Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Watu hawakulala wik sita depo, halafu mnakuja mnawaambia habari za sp cjui acp bila hata kunyolewa VIPARA.. 🤣 Hapo lazima kuwe kuna shida.. 🙏
3014ba849edee9291e8540632711727d.jpg

​
Unafikiri ni kipara tu! Hadi MATAK*NI lazima ukaguriwe, lile jicho lote linapigwa picha! Yaani ukaguzi unafanyika wa mwili mzima na picha wanabaki nazo..

0651b9c8e48d3cc2dffa05835be748cc.jpg

​
Lakini kama ulikuwa mkali darasani, wanachukua vipimo vya nguo halafu unavaa gwanda la kaki na mishahara inaingia kama kawaida. DEPO utaenda siku nyingine.. 🤣
 
Watu hawakulala wik sita depo, halafu mnakuja mnawaambia habari za sp cjui acp bila hata kunyolewa VIPARA.. 🤣 Hapo lazima kuwe kuna shida.. 🙏
CONVERSE au wengine wanaita ALL STAR huwa tunawekwa pembeni halafu wanauliza buti unavaa namba ngapi?

_20260101_133457.JPG

​
Ukisema saizi! Wakati huo huo unapewa buti zako, begi la mgongoni na bastola ikiwa risasi.. 🤣

TANZANIA ukishakuwa MWANAFUNZI BORA au MWANAFUNZI KINARA tayari unakuwa umetoboa!
 
Unafikiri ni kipara tu! Hadi MATAK*NI lazima ukaguriwe, lile jicho lote linapigwa picha! Yaani ukaguzi unafanyika wa mwili mzima na picha wanabaki nazo..

Lakini kama ulikuwa mkali darasani, wanachukua vipimo vya nguo halafu unavaa gwanda la kaki na mishahara inaingia kama kawaida. DEPO utaenda siku nyingine.. 🤣
Nimecheka snaa.. 😂 Picha za matakoni wanabaki nazo 🤣
 
CONVERSE au wengine wanaita ALL STAR huwa tunawekwa pembeni halafu wanauliza buti unavaa namba ngapi?

Ukisema saizi! Wakati huo huo unapewa buti zako, begi la mgongoni na bastola ikiwa risasi.. 🤣

TANZANIA ukishakuwa MWANAFUNZI BORA au MWANAFUNZI KINARA tayari unakuwa umetoboa!

Kitu cha pyu pyu kama mpendazoe, alivyopewa bastola akawa mwehu kabisa..😂

Hapo tulitakiwa kuwaona wale watoto wa mwenge wakina Ibrahim Ng'wani au wakina Irene Njau.. 🙏

Badala yake tunaona watu wengine tyuu, cjui walikuwa wanasomaje.. 😂
 
Alafu huo usinga wa Kenyatta , sijui aliutolea wapi muda wote kwenye ziara anao , kama kamchape
d5537143d952b662f41ce80c05eb06fa.jpg

​
Hawa walianza kufuata SHERIA ZA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] tangu siku nyingi na walifanikiwa kuzaa na kulea watoto wengi!

Wanajaribu kuiga na kufuata ule mtindo wa maisha ya UINGEREZA. Hata yule mwanamama wa ICC aliyekuwa anaitwa FATOU BENSUDA ni kizazi cha HAYATI MZEE JOMO.

906cd25eff4c677cdd8c19fa3d7cc44a.jpg

Sema bado haijawa wazi, kama ni yule FATOU BENSUDA wa kutoka katika TAIFA LA GAMBIA au FATUMATA DIAWARA ambaye ni msanii wa kike kutoka katika TAIFA LA MALI.

Lakini tunaambiwa wanalea na kutunza watoto wao vizuri kwa kufuata zile sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] kupitia UNICEF PARENTING.

3b0cf41e75a61b6f2d7204238f557eec.jpg

​

Sasa hivi ukiwa KENYA inatambulika kama CIVILIZED SOCIETY. Lakini kwa upande wa TANZANIA imekuwa ni tofauti, kwani mwaka 1975 ~ CHAMA CHA TANU na ASP viliuzwa na kununuliwa na jeshi, ikiwa ni shinikizo la kutaka kufanya mapinduzi ya kijeshi dhidi ya utawala wa HAYATI MWALIMU.

5290fe85704d16e69fee71844f9d0880.jpg

​

Tunaambiwa mwaka 1975 ilikuwa ni mwaka wa mapinduzi baridi, kwani HAYATI MWALIMU alikuwa hana tena ile nguvu na mamlaka ndani ya CHAMA CHA TANU na AFRO-SHIRAZ.

dc7c6e0bd4a548a5a689714fc83ba10f.jpg

​

Hawa ndiyo waliokuwa nyuma ya muungano wa TANU na ASP [1977] na kulizaliwa CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

Kwahiyo kwa kipindi chote hicho, wenye chama tawala pamoja na serikali ni JESHI na HAYATI MWALIMU alifanikiwa kujijenga KIUCHUMI na KISIASA.

ae33ac5c2c98a531f7055b0f1cd2f120.jpg

​

Hawa ndiyo waliobadilisha TANZANIA kutoka katika ule mtindo wa CIVILIZED SOCIETY na kuwa HOSTILE SOCIETY ["huu mtindo una sifa na tabia zake] wala haufuati sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] ile kikamilifu na inafanya ACADEMIC GENOCIDE.

bdb5ecebb950930facdc9e55e4b6536f.jpg

Lakini sasa hivi kuna jukumu kubwa la kurudisha jamii ya kitanzania kuwa katika ule mtindo wa CIVILIZED SOCIETY ambao ulikuwepo tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964].
 
Hao ndo Kenya 🇰🇪
Hawa wenzenu walianza kufuata SHERIA ZA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] tangu siku nyingi.

af2490373058872a308bbc5fe7eaa75e.jpg

​
UNICEF PARENTING ni sheria ya JUMUIYA YA UMOJA WA MATAIFA [UN CHARTER] na MATAIFA YA MAGHARIBI pamoja na ULAYA yamekuwa yanatumia malezi ya watoto kama kipimo cha utu.

5fbe9b709a7e52087060942b24d73552.jpg

​
Kama imetokea mzazi au mlezi ameshindwa kulea mtoto au watoto kutokana na sababu mbalimbali, kile kipimo cha utu au ubinadamu kinakuwa kipo chini au hakipo kabisa. Wao wanaita ni "HUMANITY INDEX".

8352c583ad8a28ce9a3529231c0f096f.jpg

​
Kuzaa na kulea watoto huwa ni kipimo cha utu [HUMANITY INDEX] na huwa inatumika kwa mataifa yaliyoendelea.

74963ae3f2681ccaa80ece61b1dfe867.jpg

UINGEREZA na MAREKANI ndiyo huwa wanazingatia sana uwepo wa raia kuwa na familia, kuzaa na kulea watoto kama kipimo cha utu, yaani HUMANITY INDEX.

240012fb3869a4039d869383db74575e.jpg

​
Sasa WANASIASA WA KENYA wamekuwa wakitumia hiki kipimo cha utu katika kukuza HUMANITY INDEX na wamefanikiwa.

b2a4ca2d0f1e2acae4c122bf2439bfe1.jpg

​
VIONGOZI pamoja na WATU MASHUHURI wamekuwa wakitumia muda kupiga picha na kujenga mahusiano na watoto ili kukuza kile kigezo cha utu, yaani HUMANITY INDEX.

58ed806fd40334b88386f63be79a18a9.jpg

​
Hata wasanii wamekuwa wakitumia na kujenga mahusiano na watoto katika kujenga ule uwepo wao katika jamii.

b3696d1783420d748bd5b2a3897e787a.jpg

​
Wasanii wa muziki na kazi mbalimbali za sanaa wanatumia muda kupiga picha na watoto katika kukuza kazi zao za sanaa.

dd3c9cc37f85a50da559b7709257f019.jpg

​
Kwahiyo kigezo cha utu kwa mtu binafsi huwa kinapimwa kupitia familia, kuzaa na kulea watoto.

Lakini wale WAHANGA WA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE [CIVIL WAR VICTIMS] kama wenyeji wa asili wa MATAIFA YA KONGO na YUGOSLAVIA huwa hawawezi kuishi na wenza wao kwa uvumilivu hata kulea watoto waliowazaa wao wenyewe inakuwa ni vigumu kutokana na kuathirika kisaikolojia.
 
Hao ndo Kenya 🇰🇪
4505bacf50b63d15ae95a8c5d532f201.jpg

​
KENYA ndiyo huwa inatumia kigezo cha utu katika kukuza "HUMANITY INDEX" na wanazaa na kulea watoto wengi sana.

7bfd9e482e8e2892c5a77dcb375aaa08.jpg

Wenzenu huwa wanafanya kutambulisha watoto wao katika medani za kimataifa kupitia taasisi za ulinzi na usalama.

49b9be25db6545f5f8e88802261b224c.jpg

​
Wao wanakuwa wanafahamika kupitia taasisi za ulinzi na usalama, lakini uraiani inakuwa ni ngumu kuwatambua kwa sababu asilimia kubwa wanakuwa wanatumia utambulisho tofauti wa majina ya ukoo.

c6d7be8c7dfaa7ea54fe068473b8eef0.jpg

​
Kwahiyo KENYA ndiyo imekuwa ikijijenga kwa namna hiyo na diplomasia yao ipo juu kwa upande wa MATAIFA YA AFRIKA YA MASHARIKI.
 
Hawa walianza kufuata SHERIA ZA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] tangu siku nyingi na walifanikiwa kuzaa na kulea watoto wengi!

Wanajaribu kuiga na kufuata ule mtindo wa maisha ya UINGEREZA. Hata yule mwanamama wa ICC aliyekuwa anaitwa FATOU BENSUDA ni kizazi cha HAYATI MZEE JOMO.

Sema bado haijawa wazi, kama ni yule FATOU BENSUDA wa kutoka katika TAIFA LA GAMBIA au FATUMATA DIAWARA ambaye ni msanii wa kike kutoka katika TAIFA LA MALI.

Lakini tunaambiwa wanalea na kutunza watoto wao vizuri kwa kufuata zile sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] kupitia UNICEF PARENTING.

Sasa hivi ukiwa KENYA inatambulika kama CIVILIZED SOCIETY. Lakini kwa upande wa TANZANIA imekuwa ni tofauti, kwani mwaka 1975 ~ CHAMA CHA TANU na ASP viliuzwa na kununuliwa na jeshi, ikiwa ni shinikizo la kutaka kufanya mapinduzi ya kijeshi dhidi ya utawala wa HAYATI MWALIMU.

Tunaambiwa mwaka 1975 ilikuwa ni mwaka wa mapinduzi baridi, kwani HAYATI MWALIMU alikuwa hana tena ile nguvu na mamlaka ndani ya CHAMA CHA TANU na AFRO-SHIRAZ.

Hawa ndiyo waliokuwa nyuma ya muungano wa TANU na ASP [1977] na kulizaliwa CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

Kwahiyo kwa kipindi chote hicho, wenye chama tawala pamoja na serikali ni JESHI na HAYATI MWALIMU alifanikiwa kujijenga KIUCHUMI na KISIASA.

Hawa ndiyo waliobadilisha TANZANIA kutoka katika ule mtindo wa CIVILIZED SOCIETY na kuwa HOSTILE SOCIETY ["huu mtindo una sifa na tabia zake] wala haufuati sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] ile kikamilifu na inafanya ACADEMIC GENOCIDE.

Lakini sasa hivi kuna jukumu kubwa la kurudisha jamii ya kitanzania kuwa katika ule mtindo wa CIVILIZED SOCIETY ambao ulikuwepo tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964].

Tanzania ilikuwa zamani, saivi wanaiharibu kwa mikono yao wenyewe.. 🙏
 
KENYA ndiyo huwa inatumia kigezo cha utu katika kukuza "HUMANITY INDEX" na wanazaa na kulea watoto wengi sana.

Wenzenu huwa wanafanya kutambulisha watoto wao katika medani za kimataifa kupitia taasisi za ulinzi na usalama.

Wao wanakuwa wanafahamika kupitia taasisi za ulinzi na usalama, lakini uraiani inakuwa ni ngumu kuwatambua kwa sababu asilimia kubwa wanakuwa wanatumia utambulisho tofauti wa majina ya ukoo.

Kwahiyo KENYA ndiyo imekuwa ikijijenga kwa namna hiyo na diplomasia yao ipo juu kwa upande wa MATAIFA YA AFRIKA YA MASHARIKI.
Hao watu wanahela mpaka wanaumwa! Wakila wakishiba wanawaza kuzaa tu, wana watoto wengi eeh..

Jamaa ana watoto wa kiume wanacheza mpira kwenye timu ya taifa ya mali, wapo afcon..

Jamaa ana mtoto mwingine wa kiume yupo Mara, Tarime maeneo ya nyamongo na wanafanana mno.. 🙏 Huwa anatengeneza elution columns
 
Tanzania ilikuwa zamani, saivi wanaiharibu kwa mikono yao wenyewe.. 🙏
Wamekuwa was*nge was*nge tu! SARAKASI zimekuwa nyingi na TANZANIA ilianza kuharibika mwaka 1995.

1d3fcec33351061d9082480e599767cb.jpg

​
Hata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] hawafuati na WATANZANIA wengi walianza kujijenga KIUCHUMI na KISIASA kipindi hiki.

WATANZANIA wengi walihama taifa lao! Sasa hivi ukiwa NAIJERIA, IBADANI ni sehemu ambayo ina idadi kubwa ya watu ambao ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA na wengine walianza kuhamia BENINI.

2eb5fe1fd516f428367867371e96515b.jpg

DIASPORA WA KITANZANIA wanaoishi NAIJERIA walitaka kufanana na DIASPORA WA KITANZANIA wanaoishi AFRIKA YA KUSINI, kwani na wao waliomba fedha ili wawekeze viwanda nchini NAIJERIA kutokana na uhaba wa ajira.

6c31b469bf4db75d56aa6fc54add86aa.jpg

Lakini idadi yao imezidi kile kiwango kinachotakiwa kwa mujibu wa SHERIA ZA JUMUIYA YA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS].

IMG-20260103-WA0001.jpg

Kwahiyo hali halisi ndiyo ipo hivyo kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA na kuna makosa ambayo yanatakiwa kusahihishwa.
 
Hao watu wanahela mpaka wanaumwa! Wakila wakishiba wanawaza kuzaa tu, wana watoto wengi eeh..

Jamaa ana watoto wa kiume wanacheza mpira kwenye timu ya taifa ya mali, wapo afcon..

Jamaa ana mtoto mwingine wa kiume yupo Mara, Tarime maeneo ya nyamongo na wanafanana mno.. 🙏 Huwa anatengeneza elution columns
Mwingine yupo DAR ES SALAAM, ni mtoto wa kike na anamiliki kampuni ya kufanya usafi wa mazingira katika maofisi na sehemu mbalimbali. Hiyo kampuni inapatikana katika MKOA WA GEITA na inaitwa [...].

0cbbc25efbdaf62eb31b8728cb99d25b.jpg

​
Hao ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya kutengeneza BIA ZA HEINEKEN. Yaani ukifuata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] hata soko la dunia linafunguka.
 
Wamekuwa was*nge was*nge tu! SARAKASI zimekuwa nyingi na TANZANIA ilianza kuharibika mwaka 1995.

Hata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] hawafuati na WATANZANIA wengi walianza kujijenga KIUCHUMI na KISIASA kipindi hiki.

WATANZANIA wengi walihama taifa lao! Sasa hivi ukiwa NAIJERIA, IBADANI ni sehemu ambayo ina idadi kubwa ya watu ambao ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA na wengine walianza kuhamia BENINI.

DIASPORA WA KITANZANIA wanaoishi NAIJERIA walitaka kufanana na DIASPORA WA KITANZANIA wanaoishi AFRIKA YA KUSINI, kwani na wao waliomba fedha ili wawekeze viwanda nchini NAIJERIA kutokana na uhaba wa ajira.

Lakini idadi yao imezidi kile kiwango kinachotakiwa kwa mujibu wa SHERIA ZA JUMUIYA YA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS].

Kwahiyo hali halisi ndiyo ipo hivyo kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA na kuna makosa ambayo yanatakiwa kusahihishwa.

Mkapa kishatoka yule! Lakini Tanzania inaenda kama Kongo, ndo wakongo walivyokuwaga..

Wakongo walikuwa wanahama kwao, ila wakifika huko walipo amia wanaanza kuomba hela kwao.. 😂

Baadae wakajikuta wanafirisi nchi wao wenyewe na maendeleo wasipate...

Walikuwa wakiomba hela, wanapewa mifuko imejaa almasi na dhahabu wanaenda kuuza, then wanapata hela za kuwekeza..

Mobutu alihamia Gambia na mtoto wake ndo alikuwa rais wa Gambia 🇬🇲.. Wakongo wengi walihamia Gaboni na nchi yao imebaki na umasikini mkubwa..

Sasa Hela walizoomba Burkina Faso kwa Tanzania unaweza kujenga reli ya sgr nyingine kutoka Dar hadi Kigoma..

Hii siasa ni ya kijeshi na inafanywa na magereza, saivi wanapeleka watu Burkina Faso na wanapiga hela mno kupitia hiyo michezo.. 🙏
 
Hawa wenzenu walianza kufuata SHERIA ZA UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] tangu siku nyingi.

UNICEF PARENTING ni sheria ya JUMUIYA YA UMOJA WA MATAIFA [UN CHARTER] na MATAIFA YA MAGHARIBI pamoja na ULAYA yamekuwa yanatumia malezi ya watoto kama kipimo cha utu.

Kama imetokea mzazi au mlezi ameshindwa kulea mtoto au watoto kutokana na sababu mbalimbali, kile kipimo cha utu au ubinadamu kinakuwa kipo chini au hakipo kabisa. Wao wanaita ni "HUMANITY INDEX".

Kuzaa na kulea watoto huwa ni kipimo cha utu [HUMANITY INDEX] na huwa inatumika kwa mataifa yaliyoendelea.

UINGEREZA na MAREKANI ndiyo huwa wanazingatia sana uwepo wa raia kuwa na familia, kuzaa na kulea watoto kama kipimo cha utu, yaani HUMANITY INDEX.

Sasa WANASIASA WA KENYA wamekuwa wakitumia hiki kipimo cha utu katika kukuza HUMANITY INDEX na wamefanikiwa.

VIONGOZI pamoja na WATU MASHUHURI wamekuwa wakitumia muda kupiga picha na kujenga mahusiano na watoto ili kukuza kile kigezo cha utu, yaani HUMANITY INDEX.

Hata wasanii wamekuwa wakitumia na kujenga mahusiano na watoto katika kujenga ule uwepo wao katika jamii.

Wasanii wa muziki na kazi mbalimbali za sanaa wanatumia muda kupiga picha na watoto katika kukuza kazi zao za sanaa.

Kwahiyo kigezo cha utu kwa mtu binafsi huwa kinapimwa kupitia familia, kuzaa na kulea watoto.

Lakini wale WAHANGA WA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE [CIVIL WAR VICTIMS] kama wenyeji wa asili wa MATAIFA YA KONGO na YUGOSLAVIA huwa hawawezi kuishi na wenza wao kwa uvumilivu hata kulea watoto waliowazaa wao wenyewe inakuwa ni vigumu kutokana na kuathirika kisaikolojia.

Saivi utaratibu lazima ufatwe, kuasili mtoto ambae sio wako inatakiwa police na ustawi wa jamii wajue.. 🙏

Watu wanapigana miti huko halafu wao wanaondoka na wanatuachia watoto wao! Wanatiana madole huko.. 😂.

Huo sio utamaduni wa mtanzania, hata maadil ya mtanzania hayapo hvyo.. 🙏
 
Tanzania ilikuwa zamani, saivi wanaiharibu kwa mikono yao wenyewe.. 🙏
2fb691d3c027d9796345bd9678622e4c.jpg

Tunaambiwa HOSTILE SOCIETY ina sifa tano [5] kwa idadi yake na serikali ikiamua kuwa HOSTILE SOCIETY huwa inachukua miaka ishirini hadi miaka arobaini kuweza kuona matokeo.

Huwa ni "GRADUAL PROCESS" ambayo inachukua miongo kadhaa na siyo "RAPID PROCESS" kama watu wengi wanavyodhani na TANZANIA ilibadilika kutoka "CIVILIZED SOCIETY" na kuwa "HOSTILE SOCIETY" tangu mwaka 1975 hadi leo.

e77e8fd85cc10c49b66fd53a34414e06.jpg

​
Mataifa kama UINGEREZA, UJERUMANI na ITALIA huwa hawawezi kuishi katika "HOSTILE SOCIETY" huwa wanaondoka na kuhamia katika mataifa mengine ambayo ni "CIVILIZED SOCIETY" ~ ndiyo maana TANZANIA waliondoka na kuwaacha WAKOSOVO.

Yaani mwisho wa "HOSTILE SOCIETY" huwa ni mapigano kama ilivyokuwa kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO na YUGOSLAVIA.
 
Mkapa kishatoka yule! Lakini Tanzania inaenda kama Kongo, ndo wakongo walivyokuwaga..
MISTER CLEAN ndiyo aliyenufaika na fedha za WAKONGOMANI kwa kiasi kikubwa. MISTER ZERO aliambulia USD 40,000,000 pekee yake na wengine waliokuwa maafisa waandamizi wa serikali kwa wakati huo walikuwa na mgao wao.

1537d29412457266536381b80b0a202c.jpg

Lakini pia MISTER CLEAN atakumbukwa na TANZANIA kwa kuanzisha taasisi kama TRA, TPA, TAA, NHIF, TCRA, PPRA, TASAF, BRELA, HESLB, EWURA, TACAIDS, SUMATRA, TAKUKURU na TANROADS.

Hivyo ni watu ambao wamefanikiwa kuleta mabadiliko ya kisiasa na kimaendeleo nchini TANZANIA na kujijenga KIUCHUMI wao binafsi.
Wakongo walikuwa wanahama kwao, ila wakifika huko walipo amia wanaanza kuomba hela kwao.. 😂
Hao watu siyo wazuri hata kujihusisha nao, wao ndiyo walianza kufirisi KONGO na baadae wakaja WALOWEZI.
Baadae wakajikuta wanafirisi nchi wao wenyewe na maendeleo wasipate...
Hao watu ni matajiri sana ndiyo wanapatikana hapa [Login • Instagram] wakiwa nchini BRAZILI.
Walikuwa wakiomba hela, wanapewa mifuko imejaa almasi na dhahabu wanaenda kuuza, then wanapata hela za kuwekeza..
Wanamiliki kampuni za kibiashara nyingi na ndiyo wamebakiza EQUATORIAL GUINEA pamoja na SAO TOME.
Mobutu alihamia Gambia na mtoto wake ndo alikuwa rais wa Gambia 🇬🇲.. Wakongo wengi walihamia Gaboni na nchi yao imebaki na umasikini mkubwa..
10109591b11a77f63d2e5f168743ac98.jpg

HAYATI MOBUTU alikuwa ni mjaluo kwa asili na alihamia GAMBIA kipindi bado ni RAIS WA KONGO.

a1950ddcc811e4f1dc9806a98a4d569c.jpg

​
Tunaambiwa RAIS WA GAMBIA ni kizazi cha HAYATI MOBUTU na sasa hivi GAMBIA ni serikali ambayo ipo chini ya WAJALUO.

f25c75d83466b8338b90197792dfa7af.jpg

​
Hivyo SENEGAL ni serikali iliyo chini ya WAKIKUYU na GAMBIA ni serikali iliyo chini ya WAJALUO, ambao wote kwa ujumla wao ni wenyeji wa asili wa TAIFA LA KENYA.

f6a5ec9cbd0276c6fa85a5131d8d2692.jpg

​
Hawa ndiyo WAJALUO na alikuwa na mtoto wa kike aliyemaliza pale shule ya msingi inayoitwa TOWN, 2004 ambaye baadae alifariki kwa ajali ya ndege iliyotokea ziwa viktoria, mkoani KAGERA.

Habari za chini kwa chini zinasema ile ajali ya ndege ilikuwa ni COLLATERAL DAMAGE, sababu kulikuwa kuna abiria ambao wanahusishwa na SIASA ZA MAZIWA MAKUU.

54873ef964d33a7772604f8df2f64dad.jpg

​
Hawa ndiyo WAJALUO, lakini WAKONGOMANI wapo EQUATORIAL GUINEA pamoja na GABON.

a5071252824f488e31da92f782abcfef.jpg

​
Hata HAYATI ODINGA alikuwa siyo mjaluo kwa asili, bali alikuwa ni MTANGANYIKA ambaye wazazi wake wote wawili walikuwa ni miongoni mwa wale WATANGANYIKA MIA TANO [500] waliohamia KENYA kipindi cha UKOLONI.

8f6e4f6f278024249a0c2d3777677642.jpg
Sasa Hela walizoomba Burkina Faso kwa Tanzania unaweza kujenga reli ya sgr nyingine kutoka Dar hadi Kigoma..
Huo ni mtandao wa kupiga fedha za serikali na unafanyika kwa ustadi mkubwa sana kiasi ambacho kama huna akili za 4G au 5G, hauwezi elewa kitu.. 😂
Hii siasa ni ya kijeshi na inafanywa na magereza, saivi wanapeleka watu Burkina Faso na wanapiga hela mno kupitia hiyo michezo.. 🙏
Hiyo ndiyo michezo wanayotumia kupiga fedha za serikali! Idadi ya diaspora wa kitanzania ilikuwa imevuka ile idadi inayotakiwa tangu 2005.

80dd5f5af76383dfe599187478076f2d.jpg

Baada ya hapo, hutukutakiwa tena kupeleka watu nje ya nchi kutokana na sababu za KIDIPLOMASIA.
 
Saivi utaratibu lazima ufatwe, kuasili mtoto ambae sio wako inatakiwa police na ustawi wa jamii wajue.. 🙏
d8c1864cd03ee03ec0515dd9a3c4be8a.jpg

​
Utaratibu huwa upo! Sema kwa TANZANIA huu utaratibu ulififia kutokana na kulegeza baadhi ya masharti.

e38634912221e4c6dc4eb532630889ed.jpg
Watu wanapigana miti huko halafu wao wanaondoka na wanatuachia watoto wao! Wanatiana madole huko.. 😂.
1aa49d5dd34ead872ecc84754ffa45b0.jpg

​
Sheria huwa zipo, sema ni vile hakuna mkazo kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA. Hii ndiyo huwa kazi ya USTAWI WA JAMII.
Huo sio utamaduni wa mtanzania, hata maadil ya mtanzania hayapo hvyo.. 🙏
fbadd3c9cdbd0e95ef02830e788829b2.jpg

​
Utamaduni na maadili ya mtanzania yanafahamika na yapo wazi, maana huwa wanasoma tangu SHULE YA MSINGI. Lakini HOSTILE SOCIETY inadhoofisha shughuli zote za kijamii na maamuzi yote yanakuwa chini ya SERIKALI KUU.

Kwahiyo hauwezi kulaumu watu [I mean raia wa kawaida], kwa sababu serikali ndiyo inakuwa yakulaumiwa kutokana na kufuata mfumo na mtindo gandamizi kwa jamii. WAINGEREZA wanaita "Hostility becomes total way of life"..
 
Hao ndo Kenya 🇰🇪
KENYA wapo vizuri sana, hata upinzani wa kisiasa waliotengeneza umeimarisha TAIFA LA KENYA.

144c4dc17d0c8dec7a1e4e6a42a02200.jpg

​
SERIKALI YA KENYA ndiyo waliotengeneza DYNASTIES na kila DYNASTY inamiliki uchumi mkubwa, tofauti na TANZANIA.

1de251b721f0c6c9775e28fa65e7d991.jpg

​
TANZANIA kuna sarakasi nyingi, kila mtu analia hana hela. Sasa sijui tuguse wapi na tuache wapi.. 😂

b16e5e880a453730f47c829d5ca1a247.jpg

​
Kwahiyo hali halisi ndiyo huwa ipo hivyo, mitazamo na milengo ya kisiasa ndiyo imeifikisha TANZANIA hapa tulipo leo.
 
Tunaambiwa HOSTILE SOCIETY ina sifa tano [5] kwa idadi yake na serikali ikiamua kuwa HOSTILE SOCIETY huwa inachukua miaka ishirini hadi miaka arobaini kuweza kuona matokeo.

Huwa ni "GRADUAL PROCESS" ambayo inachukua miongo kadhaa na siyo "RAPID PROCESS" kama watu wengi wanavyodhani na TANZANIA ilibadilika kutoka "CIVILIZED SOCIETY" na kuwa "HOSTILE SOCIETY" tangu mwaka 1975 hadi leo.

Mataifa kama UINGEREZA, UJERUMANI na ITALIA huwa hawawezi kuishi katika "HOSTILE SOCIETY" huwa wanaondoka na kuhamia katika mataifa mengine ambayo ni "CIVILIZED SOCIETY" ~ ndiyo maana TANZANIA waliondoka na kuwaacha WAKOSOVO.

Yaani mwisho wa "HOSTILE SOCIETY" huwa ni mapigano kama ilivyokuwa kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO na YUGOSLAVIA.
Huo mfumo hatuutak..
 
Back
Top Bottom