Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Corona sio kifo, na wanao kufa wengi ni wale wenye matatizo mengine au tatizo la white cells.


Dar wengi vijana na wapo fiti..

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii ni namna mpya ya kijifariji?

5% - 10% ya wagonjwa wote wanakufa.

Wanayo nafasi kubwa ya kupona kama maambukizi yamegundulika mapema sana. Yaani yanapogundulika kabla ya mgonjwa kuanza kuonyesha dalili za wazi.

Kumbuka kwetu wanaogundulika ni waliougua haswa.

Busara imekuwa ngumu kueleweka - katangulizwa Mungu mbele.

Acheni utani na mambo ya Mungu huyo ni wa wote wakiwamo kina Azory, Ben, Lissu na hata na wengi wengine ambao hapa hapa chini ya jua hawakutendewa haki.
 
Hiyo sayansi imeumbwa na Mungu, kama inaweza kujitegemea mbona wanasayansi wanashindwa kuvumbua chanjo ya corona?.

Tuachane na hivi viburi vya elimu zetu.
Sawa mkuu ila religious belief zina wakati wake sio wakati huu, let us be serious .....tena hii Tanzania ni republican state sio theological state kama Saud arabi serikali haina Dini......sema tu JPM hujitambui wala hajui masuala ya dini mwisho wake ni upi? Is a right person in the wrong place

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Mtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba" Wahenga said.
 
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema idadi hiyo imefikiwa baada ya Wagonjwa wapya 53 kukutwa na #COVID19

Wagonjwa wote ni Watanzania ambapo 38 wanatoka Dar; 10 wanatoka Zanzibar; Kilimanjaro 1; Mwanza 1; Pwani 1; Lindi 1 na Kagera 1

Maambukizi ya ndani kwa ndani yanasambaa kwa kasi ya 6G.

Naweni mikono
Takaseni mioyo yenu la sivyo hali itakuwa tete kuwateketeza

My life is mine to remember
 
LICHADI,
Mna uhakika gani kama aliye tweet watu wasali ni yeye? Unaweza kukuta mzee wa watu yupo aisiyuuuu huko huko maporini alipojificha.

My life is mine to remember
 
Mzee rudi town bac tupambane na Corona kwa pamoja!!
 
Doctors naomba mnielimishe kidogo kuhusu "Confidentiality" ya mgonjwa, hivi kutaja jina mfan. Joseph anaumwa kaswende hapo unakuwa umevunja maadili bila kupingwa na inapokuja pale unataja kuwa wagonjwa 10 wamekufa kwa kaswende bila kutaja majina yao nayo ni kuvunja ethics za kitabibu?
 
Back
Top Bottom