stella1975
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 870
- 1,249
Hili jambo ni la kisayansi linahitaji sulihisho la kisayansi sio 'religious fanatism'.....hapo mkuu kachemsha kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
CHukua tahadhari hapo ulipo. Corona haichagui mkoaWapo mikoa gani tuchukue tahadhari huku?
Unathibitishaje hili?LICHADI,
Mkuu serikali siitetei kwa hili hata kidogo lakini hapo kwa wachina unapaswa ujue ukweli kwamba hawakuleta maambukizi.
Maambukizi nchini mwetu na bara la Afrika yametokea nchi za magharibi kwa mabeberu.
Wana lipi? Tuanzie kwa bwana mkubwa Trump, unajua kuwa kabanwa sana kwa kisingizio kashindwa handle hii ishu vizuri?WA NCHI ZINGINE WANALAKUJITETEA SIYO KAMA HUYU
People want to defy the odds...Hata ukiniua hakuna sababu ya shughuli zingine kusimama. Death rate yake bado ndogo sana, watu watakufa tu kwa corona na magonjwa mengine it's the circle of life.
Una akili ndogo sana chiefUnajua mtu wanaweza kuwa anamlaumu rais kwa kutofunga mipaka, pengine hajui maana ya mipaka na pengine anadhani mipakani kuna ngome, au nchi yetu imezungukwa na ngome so mipaka ikifungwa tutakuwa ndani hakuna kutoka wala kuingia, nadhani na wewe ni miongoni mwa hao. LICHADI,
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay, hulazimishwi kuichukua, ngoja wenzako waioneOnly WHO can recommend on newly available appropriate measures against the spreading of Corona viruses
Mpaka saa 5 kwa taarifa ya serikali ila huwezi jua wamekufa wangapi mpaka sasa mfano kwa nayemjua Mimi sijui kama yupo katika hii list
Sent using Jamii Forums mobile app