nchi za wenzetu bado matangazo yao ya usafiri iwe basi ama train wanaonyesha namba ya basi ama train husika,bongo kwishaa kabisa

Mbona hapo hamna cha namba za mabasi wala nini. Hizo ni MILES , umbali kutoka iDodomya
 
Mi Nimesikitishwa sana na Tanganyika Pakers.. Ukizingatia magofu yake bado yapo.Anyway sasa kimekuwa kituo cha ufufuo na uzima.. Not bad!
 

Iyunga mbona waasia walikuwa wengi kuliko waafrika? au ilikuwa private school?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…