MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Ndio hivyo Mkuu,Ninavyoiona Zanzibar na "opportunities" walizokuwa nazo kama nchi, ilikuwa haina haja ya wao kuinyeyekea Tanganyika...
Zanzibar na Tanganyika ni nchi huru mbili zilizoungana na kuunda Tanzania,Zanzibar ina katiba yake ina Bendera yake,ina wimbo ya Taifa,ina jeshi lake,ni nchi iliyokamilika,Cha kushangaza Wazanzibari wanapokwenda kwa mshirika wake katika Mungano yaani Tanganyika wanakwenda kimakundi badala yakwenda kama Nchi..
Si unakumbuka mchakato wa rasimu ya katiba mpya katika bunge la JMT ,Wanajibagua wenyewe ili wapate kutawaliwa "divide and rule",na ndio maana nimesema usiwalaumu viongozi wa Tanganyika walaumu wazanzibar kwani wanajitakia wenyewe,watawala wa Zanzibar, CCM Zanzibar ndio janga la Zanzibar
Zanzibar wana Bandari na Mafuta na wamekaa sehemu nzuri sana kimkakati,
Wamekaa karibu na Suez Canal, Ghuba ya Ormuz na Ukanda wa mfereji wa Malacca.
Wakijitoa kwenye huu Muungano na wakapata kiongozi Makini Tanganyika itabaki inashangaa tu.