Tanzania visiwani waomba msaada wa walimu toka Nigeria, wakati Bara kuna walimu hawana ajira

Tanzania visiwani waomba msaada wa walimu toka Nigeria, wakati Bara kuna walimu hawana ajira

Yaani sijuwi watafundishaje maana Ningerians hicho kiingereza chao ni utata mtupu....bora hata waongee kiyoruba au Kiigbo tu maana hawaeleweki wanaongea kitu gani.
Hops! wanakiingereza zaidi ya unachokisikia kwenye filamu zao.
 
Waachen WaZanzibar Wajiamulie Mambo Yao.. Muungano usiwe kero..
Sisi tusubir mgomo wa Waalim Kenya.. Huenda tukabahatika.. pia msisahau kaulimbiu ya HAPA KAZI TU maana siku hizi mmeipotezea..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pamoja na uzi wako mzuri sana lakini unakosa uhalali kwa vile kiukweli kabisa hakuna nchi iitwayo Tanzania visiwani , ZIKO NCHI 2 TU ZILIZOSEMEKANA KUUNGANA , MOJA ILIBADILI JINA NA KUITWA TANZANIA BARA KUTOKA JINA LAKE LA ASILI TANGANYIKA , NA NYINGINE IMEBAKI NA JINA LAKE LA ASILI LILELILE LA ZANZIBAR .
 
Hops! wanakiingereza zaidi ya unachokisikia kwenye filamu zao.

Wanazungumza Pidgen English, kiingereza kilichochanganyika na lugha za kibantu. Hata wakizungumza kiingereza ni kama vile wanaongea lugha zao za asili maana hawaeleweki hata kidogo. Si walimu wala viongozi wa serikali. Hapa serikali ya Zenji imekurupuka tu, naona walidanganywa na sinema zao ambazo waigizaji wengi wanatoka Ghana na nchi nyingine.
 
1)Ni PIDGIN siyo Pidgen
2)Kuna usemi kuwa "Mtoto asiyetembea usema mama yake tu ndiyo anajua kupika"
 
watakuwa wanatoka maiduguri na hii ni dalili ya boko haram kuanzisha tawi Tanzania.
 
Mpaka wakolomije waondoke kila MTU atakuwa anaongea lugha yake
 
Hawa ndugu zetu wa Zanzibar wanataka tu kuniumiza kichwa mimi na Mwalimu wangu hapa JF, Nguruvi3.
 
Back
Top Bottom