Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Hakuna utulivu mbele, kila mchezaji anataka awe shujaa wa mechiStars shida iko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna utulivu mbele, kila mchezaji anataka awe shujaa wa mechiStars shida iko wapi?
ngoma hii ni draw kuna mawili 0-0 au 1-1
KariaStars shida iko wapi?
Chini ya Karia ligi kuu imepeleka timu 4 mashindano ya caf, nikumbushe raisi yupi wa tff aliyefikia hayo mafanikio.Karia
Ndio maana kwa mchezaji wa daraja hilo ni rahisi sana kuibadilisha half chance kuwa chance kamilianatwa Steve Mounie anacheza Brest ligi kuu ya Ufaransa na kina PSG,,amewahi pia chezea Huddersfield ya England bila kusahau Nimes na Montpellier zote za France,,ni bonge striker hacheki na kima kama ndugu zetu wanaopoteza nafasi za hovyohovyo tu saizi wanajilaumu
Striker ambaye nafasi chache tu anazitumia kukufungatypically
Amecheza Sheffield United piaanatwa Steve Mounie anacheza Brest ligi kuu ya Ufaransa na kina PSG,,amewahi pia chezea Huddersfield ya England bila kusahau Nimes na Montpellier zote za France,,ni bonge striker hacheki na kima kama ndugu zetu wanaopoteza nafasi za hovyohovyo tu saizi wanajilaumu
Mkuu acha masihara basiKama wachezaji ndiyo hawa wanaofika nchini wakiwa na miaka sita ndiyo wanazaliwa usitegemee lolote
Shida sio back Pass Mkuu, ni game tu imekuwa katili upande wetuNilivyoona back pass nyingi tokea game imeanza, nikajua lazima tupigwa.
Kibu Denis mbona anawatoa sana povu wakati ni wa kawaida tu?Kama wachezaji ndiyo hawa wanaofika nchini wakiwa na miaka sita ndiyo wanazaliwa usitegemee lolote
Shida sio Povu, tatizo linaanzia kwenye hadi kumuombea uraia ili aisaidie Taifa stars halafu ni mediocre playerKibu Denis mbona anawatoa sana povu wakati ni wa kawaida tu?