nimesota
Senior Member
- Jan 16, 2015
- 123
- 53
JK kama Riziwani. Ila huyu wa kulia anafanana sana na Nape. Ni nani?!
Prof mwandosya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JK kama Riziwani. Ila huyu wa kulia anafanana sana na Nape. Ni nani?!
Raha kuiangalia hii picha haikuwa issue. Siku hizi wakiacha wazi hivi sijui itakuwaje?Young native dancers,Kondoa 1950![]()
Haki ya nani hayo matiti ya huyo baby yanaweza kukutoboa kifua. Hakuna cha sidiria wala nini. Yaani kako fresh hayajatumika kabisa! Siku hizi katoto kana miaka 14 matiti yameshaanguka![]()
Watoto wa Longido wa mwaka 1936.
daah! miaka yote iyo nilikua bado nipo kwenye zipu
Wazee wetu wakila bata...inaonekana walikuwa wametoloka shule na mama zenu