Baadhi ya majengo bado yapo Dar. Lakini miaka 10 ijayo yote yatakuwa yamevunjwa kabisa. Yatabaki hayo makanisa tu ya St. Albani, St. Joseph na Azania Front.....! Tumeshindwa ku preserve history!
 
Umofia Kwenu Wana JF,

Leo tunasherekea miaka 55 ya Uhuru wa Tanganyika.Nina mawazo tofauti na kitendo cha magufuli kuruhusu kufanya sherehe wakati mwaka jana alizuia na fedha akazipeleka kwenye barabara.

Tulikuwa tunalalamika sana kwamba mzunguko wa fedha hakuna hii inatokana na serikali kuondoa hela kwenye mzunguko na hivyo sector zinategemea serikali katika kufanya kazi nyingi zimeathirika.Nina imani watu wameshauri raisi kuhusu hiyo hali naona ameanza kuachia safi sana.

Nina imani hiyo bilioni 4 imeingia mtaani na imeenda kwa watu wengi kwakuwa majeshi,watu wa protocol,vikundi vya ngoma etc vimepata mgao wao,tofauti na mwaka jana bilioni walipata watu wachache tu waliopata tenda ya ujenzi kwahiyo walifaidika wao na familia zao tu.

Leo Thread ina Miaka minne Tangu ianzishwe hapa JF...Tijikumbushe Kidogo.

 
Hizo picha ni baada ya uislam au kabla uislam haujaondoka? Mohamed Said πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
MKUU UMENIKUMBUSHA JENGO LA MWALUGANJE SASA HIVI NI VODA SHOP DODOMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…