Tanzania ya enzi hizo katika picha
Arusha Hotel mwaka 1936

17705r.jpg
 
Kama unatoka Cape Town kwenda Cairo, Arusha ndiyo katikakati ya safari yako. Picha ilipigwa Arusha mwaka 1936.

Hivi hili jengo bado lipo?

23271r.jpg
 
Makonki woman, in Mikindani, Tanganyika mwaka 1902. Inadaiwa walikuwa wana-stretch out the upper lip.

Picha kwa hisani ya Library ya Congress.

3b34742r.jpg
 
Mwanaume wa kabila la "Wadshagga"(?) Kilimanjaro Tanzania akiwa amesimama uchi.

Probably walikuwa wanamaanisha mwanaume wa kichaga?

Picha inadaiwa kupigwa kati ya mwaka 1890 na 1923

3b29536_150px.jpg
 
Soko la kabila la Kavirondo: Mwanamke akiwa amevaa "tassel" ambayo inamtambulisha kwa jamii husika kuwa ni mke wa mtu. Picha inadaiwa kupigwa kati ya mwaka 1890 na 1923. Picha kwa hisani ya Library ya Congress.

3b34743r.jpg
 
Railroad Club grounds and buildings in Dar Es Salaam in 1936

00405r.jpg
 
The Sultan's Palace in Zanzibar 1936

13876r.jpg
 
Tanzania-Top-DJs.jpg


Ma DJs waliowahi kutamba sana enzi hizo (nadhani picha ya black and white inaweza kukwambia ni enzi zipi hizo). Itazame kwa makini na kisha ujaribu kama unaweza kuwatambua wangapi. Kama ulisakata dansi/disco enzi hizo, hebu waambie wadogo, tofauti ya enzi hizo na leo ni ipi au zipi? Weekend ilipokuwa inawadia,mambo yalikuwaje? Thanks Bongo Celebrity: Weekend Special - BongoCelebrity

1- Marehemu Edie Sally

2- Marehemu Kalikali

3- Msoza

5- John Peter Patalakis

6- Marehemu Choggy Sly

7- Nigga Jay - Masoud Masoud

8- Agibu Show
 
Back
Top Bottom