Tanzania vs Malawi, kutoka CCM Kirumba 29/3/2015

Samata bana, hata kama uko uwanjani unacheza unaweza kujikuta na wewe unakuwa kama shabiki na kubaki kuangalia jinsi anavyowachambua mabeki.
 
Mashambulizi yanaonekana kwa mbali kwa upande wa tanzania.
 
Mwinyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiback pass za nin?
 
Dakika ya 65, bado tz hatujapata, tuendelee kuomba tupate japo droo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…