Hebu taja family moja ilikuja hadharani na kusema Baba yangu au Mama yangu alichukuliwa na hatujui yuko wapi? ondoa ujinga wako na history za magumashi hizi kuwajaza watu ujinga na kuamini tulikuwa tunateswa ila leo tuna raha.
 
Hebu taja family moja ilikuja hadharani na kusema Baba yangu au Mama yangu alichukuliwa na hatujui yuko wapi? ondoa ujinga wako na history za magumashi hizi kuwajaza watu ujinga na kuamini tulikuwa tunateswa ila leo tuna raha.
Yaani kwa akili yako hayo mazuri ya Wazungu unayoyaona hapo yalikuwa yanawafikia Watanganyika wote?.

Kweli unahitaji akili ya ziada maana ulizonazo hazikutoshi...kabisa Mzungu katoka kwao kaja kukutengenezea ili nawe ufaidi kama kwao ulaya?.

Kwa uzuri au ubora upi haswa ulionao Mmatumbi wewe Mzungu aje akujengee nyumba aweke tiles na Jacuzi ili wewe uwe unajilaza kwenye kochi kuangalia tv....wakaachwa Wajapan, Wafilipino, Wavenezuela.

Hili wala halihitaji kupekua vitabu bali ni common sense tu ndugu...na kama ndivyo ilivyokuwa basi jiulize ni kwa nini walifanya hivyo..ukipata jibu linal make sense kwako unishirikishe.



Kwa hiyo na hawa walikuwa wanafaidika na hizo facilities walizojenga Wazungu?

Waliokuwa wanafaidika sanasana ni wale waliojulikana kwa majina maarufu kama "Boy wa Mzungu"...sijui kama ulikutana na haya majina maana sijui umri wako...achana na taarifa za kuokoteza ndugu.

Mazuri yalikuwepo sawa lakini yalibagua.
 
Unafurahisha sana hakuna jambo la kijinga kama kuaminishwa history zenye malengo ya kuwanufaisha watawala. Ni bora hawa wamepigwa picha na wamevaa na hata mafuta wamepaka sasa nenda kapige picha waliofungwa hivi sasa tufananishe. Mbona sijawahi kusikia hata mtu mmoja akatambua kwenye picha na kudai fidia kama alikuwa mwanae au mke au Mama. Wazungu hata kwao hufanyi kazi hupati sasa wewe tuambie wananchi wangapi wanafaidi utajiri wa nchi hii? wewe kama sio kada wa chama fulani huna lako ndio hali halisi.
 
Mkuu mazuri ya sasa yanawafikia watu wote?
 
Kitu ninachofahamu hapo ubungo stendi palikuwa ni yard ya UDA toka 19 kweusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…