Nakumbuka miaka hiyo kulikuwa na kauli mbiu ambazo Baba wa Taifa alipata kuzitumia na hata akaandika vitabu vidogo kuhusiana na kauli mbiu hizo, nazo ni Uhuru ni Kazi na Uhuru na Kazi. Kulimbiu hizi hata leo bado zina mantiki kubwa sana.
 
Mkuu safi sana hizi picha ni kipusa,ni muhimu kuwa na historia na pia ni muhimu kukumbuka tulikotoka na si tuendako tu
 
maeneo mengi ya kizamani yamekuwa kama yametelekezwa tu..! hamna ukarabati wa majengo wala nini!
 
we umenikumbusha mbaliii bado mavazi yetu yale ambayo sasa ni fashion ya maana to.
 
mnara wa Bisimini- it was called so,because previously there was a statue of a german general Wissman. The locals could not pronounce the name right and called it Bisimini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…