Tanzania vs Benin, African Qualifiers - FIFA World Cup Qatar 2022

Bora hata dakika za mwisho, hawa wazee akina Bocco na Samatta walikuwa wanarukaruka tu
 
ngoma hii ni draw kuna mawili 0-0 au 1-1

asilia 97 tanzania ilitakuwa kurudisha maana waliongoza kwa corna 10 na attack kubwa.

ilitakiwa 1-1 sijui walishindwa nini
 
Ndio maana kwa mchezaji wa daraja hilo ni rahisi sana kuibadilisha half chance kuwa chance kamili
 
Amecheza Sheffield United pia
 
Nilivyoona back pass nyingi tokea game imeanza, nikajua lazima tupigwa.
Shida sio back Pass Mkuu, ni game tu imekuwa katili upande wetu

Angalia full chances tulizo kosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…