bopwe
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 1,776
- 1,464
Safi Zanzibar. Na sasa ni kujiondoa kwenye mfumo wa mitaala ya Necta.
Bora tuunde taasisi yetu ya mitahani na mitaala .
Na pia ikiwezekana tujiunge na Cambridge na IB examination board kuondokana na haya necta inayo fanya kazi kisiasa na kuua elimu.. hayo tuwaachie wenyewe wanopata Div.One lakini ukimuuliza uliwahi kutumia oxygen ana kujibu hataki hata kuiona