Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enzi hizo bito ndio mtindo. Hivyo vyeupe kama magunia yamepangwa barabarani ni nini?Hahahaaaaaaaa Du Aise safi sanaaaa mwanaaaaaaaaa!!! Clock tower hapo kuna Shirika la Posta tulikua tunaenda kuchukua hela tukipata TMO school
![]()
Long time ago! Hapa kuna aliyehai kweli?Walimu wa Kike wa Iringa Mjini Mwaka 1972
View attachment 74268
Hii imenikumbusha mbali Jabali la Muziki Marijani Rajabu - R.I.P.Moja ya Diamond wa enzi hizo. Love the heading.
![]()
View attachment 74223
Hapa Ni Tanzania Elimu Supply(TES) Enzi Hizo 1947
View attachment 74224
Mabasi ya Ekarusi Kumbakumba kwa nyuma Azania Front
View attachment 74225
Tanganyika Parkers Enzi Hizo 60s
View attachment 74226
Salender Bridge 1960s
View attachment 74227
Dar-Es-Salaaam 1975 Hiyooooo!!!
View attachment 74228
Seaview-Mawingu House 1960
View attachment 74229
Arusha-Clock Tower 1966
View attachment 74230
Dodoma City Center 1974
View attachment 74231
Bukoba City Center 1972
View attachment 74232
Jengo La CCM Likiwa Linajengwa Enzi Hizo
View attachment 74233
Korogwe Hotel
View attachment 74234
Same Hotel
View attachment 74235
Musoma 1960
View attachment 74236
Handeni Bomani Enzi Hizo
View attachment 74237
Shule Ya secondary Kisutu 1975
View attachment 74238
Iyunga Secondary 1966
Tupia Nyingine na wewe kama Unazo za Enzi Hizo za Popote pale ndani ya Tanzania::::Kumbukumbu ya Miaka 51 ya Uhuru::09 Dec 2012
JK kama Riziwani. Ila huyu wa kulia anafanana sana na Nape. Ni nani?!Enzi za Rais Kikwete
![]()
JK kama Riziwani. Ila huyu wa kulia anafanana sana na Nape. Ni nani?!
Pembeni ni waziri Mark Mwandosya
Safiiii
Pamoja na kwamba uzi ni wa mwaka juzi inaelekea jamaa alivyoona clock tower akataka aone clock tower kumbe kwa mtu aliishi Arusha ameshaelewa hayo majengUtoto unakusumbuwa enzi hizo kung'amua picha ilikuwa moja ya topic katika jiografia unaletewa mzigo afu unaulizwa
mpigaji alipiga mchana au asubuhi alikaa upande gani, afu unaweza kuyumbishwa vil vile hiki ni klimo cha nini?
Mi niliyekaa A-town napaona NAAZI paleeeeeee! Kwataarifa yako hilo eneo linaitwa Clock Tower sio lazima uone hiyo tower katika picha.
Pumbbbaaafuuu!