Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli kabisaMalawi nusura wapate la pili hapa
Ngassa anaingi nafasi ya ChanongoKuna mabadiliko ya wachezaji kipindi cha pili?
Ngassa anapiga jaramba
Mashambulizi yanaonekana kwa mbali kwa upande wa tanzania.
sijamuona Msuva benchiHaitoshi waingie Msuva na Domayo.
hivi ngassa huko stars huwa si chaguo la kwanza?!
sijamuona Msuva benchi
Duuh !!!Dak ya 63, tanzania 0-1 malawi.
ok!nilitaka niulize tena ila ngoja niishie hapo!Ndiyo, chaguo la kwanza ni Haruna Chanongo.
Msuva hayupo kwenye kikosi cha stars.Haitoshi waingie Msuva na Domayo.