Hiyo njia inapoelekea hiyo gari nyekundu ndio inakwenda mpaka TTCL kisha inaunganisha mpaka ofisi ya mkuu wa mkoa? (inaelekea yale majengo yaliyokuwepo sasa hivi hayakuwepo enzi hizo
Wanamichezo bora wa mwaka 1978. Kutoka kushoto ni Filbert Bayi ( World 1500m Champion) ; Gidamis Shahanga ( Commonwealth Marathon Champion); Emmanuel Mlundwa (Africa Flyweight Champion); Lucas Msomba (Africa Light Welterweight Champion ); Suleiman Nyambui (Africa 10,000m Champion ). Picha zote na Super D
Mkuu kuna mdau anadai walicheza kifua wazi kwa kuwa jezi zao zilikuwa zinafanana rangi na za Wasudani, nitatafuta rejea HALAFU mbona unanibania tasnifu yako - nitumie aisee kule Wanazuoni, nahisi tunafanya tafiti zinazofanana!
MODS please stick this forever. Best post of the year. This should be Tanzania Year Book. Big up EMT.
Arifu unadesa......HALAFU mbona unanibania tasnifu yako - nitumie aisee kule Wanazuoni, nahisi tunafanya tafiti zinazofanana!