Tanzania ya enzi hizo katika picha
Wakati mwingine, Watanzania tunajirudisha nyuma wenyewe. Azimio la Arusha lilitaifisha majumba yote hayo ya kina Remtula na Patel na kuwafanya kina Dewji waogope kujenga tena nyumba. Bwana Msajili wa Nyumba aliyekabidhiwa nyumba hizo za kina Remtula na Patel, akashindwa kujenga nyumba mpya mijini wala kuzifanyia usafi. Ukweli ni kwamba miaka yote 23 ya Azimio la Arusha (1967-1990), nchi ilisimama kimaendeleo, watu tukagawana umasikini wetu kiujamaa kwa kupanga foleni kutwa nzima kununua kipande cha sabuni kwenye duka la walaji. Watanzania wa leo mnapaswa kumshukuru sana Mzee Mwinyi kwa kulizika Azimio la Arusha pale Kisiwandui, Unguja!
 
Azimio la Arusha hilo ndilo lilitudumaza kimaendeleo baada ya kutaifisha nyumba, shule na viwanda vya kina Patel
 
Lazma utambue kua azimo la arusha ndio mkomboz wa taifa huru la tanzania
Kutaifishwa kwa mali zile ilikua n kuwamilikisha watanzania wenyewe
 
Straddler;
Nimeipenda sana hii clip, kuliko kawaida!

Nashukuru kaka.
Bahati mbaya nyumba inayobeba historia yote ya nchi hii, pale mtaa wa Lumumba, wameibomoa badala ya kuifanya kuwa museum....ovyooo!:A S 13:.....nchi hii kila mtu na akili yake.
 
Hahahaaaaaaaa Du Aise safi sanaaaa mwanaaaaaaaaa!!! Clock tower hapo kuna Shirika la Posta tulikua tunaenda kuchukua hela tukipata TMO school
attachment.php
Enzi hizo bito ndio mtindo. Hivyo vyeupe kama magunia yamepangwa barabarani ni nini?
 
View attachment 74223
Hapa Ni Tanzania Elimu Supply(TES) Enzi Hizo 1947

View attachment 74224
Mabasi ya Ekarusi Kumbakumba kwa nyuma Azania Front

View attachment 74225
Tanganyika Parkers Enzi Hizo 60s

View attachment 74226
Salender Bridge 1960s

View attachment 74227
Dar-Es-Salaaam 1975 Hiyooooo!!!

View attachment 74228
Seaview-Mawingu House 1960

View attachment 74229
Arusha-Clock Tower 1966

View attachment 74230
Dodoma City Center 1974

View attachment 74231
Bukoba City Center 1972

View attachment 74232
Jengo La CCM Likiwa Linajengwa Enzi Hizo

View attachment 74233
Korogwe Hotel

View attachment 74234
Same Hotel

View attachment 74235
Musoma 1960

View attachment 74236
Handeni Bomani Enzi Hizo

View attachment 74237
Shule Ya secondary Kisutu 1975

View attachment 74238
Iyunga Secondary 1966

Tupia Nyingine na wewe kama Unazo za Enzi Hizo za Popote pale ndani ya Tanzania::::Kumbukumbu ya Miaka 51 ya Uhuru::09 Dec 2012


Mwigulu Nchemba alikuwa na umri gani kipindi hiki? Manake nasikia anautaka Upresidaaa.
 
Utoto unakusumbuwa enzi hizo kung'amua picha ilikuwa moja ya topic katika jiografia unaletewa mzigo afu unaulizwa
mpigaji alipiga mchana au asubuhi alikaa upande gani, afu unaweza kuyumbishwa vil vile hiki ni klimo cha nini?
Mi niliyekaa A-town napaona NAAZI paleeeeeee! Kwataarifa yako hilo eneo linaitwa Clock Tower sio lazima uone hiyo tower katika picha.
Pumbbbaaafuuu!
Pamoja na kwamba uzi ni wa mwaka juzi inaelekea jamaa alivyoona clock tower akataka aone clock tower kumbe kwa mtu aliishi Arusha ameshaelewa hayo majeng
 
Back
Top Bottom