Umekariri sana Elimu ya Makaratasi Kama yule professor wa Kyela,yaani hadi unasahau kua Maisha yanakwenda vizuri zaidi na uhalisia wake!!
 
Na huo ndiyo uhalisia wa Maisha halisi,na siyo Maisha ya vitabuni!!
 
Umekariri sana Elimu ya Makaratasi Kama yule professor wa Kyela,yaani hadi unasahau kua Maisha yanakwenda vizuri zaidi na uhalisia wake!!
Finally REVEALED kwamba una uelewa mdogo!!!

Sijataja mambo ya GDP, per capita wala any figure related issue halafu unasema elimu ya makaratasi!!!

Hivi mtu unatakiwa kufundishwa darasani kufahamu tija iliyopo kati ya UDOM na zile loss making planes?!

Unasema maisha yanaenda vizuri wakati juzi tu hapa zimetolewa takwimu kuhusu mikoa inayoongoza kwa utapiamlo, na kwa mshangazo wa wengi; mikoa yenyewe ndo ile ile inayoongoza kwa uzalishaji wa mazao ya chakula!!

Watu hawana hata elimu ya kula halafu unasema mambo yanaenda vizuri??!!

Unazungumzia maisha kwenda vizuri nchi bado ina tatizo kubwa la umaskini wa kipato?! Maisha yanaenda vipi vizuri kwenye nchi yenye umaskini wa kipato wakati ni kipato ndicho kinamwezesha mwananchi kupata huduma bora za afya, kupeleka watoto kwenye shule za ubora, n.k?!

Ni kama alivyosema Kipangaspecial kwamba:-
Mkuu naona umetumia nguvu ya tembo ku deal na huyo mende, msamehe tu.
In short, HAMUELEWI, na kama mnaelewa basi mnajitoa ufahamu ama kwa sababu za kisiasa au za kikabila manake kuna mazuzu wana-support serikali sio kwa sababu ya uzuri wa yafanyikayo bali kwa sababu tu watu fulani fulani ni watu wa kwao!
 
Hii Ni Dar ya miaka ya 60. Hilo bus hapo Ni DMT ambayo ilikuwepo kabla ya UDA. Hiyo nyumba ya vigae Ni New Africa Hotel kabla ya kuvunjwa na kujengwa ya sasa
 
Zamani kulikuwa kuzuri kuliko sasa 🤣 🤣 watu wasafi miji misafi, sijui tuliteleza wapi na hawa wazee wa kijani.
 
Dah bro umefanya nimefurahi kuiona round cafteria pale sokoine
Nimesoma veterinary medicine 2014-2019... Thanks sana bro ni kumbukumbu kuntu sana
Hongera sana mkuu kwa kumaliza Veterinary medicine SUA.....Yes Memory Lane zinarudisha kumbukumbu nyuma sana na kukumbuka good/bad times!!
 
Ni
Kweli kabisaa
 
Daaah inasikitisha saana
 
Usisahau na kisutuu mkuu
Way back ilikuwa patashika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…