Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Huyo jamaa alkuwa wa nne kwenye maarifa ya jamii! Shule ya mwenge ilikuwa kelele nyingi, lakini hamna lolote. Town ni shule kwa hapo Shinyanga.. 😂
MWENGE huwa ni shule ya mipango! Wale watoto huwa wanafanya vizuri katika MITIHANI YA MOKO KATA, MOKO WILAYA na MOKO MKOA hata TAIFA..

_20250917_212806.JPG

​
Huyo mwenzie aliongoza MOKO WILAYA [2003] na walikuwa mbele ya muda, sababu kipindi wapo DARASA LA SABA tayari walikuwa wameshaanza kusoma SIMULTANEOUS EQUATIONS.

fc6c43fb34cb6ac44709bb3c43b3d693.jpg

​
Maswali ya kutafuta GHARAMA ZA POSTA walikuwa wanajibu vizuri, hata kuchora RAMANI YA TANZANIA na kuonesha MAZIWA na BAHARI zote walikuwa wanaweza.

fdcd992e6773faf02865da085af6d019.jpg

Shida ilikuwa inakuja kwenye somo la KIINGEREZA tu, lakini masomo ya HISABATI, MAARIFA YA JAMII na KISWAHILI walikuwa wanafaulu kwa kiwango kikubwa sana.
 
Vijiji vya huko, wengi walihamia Kongo na wengine waliingia Malawi na Zambia.. 🙏
TANZANIA ilikuwa inafanya makosa makubwa kuhamisha raia kinyume na idadi inayotakiwa na JUMUIYA YA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS].

c12702fe68c3c1f7a5c68c4964b6060.jpg

​
Tena baada ya yale mataifa matano [5] kuingia makubaliano ya kulinda TANZANIA, ndiyo ikawa kabisaa!

Afadhali kipindi cha HAYATI MWALIMU na MZEE RUKSA, awamu zilizofuata walikuwa hawafuati sheria za UMOJA WA MATAIFA ile kikamilifu.

abe1e0a290ac233ab38bbba9e4ba9c2a.jpg

​
Hata baada ya TANZANIA kuwa SOBER HOUSE kwa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO na YUGOSLAVIA hali imekuwa siyo nzuri, ijapokuwa kwa upande mwingine wanafurahi kupokea FEDHA ZA KIGENI ili kuwalipa mishahara wale WAHANGA WA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE [CIVIL WAR VICTIMS].

04322b3629eee45f4aff2f19585b6714.jpg

Lakini wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO na YUGOSLAVIA ndiyo wanaotumika kama waangalizi wa kimataifa wa haki za binadamu [INTERNATIONAL HUMAN RIGHTS OBSERVERS] kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA kupitia ile taasisi ya HUMAN RIGHTS WATCH [HRW].

9b487045dfced876cd21c70d9f9044c4.jpg

Kwahiyo kila kitu kinachofanyika TANZANIA, kinafahamika duniani kote na WATANZANIA wanaonekana ni WAJINGA.
 
Vijiji vya huko, wengi walihamia Kongo na wengine waliingia Malawi na Zambia.. 🙏
Ukiangalia ile "Houphouet's bet with Nkrumah", sasa hivi timu zote za mpira wa miguu za taifa za IVORY COAST na GHANA zina vikosi zaidi ya vitatu [3].

1dfed74fbe358f3b2ec5f88b4e4256dd.jpg

​
Yaani kuna First Phase [1st], Second Phase [2nd], Third Phase [3rd], Fourth Phase [4th] na Fifth Phase [5th] ya wanamichezo wanaotengeneza timu za taifa.

970d7b0fc6137de04c4bbd002a4a30e2.jpg

​
Hata KOMBE LA DUNIA [2026] likifika watatumia mashirika yao ya ndege. Wapo vizuri sana!

9100b8a4d0d824d1fac232fed26bc3a8.jpg

​
Ukijaribu kuangalia kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, utaona tofauti iliyopo, kwani timu za taifa kwa upande wa UGANDA, KONGO KINSHASA na MSUMBIJI zinaundwa na wacheza mpira wote wenye asili ya TANZANIA. Bila ya kusahau ZAMBIA..

Kwahiyo utaona ni jinsi gani idadi ya watu inavyohitajika na kufanyika kuwa msaada katika kila sekta.
 
MWENGE huwa ni shule ya mipango! Wale watoto huwa wanafanya vizuri katika MITIHANI YA MOKO KATA, MOKO WILAYA na MOKO MKOA hata TAIFA..

Huyo mwenzie aliongoza MOKO WILAYA [2003] na walikuwa mbele ya muda, sababu kipindi wapo DARASA LA SABA tayari walikuwa wameshaanza kusoma SIMULTANEOUS EQUATIONS.

Maswali ya kutafuta GHARAMA ZA POSTA walikuwa wanajibu vizuri, hata kuchora RAMANI YA TANZANIA na kuonesha MAZIWA na BAHARI zote walikuwa wanaweza.

Shida ilikuwa inakuja kwenye somo la KIINGEREZA tu, lakini masomo ya HISABATI, MAARIFA YA JAMII na KISWAHILI walikuwa wanafaulu kwa kiwango kikubwa sana.
Mwenge kulikuwa kuna watoto wana majina. Pale kulkuwa kuna wakina Ibrahim Ng'wani.. 🤣 Wakina Mange, Mkenda! Wakina Rebeka Tugala..

Lakini yakija matokeo ya mock, tunaona wanafunzi wa Town! Hmm, vipi apo.. 😂

Mock Mkoa jitu likatoka Meatu huko! Kambi nzima walikaa kimya.. 😂

Saivi tunao huku jeshini! Heshima ipo kama yote, ile Mikogo ya shuleni iliishia jakata.. 🙏
 
TANZANIA ilikuwa inafanya makosa makubwa kuhamisha raia kinyume na idadi inayotakiwa na JUMUIYA YA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS].

Tena baada ya yale mataifa matano [5] kuingia makubaliano ya kulinda TANZANIA, ndiyo ikawa kabisaa!

Afadhali kipindi cha HAYATI MWALIMU na MZEE RUKSA, awamu zilizofuata walikuwa hawafuati sheria za UMOJA WA MATAIFA ile kikamilifu.

Hata baada ya TANZANIA kuwa SOBER HOUSE kwa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO na YUGOSLAVIA hali imekuwa siyo nzuri, ijapokuwa kwa upande mwingine wanafurahi kupokea FEDHA ZA KIGENI ili kuwalipa mishahara wale WAHANGA WA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE [CIVIL WAR VICTIMS].

Lakini wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO na YUGOSLAVIA ndiyo wanaotumika kama waangalizi wa kimataifa wa haki za binadamu [INTERNATIONAL HUMAN RIGHTS OBSERVERS] kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA kupitia ile taasisi ya HUMAN RIGHTS WATCH [HRW].

Kwahiyo kila kitu kinachofanyika TANZANIA, kinafahamika duniani kote na WATANZANIA wanaonekana ni WAJINGA.
Tanzania kuna kitu wanaktafuta kutoka kwa hao watu, sio wajinga actually.. 🙏
 
Ukiangalia ile "Houphouet's bet with Nkrumah", sasa hivi timu zote za mpira wa miguu za taifa za IVORY COAST na GHANA zina vikosi zaidi ya vitatu [3].

Yaani kuna First Phase [1st], Second Phase [2nd], Third Phase [3rd], Fourth Phase [4th] na Fifth Phase [5th] ya wanamichezo wanaotengeneza timu za taifa.

Hata KOMBE LA DUNIA [2026] likifika watatumia mashirika yao ya ndege. Wapo vizuri sana!

Ukijaribu kuangalia kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, utaona tofauti iliyopo, kwani timu za taifa kwa upande wa UGANDA, KONGO KINSHASA na MSUMBIJI zinaundwa na wacheza mpira wote wenye asili ya TANZANIA. Bila ya kusahau ZAMBIA..

Kwahiyo utaona ni jinsi gani idadi ya watu inavyohitajika na kufanyika kuwa msaada katika kila sekta.
Huyo Rais wa ivory coast alkuwa ni mdogo wake na Jomo Kenyata..🙏

Yeye ndo alikuwa amesoma akiwa na umri mdogo na alikuwa watatu kwenye mtihani wa taifa. Town hapo.. 🙏

Alikosa sifa ya kupigania uhuru kwa upande wa Tanganyika, hivyo aliamia katika makoloni ya kifaransa na kwenda kuishi ivory coast.. 🙏

Hata yeye alibeba watanzania wengi kupitia Kenya. Ni watu wenye bahat sanaaaaa na matajiri mno.
 
Mwenge kulikuwa kuna watoto wana majina. Pale kulkuwa kuna wakina Ibrahim Ng'wani.. 🤣 Wakina Mange, Mkenda! Wakina Rebeka Tugala..
Kipindi hicho unaambiwa ukihamia MWENGE unaenda kushika nafasi ya mwisho. Basi wanafunzi wengine walikuwa wakisikia MWENGE ilikuwa ni "fully respect".. 😂
Lakini yakija matokeo ya mock, tunaona wanafunzi wa Town! Hmm, vipi apo.. 😂
MOKO MKOA [2003] ~ MWANAFUNZI BORA alitoka MEATU na MWENGE ilitoa MWANAFUNZI WA TATU [3].. 🙏🏽

_20250917_212806.JPG

Huyo jamaa alishika nafasi ya nne [4] na mwenzie akashika nafasi ya saba [7]. Lakini MOKO WILAYA ilivyorudiwa ile mara mwisho kuelekea MTIHANI WA TAIFA, huyo aliyeshika NAFASI YA SABA [7] MKOA aliongoza MOKO WILAYA kwa mara nyingine.

Hatimaye akamaliza DARASA LA SABA akiwa MWANAFUNZI KINARA [OUTSTANDING PERFORMANCE PUPIL, 2003] na MWENGE ilikuwa ni miongoni mwa shule zilizotoa WANAFUNZI KUMI [10] BORA .

b0a7a3aa0ceca23c4d4b16ee9dc885ab.jpg

Kipindi hicho mchuano ulikuwa ni mkali sana na shida kubwa kwa wanafunzi wa SHULE YA MSINGI ilikuwa ni SOMO LA KIINGEREZA.

a73c70f160a65a9fb84cde6be51b5cc4.jpg
Mock Mkoa jitu likatoka Meatu huko! Kambi nzima walikaa kimya.. 😂
Alijiunga na ILBORU kwa masomo ya kidato cha kwanza na ndiyo yule aliyekuwa WAZIRI MKUU WA SERIKALI YA WANAFUNZI [2013/14] pale COESE, UDOM.

d19e295c920745ef0439b311390e59cc.jpg
Saivi tunao huku jeshini! Heshima ipo kama yote, ile Mikogo ya shuleni iliishia jakata.. 🙏
😂
 
Tanzania kuna kitu wanaktafuta kutoka kwa hao watu, sio wajinga actually.. 🙏
Wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO wanalipwa mishahara na serikali zao, hata wenyeji wa asili wa TAIFA LA YUGOSLAVIA hali ipo hivyo..

112b46d4e28b0571c700991f7d5c90fc.jpg

Tena wao wanalipwa mishahara na mataifa yanayounda JUMUIYA YA ULAYA [EU]. Hivyo kuna mambo ya kijamii ambayo hawapaswi kushirikishwa.

484b9514852718e80ddc1ad2a763f148.jpg

Hata PAREDI YA KIJESHI katika hafla za kiserikali hawaruhusiwi, sema kuna baadhi ya viongozi waliwadanganya na kuwachukulia fedha zao na wametumia fedha zaidi USD 2 BILLION katika ule mchakato wa kutaka kutambulika na kuwa sehemu ya TANZANIA.
 
Mwenge kulikuwa kuna watoto wana majina. Pale kulkuwa kuna wakina Ibrahim Ng'wani.. 🤣 Wakina Mange, Mkenda! Wakina Rebeka Tugala..

Lakini yakija matokeo ya mock, tunaona wanafunzi wa Town! Hmm, vipi apo.. 😂

Mock Mkoa jitu likatoka Meatu huko! Kambi nzima walikaa kimya.. 😂

Saivi tunao huku jeshini! Heshima ipo kama yote, ile Mikogo ya shuleni iliishia jakata.. 🙏
Yaani MWENGE na TOWN ipo kama ILBORU na OLD MOSHI! OLD MOSHI ni bora kuliko ILBORU kwa kuangalia MATOKEO YA MOKO KANDA na MATOKEO YA MITIHANI YA TAIFA.

IMG-20250621-WA0000.jpg

​
Pale OLD MOSHI kulikuwa kuna wanafunzi ambao wanaweka rekodi za kitaifa na zinakuja kuvunjwa na wanafunzi wa miaka inayokuja.

Mwaka 2008 kulikuwa kuna wakina ALFA ambao waliweka rekodi kitaifa kwa upande wa mchepuo wa PCM! Mwaka 2009 kulikuwa kuna wakina AMIRI ambao walikuja kuvunja rekodi iliyokuwa imewekwa na wakina ALFA!

Huyu AMIRI alitungiwa nyimbo na WATANZANIA wanaoishi SAUZI kutokana na ufaulu wake katika mchepuo wa PCM [2009]! Alikuja kuvunja rekodi iliyokuwa imewekwa na ALFA..

IMG-20251108-WA0001~2.jpg

​
Mwaka 2010, rekodi za wakina ALFA pamoja na AMIRI zilikuja kuvunjwa na huyo mwanafunzi anayeoonekana hapo katikati.

Sema hawa walisoma sana, kutokana na kupokea ile taarifa ya mabadiliko katika JESHI LA POLISI ambayo ilikuwa ikihusisha IGP lazima awe ni MWANAFUNZI BORA [TO] au MWANAFUNZI KINARA [OP].

Hawa waliipokea hiyo taarifa kwa mara ya kwanza na IGP SAID MWEMA alikuwa ni IGP wa mwisho, ina maana IGP waliofuata baada ya hapo wote wanapaswa kuwa ni WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's].

CamScanner 12-20-2024 14.20~2.jpg

​
Kwahiyo ule mwaka wa 2010, wanafunzi walisoma sana na walifanikiwa kuongoza katika masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY, BIOLOGY, PURE MATHEMATICS, DEVELOPMENT STUDIES na BASIC APPLIED MATHEMATICS [BAM].

CamScanner 12-29-2025 09.22.jpg

​
Maswali ya DEVELOPMENT STUDIES [DS] yalitoka kwenye hiki kitabu, PAPER ONE & PAPER TWO na walifanikiwa kutoa MWANAFUNZI KINARA [OP] kwa mwaka 2010.

CamScanner 12-29-2025 09.22 (1).jpg

​
Tangu 2010 hadi leo, ile rekodi haijawahi kuvunjwa kwa upande wa KIDATO CHA SITA.
 
Wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO wanalipwa mishahara na serikali zao, hata wenyeji wa asili wa TAIFA LA YUGOSLAVIA hali ipo hivyo..

Tena wao wanalipwa mishahara na mataifa yanayounda JUMUIYA YA ULAYA [EU]. Hivyo kuna mambo ya kijamii ambayo hawapaswi kushirikishwa.

Hata PAREDI YA KIJESHI katika hafla za kiserikali hawaruhusiwi, sema kuna baadhi ya viongozi waliwadanganya na kuwachukulia fedha zao na wametumia fedha zaidi USD 2 BILLION katika ule mchakato wa kutaka kutambulika na kuwa sehemu ya TANZANIA.
Watalipa hela za watu! Walifanya cyo vizur kabisaa
 
Yaani MWENGE na TOWN ipo kama ILBORU na OLD MOSHI! OLD MOSHI ni bora kuliko ILBORU kwa kuangalia MATOKEO YA MOKO KANDA na MATOKEO YA MITIHANI YA TAIFA.

Pale OLD MOSHI kulikuwa kuna wanafunzi ambao wanaweka rekodi za kitaifa na zinakuja kuvunjwa na wanafunzi wa miaka inayokuja.

Mwaka 2008 kulikuwa kuna wakina ALFA ambao waliweka rekodi kitaifa kwa upande wa mchepuo wa PCM! Mwaka 2009 kulikuwa kuna wakina AMIRI ambao walikuja kuvunja rekodi iliyokuwa imewekwa na wakina ALFA!

Huyu AMIRI alitungiwa nyimbo na WATANZANIA wanaoishi SAUZI kutokana na ufaulu wake katika mchepuo wa PCM [2009]! Alikuja kuvunja rekodi iliyokuwa imewekwa na ALFA..

Mwaka 2010, rekodi za wakina ALFA pamoja na AMIRI zilikuja kuvunjwa na huyo mwanafunzi anayeoonekana hapo katikati.

Sema hawa walisoma sana, kutokana na kupokea ile taarifa ya mabadiliko katika JESHI LA POLISI ambayo ilikuwa ikihusisha IGP lazima awe ni MWANAFUNZI BORA [TO] au MWANAFUNZI KINARA [OP].

Hawa waliipokea hiyo taarifa kwa mara ya kwanza na IGP SAID MWEMA alikuwa ni IGP wa mwisho, ina maana IGP waliofuata baada ya hapo wote wanapaswa kuwa ni WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's].

Kwahiyo ule mwaka wa 2010, wanafunzi walisoma sana na walifanikiwa kuongoza katika masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY, BIOLOGY, PURE MATHEMATICS, DEVELOPMENT STUDIES na BASIC APPLIED MATHEMATICS [BAM].

Maswali ya DEVELOPMENT STUDIES [DS] yalitoka kwenye hiki kitabu, PAPER ONE & PAPER TWO na walifanikiwa kutoa MWANAFUNZI KINARA [OP] kwa mwaka 2010.

Tangu 2010 hadi leo, ile rekodi haijawahi kuvunjwa kwa upande wa KIDATO CHA SITA.

Zaman wanafunzi walikuwa wanasoma mno, hata maksi zilikuwa kubwa
 
Wenzenu walivyomaliza KIDATO CHA SITA na walivyofanikiwa kufahamu matokeo yao, walitulia!

_20241220_144910.JPG

​
Hata walivyoingia CHUO KIKUU walikuwa wametulia, tofauti na mitazamo ya watu wengi, maana wengine walidhani itakuwa ni kujiachia kama ilivyokuwa kwa upande wa SEKONDARI.

IMG-20251008-WA0000.jpg

​
Lakini wenzenu walitulia kama hawapo na sasa hivi wameshatimiza miaka thelathini na tano [35] ~ yupo TUME YA MAADILI YA TAIFA na JESHI LA POLISI kwa kutumia namba ya usajili tangu 2003.. 😂

FB_IMG_1683344670801.jpg

​
Pia WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] huwa wanapewa zawadi zao za magari aina ya TOYOTA LANDCRUISER na kipindi cha AWAMU YA TATU [1995-2005] walikuwa wanapewa nyumba za serikali zinazopatikana OYSTERBAY, DAR ES SALAAM.

Kwahiyo hali halisi ndiyo huwa ipo hivyo, wenzenu walifanikiwa kufahamu mabadiliko katika JESHI LA POLISI tangu wakiwa SHULENI.
 
Watalipa hela za watu! Walifanya cyo vizur kabisaa
c0d37546ce0f71ccd0234f7c3a39fe60.jpg

Shughuli ilianza mwaka 1993, baada ya kusaini makubaliano ya kulinda TANZANIA.

088c3557fd7e01f1388629c2142fba6e.jpg

​
Baada ya hapo watu wakaingia RWANDA na msafara wa magari, walifanikiwa kuchukua SERIKALI YA RWANDA na hadi leo ndiyo WATAWALA tangu mwaka 1994.

5dd1dbbf28acdd32be58d0eb06770629.jpg

Baada ya mwaka 1995, ndiyo SARAKASI zikawa nyingi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA sababu walianza kulindwa na yale mataifa matano [5].

Watu walitengeneza hela sana, lakini mwisho wa siku KENYA ndiyo ikawa "SUPERPOWER" kwa upande wa MATAIFA YA MAZIWA MAKUU.
 
Wenzenu walivyomaliza KIDATO CHA SITA na walivyofanikiwa kufahamu matokeo yao, walitulia!

Hata walivyoingia CHUO KIKUU walikuwa wametulia, tofauti na mitazamo ya watu wengi, maana wengine walidhani itakuwa ni kujiachia kama ilivyokuwa kwa upande wa SEKONDARI.

Lakini wenzenu walitulia kama hawapo na sasa hivi wameshatimiza miaka thelathini na tano [35] ~ yupo TUME YA MAADILI YA TAIFA na JESHI LA POLISI kwa kutumia namba ya usajili tangu 2003.. 😂

Pia WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] huwa wanapewa zawadi zao za magari aina ya TOYOTA LANDCRUISER na kipindi cha AWAMU YA TATU [1995-2005] walikuwa wanapewa nyumba za serikali zinazopatikana OYSTERBAY, DAR ES SALAAM.

Kwahiyo hali halisi ndiyo huwa ipo hivyo, wenzenu walifanikiwa kufahamu mabadiliko katika JESHI LA POLISI tangu wakiwa SHULENI.

Watu walkuwa wanasoma kwa bidii! Wengine walkuwa wanapigana miti, saivi wana watoto kbao hata hawasomeshi.. 🤣

Mida ya jioni ikifika ni mwendo wa kukaa barazani na kukuna korodani, huku wakicheza bao.. 😂

Halaf saivi wanataka tubalansi.? Tutabalansi nini wakati wao hawana watu wenye sifa?
 
Shughuli ilianza mwaka 1993, baada ya kusaini makubaliano ya kulinda TANZANIA.

Baada ya hapo watu wakaingia RWANDA na msafara wa magari, walifanikiwa kuchukua SERIKALI YA RWANDA na hadi leo ndiyo WATAWALA tangu mwaka 1994.

Baada ya mwaka 1995, ndiyo SARAKASI zikawa nyingi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA sababu walianza kulindwa na yale mataifa matano [5].

Watu walitengeneza hela sana, lakini mwisho wa siku KENYA ndiyo ikawa "SUPERPOWER" kwa upande wa MATAIFA YA MAZIWA MAKUU.
Tanzania waliangalia faida yao tu! Viongozi wengi walipata Hella kutoka kwa wahutu na wakongo.. 🙏 Rwanda, Burundi na KONGO zipo chini ya Kenya 🇰🇪..

Kipindi kile cha miaka ya 94, ndo tukajua kuwa Moi alifanya kazi pale Majibradia - shinyanga mjini na mtoto wake wa kwanza alizaliwa Muhimbili.. 🙏
 
Bora mbakie huko huko kwenye majeshi, huko ccm wataenda watoto wenu.. 🙏
WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] huwa wanaanzia cheo cha SP wakiwa na miaka thelathini na tano [35].

_20250929_170500.JPG

Wakati mwingine mhusika anapewa cheo cha SSP hata ACP kutokana na ufaulu wa DARASA LA SABA au KIDATO CHA NNE au KIDATO CHA SITA.

Sasa hivi wenzenu wametulia na ndiyo wanafanya hivyo! Hizo habari za "SOBER HOUSE" siyo nzuri kujihusisha nazo, waachieni hao hao ndiyo watamalizana nao..

9ba7aad70582b40d04e93931fce48ad9.jpg

​
Kwahiyo wenzenu wametulia na wanajijenga ili kuja kuwa kama WANAFUNZI BORA wengine waliofanikiwa kupitia MAJESHI na SIASA ZA TANZANIA. Lakini VYEO VYA URITHI watapokea WAJUKUU.. 🙏🏽
 
Simeone satelaite inasoma wapi.. 😂
 
Wanapanuana misamba huko walipo, by then wanataka tulee watoto wao! Hzo tabia za kihutu cjui zilianza lini Tz?

Hata Kusomesha hawasomeshi.?🤣 Wanatuona wajinga sanaaa. Hao watoto watakuwa wa mitaani.. 😂
c903d965a0d1d28268654688790565af.jpg

​
Unajua hii falsafa ya "Faith and Family" ikiwa na maana ya "Imani na Familia" inayotumiwa na MAREKANI, inatumika dunia nzima kupitia ule mradi wa UNICEF PARENTING.

Sasa changamoto ipo kubwa kwa mataifa yaliyoathirika na VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE [CIVIL WAR VICTIMS], kama wenyeji wa asili wa MATAIFA YA KONGO na YUGOSLAVIA.

dcccb3d6a2dd30a03fd74a6dd8f7827e.jpg

Hawa huwa hawawezi kuwa na malezi mazuri kwa watoto au wenza wao wa kimapenzi kutokana na kuathirika kisaikolojia, ndiyo maana huwa wanasambaza watoto wa kuwazaa wao wenyewe. Halafu na wao wanalea watoto wa watu wengine..
 
Back
Top Bottom