Tanzania ya enzi hizo katika picha
Sokoine University of Agriculture(SUA)-1971
SUA 1971.JPG
 
EMT, wee hizi picha za Tabora kwa kweli unatisha, lohhh 🙂

205805_5126331875_5584_n.jpg


Tabora Railway Station, mwaka 1966.....


Mkuu picha za Tabora enzi hizo ziko nyingi tuu. Kuna familia fulani ya kizungu nafikiri walikuwa wanaendesha kilimo cha karanga huko miaka ya 1950 wana re-collection ya picha nyingi za Tabora. Picha nyingi wanazipublishi wajukuu wao.
 
Back
Top Bottom