Tanzania ya enzi hizo katika picha
uhuru day Dodoma
394060_10150525311709133_1554857190_n.jpg
 
Yaan nimefurahi sana. Admin big up

Tumetoka kilometa nyingi sana na sasa tunaenda tusikokujua
 
Well done. Umenikumbusha enzi zetu tukiwa Sekondari. Tafadhali wenye picha kama hizi wasiwasilishe. Kuhusu mavazi, mitindo ya nywele, viatu (raizon) nk.

Arusha
 
tunasogea kiduchu!shida ni hawa wanaokula ujana na uzee wao kwa hela ya nchi!au tujiue wabaki na nchi!have a nc lunch ma people
 
Back
Top Bottom