Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nchi za wenzetu bado matangazo yao ya usafiri iwe basi ama train wanaonyesha namba ya basi ama train husika,bongo kwishaa kabisa![]()
Dodoma Railway Station. Cheki matangazo ya usafiri, mabasi yalikuwa na namba.
Mkuu picha za Tabora enzi hizo ziko nyingi tuu. Kuna familia fulani ya kizungu nafikiri walikuwa wanaendesha kilimo cha karanga huko miaka ya 1950 wana re-collection ya picha nyingi za Tabora. Picha nyingi wanazipublishi wajukuu wao.