Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
, Labda mpaka kiongozi mkubwa afe kwa huo ugonjwa ndo watachukua hizo hatua
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Corona sio kifo, na wanao kufa wengi ni wale wenye matatizo mengine au tatizo la white cells.
Dar wengi vijana na wapo fiti..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu ila religious belief zina wakati wake sio wakati huu, let us be serious .....tena hii Tanzania ni republican state sio theological state kama Saud arabi serikali haina Dini......sema tu JPM hujitambui wala hajui masuala ya dini mwisho wake ni upi? Is a right person in the wrong placeHiyo sayansi imeumbwa na Mungu, kama inaweza kujitegemea mbona wanasayansi wanashindwa kuvumbua chanjo ya corona?.
Tuachane na hivi viburi vya elimu zetu.
DahUzuri wa Mwenyezi Mungu huwa hapotezi muda wake Kusikiliza Maombi ya Kinafiki kutoka kwa Mwamba wa Unafiki nchini.
Maambukizi ya ndani kwa ndani yanasambaa kwa kasi ya 6G.Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema idadi hiyo imefikiwa baada ya Wagonjwa wapya 53 kukutwa na #COVID19
Wagonjwa wote ni Watanzania ambapo 38 wanatoka Dar; 10 wanatoka Zanzibar; Kilimanjaro 1; Mwanza 1; Pwani 1; Lindi 1 na Kagera 1
Hujakatazwa kujilock down
Hili jamaa sijui vipi ?! Unashabikia nini , Mungu asaidie uonje ladha ya Corona . Uje ulete mrejeshoTunachukua tahahadhari huku tunachapa kazi
Wanaotaka tuwekwe lockdown watatulisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kwanza tumeanza kuombaMaombi ya leo hayajasaidia?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Acha uvivu kapige kaziMbona wanaoongezeka ni wengi zaidi ya wanaopona..hii kitu sio ya kuichukulia poa.lazima mapambano yaanzie family level to national level