Tanzania: Wakuu wa Majeshi na viongozi wengi wakuu wa serikali sio wazalendo. Kati ya wazalendo ni hawa hawanufaiki lolote kipesa kwa wanayofanya
1. Huwezi kuwa Mzalendo na mwizi wa kura halafu ukajiita mzalendo.
2. Huwezi kuwa Mzalendo na kuuwa vijana bila kufuata sheria
3. Huwezi kuwa mzalendo na kuweka watanzania ndani wasio na makosa zaidi ya kutofautiana kisiasa
4. Huwezi kuwa mzalendo na kutokuheshimu mahakama
5. Huwezi kuwa mzalendo na kuteka watanzania na hata kuwa uwa