Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,061
tulianza kutembea siku nyingi sijui tulisimama wapi!!
From what i was hearing,station master wa kwanza mzalendo alikuwa marehemu mzee LukindoWakuu Sikonge na EMT heshima mbele.
Hivi kulipoanzishwa shirika la reli ni lazima palikuwepo mastesheni masters.
Je kuna idea yoyote nani walikuwa station master wa kwanza Tanganyika?
From what i was hearing,station master wa kwanza mzalendo alikuwa marehemu mzee Lukindo