Zamani walikuwa wanatangaza WANAFUNZI BORA pamoja na WANAFUNZI VINARA kwenye magazeti, radio na televisheni.
Kipindi kile cha miaka ya nyuma tulikuwa tunashangaa na kuuliza baada ya kusikia MWANAFUNZI BORA na MWANAFUNZI KINARA ~ vyote kwa pamoja walikuwa wanatangaza kupitia RADIO TANZANIA.
Hata MITIHANI YA MOKO walikuwa wanatangaza kwenye magazeti na radio, kwa sababu huwa wanasema ukihitaji kufahamu mwanafunzi wa kwanza hadi mwanafunzi wa mwisho darasani, subiri MITIHANI YA MOKO.
MITIHANI YA MOKO ndiyo huwa inatoa taswira ya ufaulu katika MITIHANI YA TAIFA ~ kwa upande wa SHULE ZA MSINGI huwa kuna MOKO KATA, MOKO WILAYA, MOKO MKOA halafu inarudi MOKO WILAYA tena na kwa upande wa SHULE ZA SEKONDARI huwa kuna MOKO KANDA.
Yale MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO huwa wanafanya ufuatiliaji na mchanganuo kupitia MITIHANI YA MOKO [
"siyo mitihani ya darasani"] na mara nyingi huwa wanaandaa na kutunga MITIHANI YA MOKO wao ili kupata ile krimu ya WANAFUNZI BORA na WANAFUNZI VINARA katika MITIHANI YA TAIFA.
Sasa hivi CGP - MAGEREZA, IGP - POLISI na CGF - ZIMAMOTO wanatoka BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] na hawa ndiyo huwa wanaratibu shughuli zote za mitihani, kuanzia MITIHANI YA MOKO hadi MITIHANI YA TAIFA.
Ndiyo maana tunawaambiwa, sasa hivi ni muda mzuri wa kudai kuwepo na SHERIA ZA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI [PRIMARY ACTS] kwa sababu hawa wanakuwa ni watoto na wapo chini ya UNICEF na SHERIA ZA WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI [SECONDARY ACTS] kwa sababu hawa wanakuwa ni watu wazima na wapo chini ya UNESCO.
TANZANIA ina sheria za WANAFUNZI WA VYUO VIKUU [UNIVERSITY ACTS] ya 2011, kitu ambacho hakitoshi kwa upande wa SEKTA YA ELIMU.
Kwahiyo SEKTA YA ELIMU inahitaji maboresho kuanzia ELIMU YA MSINGI pamoja na ELIMU YA SEKONDARI kwa kuandaa sheria za wanafunzi na kuweza kutambulika kikatiba.