Tanzania ya enzi hizo katika picha
BookReaderImages.php
 
KING KONG 111 &EMT Picha zenu zimenikumbusha mbali sana hongereni sana.
 
Wakuu Sikonge na EMT heshima mbele.

Hivi kulipoanzishwa shirika la reli ni lazima palikuwepo mastesheni masters.

Je kuna idea yoyote nani walikuwa station master wa kwanza Tanganyika?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Wakuu Sikonge na EMT heshima mbele.

Hivi kulipoanzishwa shirika la reli ni lazima palikuwepo mastesheni masters.

Je kuna idea yoyote nani walikuwa station master wa kwanza Tanganyika?
From what i was hearing,station master wa kwanza mzalendo alikuwa marehemu mzee Lukindo
 
From what i was hearing,station master wa kwanza mzalendo alikuwa marehemu mzee Lukindo

Kuna haja ya historia hizi kuwekwa wazi na kizazi cha sasa kielewe maana kuwepo kwa stesheni master wa kwanza mzalendo katika Tanganyika si jambo dogo.
 
duh,, unanikumbusha mbali sana. kweli tumetoka mbali sana, jopo mandhari hayajabadilika sana ya 1970,s na sasa
 
Uzi mzuri sana. Kuna somo zuri sana ndani ya picha hizo.
Shukran Sikonge, EMT.
Mbuzi Mzee huwa hana dhamana ukifungua picha zake ah!
 
attachment.php
Mkuu hii picha siyo 1947 labda kwenye 60s sababu hapo kibandani magazeti ya Uhuru na Mzalendo yanauzwa. Picha ni nzuri, asante kwa hizi picha nzuri.
 
attachment.php


Hapa Ni Tanzania Elimu Supply(TES) Enzi Hizo 1947



TES waliendelea kufanya kazi zao baada ya uhuru na walikuwa wanasafirisha madaftari kwa shule zote za Tanzania, malipo yalikuwa yanafanywa na walipa kodi, ndio waliomuwezesha
Mkapa na Jakaya kuweza kusoma lakini leo wamegeuka na kuwasaliti walipa kodi wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom