Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muhimbili enzi hizo-where did we go wrong????
![]()
Nimependa hii picha na nyingine zote! navutiwa na style ya unyoaji nywele! ni dalili tosha kuwa wakoloni waliondoka lakini wakatuachia kasumba ya kuamini vya kwao ni vizuri hasa kwa jamii ya wasomi (angalia mnyoo)! bado tunahitaji Uhuru wa kifikira (hapa ndipo penye makosa)!
![]()
Waziri Mkuu, Mwalimu Julius Nyerere, siku ya uhuru 9 Disemba 1961
Weruweru Primary School Kikundi Cha Ngoma Mwaka 1972
View attachment 74270
Hahahaaaaaaaa Du Aise safi sanaaaa mwanaaaaaaaaa!!! Clock tower hapo kuna Shirika la Posta tulikua tunaenda kuchukua hela tukipata TMO school
![]()
![]()
![]()
Babati -Tanganyika enzi hizo..hizo zilikuwa mbio za magari zilikuwa zinajulikana kamaCoronation Safari Rally....hapo gari kiongozi likiwasili kutoka Hanang karibu kabisa kwenye junction ya Arusha - Dodoma road. Pembeni mwa gari kushoto unaweza kuona shule na kati kati ni nyumba ya chifu 'Amri Dodo's' kulia ni ofisi za serikali
picha ilipigwa kwenye 1950's