Hivi unajua mpaka sasa watanzania walioajiriwa na serikali hawazidi hata milioni 3??Kujiajiri inahtaji roho ngumu Sana , juhudi na uvumilivu , ni kweli Kwa miaka 15 ya Kwanza aliyeajiriwa atakula bingo Ila baada ya hapo hampati aliyejiajiri hata robo Labda aliyejiajiri awe Fala
Anaweza kufukuzwa kazi anytime pia..Aliejiajiri ana option ya kufilisika au kua tajiri alieajiliwa yupo constant
[emoji23] [emoji23] na ukiongezea huwa wanajisahau sana na kubweteka wakiwa kazini...Unawazungumzia Waajiriwa hawa Ambao Mei mosi Wanajidharirisha kwa kuvaa Picha za wanasiasa Uchwara na kubeba mabango ili Waongezewe Walau Elfu hamsin Kweny mishahara Yao?
Au unawazungumzia hawa Waajiriwa ambao Wakishastaafu Wanapata Kazi mpya ya Kufatilia Pensheni,
Mi huwa nacheka tu Unakuta muajiriwa anatukana humu ngoj ifke wakt amestaafu anafatilia pensheni,
Mbona utamuonea huruma maan nawakutaga kweny yale mabenchi ya ofisi wakifatilia pensheni zao wamekaa mpk wakinyanyuka Makalio yamejichora Kwenye Benchi,
Aisee Kuajiriwa Hapana ni Mateso.
Wakati naanza kazi serikalini huko Morogoro watu kama akina Aziz Abood walikuwa wakiuza duka na baba yao, akina Makundi (BM) walikuwa maduka ya kawaida kabisa, na wengine wengi tuu... Lakini nikiangalia walipo sasa daaah aiseeee.. Ila hata biashara au kujiajiri kama huna nudhamu hutoboi...Hata aliyeajiriwa anakua pia. Kuna annual increment (japo ni ndogo), kuna kupanda cheo.. kuna kuhama taasisi kuhamia taasisi inayolipa zaidi etc.
Hawa walio ajiriwa serikalini ni wanyonyaji wakubwa. Ndio maana bado Tanzania kuna umasikini mkubwa. Sababu wakulima, wafanya biashara wakubwa na wadogo, hata wanaosota bila kipato wote wanakamuliwa na hawa waajiriwa serikalini.Mfano alieajiriwa serikalini na aliejiajiri wote wanaingiza milioni 1 kwa mwezi?
1. aliejiajiri anaondoka kwake asubuhi kurudi hadi usiku, alieajiriwa serikalini anaondoka asubuhi anamaliza kazi zake jioni na bado huko ofisini kuna muda anapata kufanya mambo yake.
2. aliejiajiri anaweza asizijue weekend lakini alieajiriwa serikalini anapumzika jumamosi na jumapili.
3.aliajiajiri hana sikukuu za kiserikali, alieajiriwa serikalini haendi kazini idi (hata kama ni mkristo), mwaka mpya, meimosi, sabasaba, siku ya Nyeyere, siku ya uhuru, mapinduzi, nanenane, idi, pasaka, n.k
4.aliejiajiri akiumwa inabidi ajikaze aende tu lasivyo kipato kinaweza kutikisika, alieajiriwa serikalini akiumwa anatoa notisi.
5. aliejiajiri hana likizo, muajiriwa ana likizo siku 30 kila mwaka
6. aliejiajiri anaweza kufilisika endapo duka likiungua, akiumwa kwa muda mrefu, akiibiwa, n.k. alieajiriwa serikalini nafasi yake na mshahara wake ni uhakika
7. Aliyeajiriwa serikalini mkopo anapata kwa masharti nafuu na KWA haraka aliyejiajiri hawezi pata mkopo kibwerere
8. alieajiajiriwa na serikali ana muda mwingi wa kuwa na familia yake kuzidi aliejiajiri. ikifika jioni, weekend, sikukuu za serikali, likizo, n.k. ana muda wa kutosha wa kuwa na familia yake
9. Alieajiriwa serikalini anaweza kuwa ma biashara zake za kumuongezea kipato, hizi biashara zinaweza kurithiwa na watoto wake.
Mwisho niseme Kujiajiri watu wanameki bingo lakini ni wale wenye roho ngumu sana, juhudi, kujibana na uvumilivu, kinyume na hapo kukua ni kazi sana, mara kumi heri mtu alie serikalini.
Aliyejiajiri akumwa utamuonea huruma hata Bima ya Afya hanaMfano alieajiriwa serikalini na aliejiajiri wote wanaingiza milioni 1 kwa mwezi?

Kanuni ni ile ile tu kama huwezi kuperfom kwa nidhani ukiwa umeajiriwa hutopata hiyo nidhamu ukiwa umajiajiri never.Wakati naanza kazi serikalini huko Morogoro watu kama akina Aziz Abood walikuwa wakiuza duka na baba yao, akina Makundi (BM) walikuwa maduka ya kawaida kabisa, na wengine wengi tuu... Lakini nikiangalia walipo sasa daaah aiseeee.. Ila hata biashara au kujiajiri kama huna nudhamu hutoboi...
Ni kweliHawa walio ajiriwa serikalini ni wanyonyaji wakubwa. Ndio maana bado Tanzania kuna umasikini mkubwa. Sababu wakulima, wafanya biashara wakubwa na wadogo, hata wanaosota bila kipato wote wanakamuliwa na hawa waajiriwa serikalini.
Ufanisi hakuna, ndio kizuizi cha maendeleo, rushwa mbele, na bado kila leo wanalia nyongeza na kupandishwa vyeo.