PEKU LA UNGO
Member
- Feb 17, 2020
- 66
- 48
Hujawahi muona akiwa amevua ? Hali ni mbaya unafikiri anakumbuka tena kujistiri kichwa chake.
Kuna mtu wangu nimempoteza sasa wewe endelea kuamini kama mwenzako anavyoamini
Huko kwa wazungu wanakokufa hawasali?Hao watu walitumika tu kuileta hiyo dini,alieleta dini duniani ni Mungu,shikilia hapohapo kwa Mungu wako mpaka akubariki,only if you have faith...
Soma vizuri uzi huu utaonaWametoka sehemu gani ya Tanzania naomba ufafanuzi zaidi.
Kijana kabisaana umri gani ni mzee au? alikuwa ana magonjwa mengine?
Hittin Blunts and Bustin Nuts
Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni.
Juzi amefariki mtu nayemjua kabisa na huu ugonjwa sawa endelea kusema wana over react
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mapadre hawana dhambi mkuu,tuache kubishana,vaa mask,nawa mikono,piga magoti umuombe Mungu atuepushie hili janga...Huko kwa wazungu wanakokufa hawasali?
Unajua Italy wamekufa ma padre wangapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
mzee huko biashara zinaendelea?au maduka yamefungwa?
Hittin Blunts and Bustin Nuts
Uzuri wa Mwenyezi Mungu huwa hapotezi muda wake Kusikiliza Maombi ya Kinafiki kutoka kwa Mwamba wa Unafiki nchini.