Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Watajua wao wenyewe! Lakini haitokuja kujirudia tena TANZANIA kuwa "BATTLEGROUND" kwa siasa za mataifa ya RWANDA, BURUNDI na KONGO.

Yale yalikuwa ni makosa yaliyofanywa na viongozi waliopita. Sasa hivi wanapaswa kurudi kwao na kujenga upya mataifa yao ya asili. KONGO ni nzuri sana.

Pia hatuwezi kuwa na mafungamano na watu ambao wameshindwa kuishi wao wenyewe kwa kuvumiliana. Wale matatizo yao na hayawezi kuisha leo wala kesho.

Tanzania ndo iliwazoesha wao wenyewe na yale yalikuwa ni makosa.. 👏🏽Na kuna viongoz walikuwa wanakulla hela zao..
 
View attachment 3526705

Hata huyu BENNIE MANN ni MTANZANIA ambaye anaishi JAMAIKA na anafanya vizuri katika TASNIA YA MUZIKI.

Tunaambiwa kuna WATANZANIA wengi wanaishi katika TAIFA LA JAMAIKA, lakini bado haijafahamika ni kwanini TANZANIA inakuwa na raia hata sehemu ambayo kunakuwa hakuna uwakilishi wa kibalozi.

Ndiyo! Huwa wanaenda kwa watu ambao hawana elimu au wale watu ambao ni walevi wa pombe, halafu wanawaachia watoto wao.

Hiyo imekuwa ni kasumba, desturi na utamaduni wa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO.

Bennie man anataka kufanana na Afande sele.. 😂🤣 Ooh mbona kama amefulia.. 🙏
 
Sijui! Labda itakuwa ni ndugu, lakini pia kuna watu kama wakina EVE ambao walizaliwa TANZANIA kabla ya kuhamia nchini MAREKANI.

3194a26803684938da417d3cbdb9a86a.jpg

​
EVE ni msanii wa kike anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki wa HIP HOP, nchini MAREKANI.

Wapo WATANZANIA wengi waliohamia ng'ambo na idadi ilizidi kile kiwango kinachotakiwa tangu 2005.

88cac419a6e9c90c5fe372f6cc96c7bd.jpg

​
Idadi kubwa ya WATANZANIA waliohamia MAREKANI, wengi walienda kuishi katika VISIWA VYA KARIBIANI na wengine walirudi AFRIKA katika mataifa ya AFRIKA YA MAGHARIBI kama TOGO na IVORY COAST.

860765d7eca7df59d717dab2ce17b9df.jpg

​
Kuna WATANZANIA wengine walirudi AFRIKA YA MASHARIKI na kuja kuishi katika mataifa ya KENYA, UGANDA na RWANDA.

f74409295a2e4361f1b917b511fce034.jpg

​
Pia kuna wanamichezo mbalimbali wanaoshiriki michezo mbalimbali katika mataifa tofauti tofauti, ukiachana na TANZANIA.

260df6f1519b8aecd95f50efbfd9c3dc.jpg

​
Kwahiyo idadi ya diaspora imezidi kile kiwango kinachotakiwa na tuliambiwa siku SIASA ZA TANZANIA zikichanganya ndiyo tutafahamu maana yake.

74eda59222ee247c6d6300e6d8961885.jpg
 
Sijui! Labda itakuwa ni ndugu, lakini pia kuna watu kama wakina EVE ambao walizaliwa TANZANIA kabla ya kuhamia nchini MAREKANI.

EVE ni msanii wa kike anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki wa HIP HOP, nchini MAREKANI.

Wapo WATANZANIA wengi waliohamia ng'ambo na idadi ilizidi kile kiwango kinachotakiwa tangu 2005.

Idadi kubwa ya WATANZANIA waliohamia MAREKANI, wengi walienda kuishi katika VISIWA VYA KARIBIANI na wengine walirudi AFRIKA katika mataifa ya AFRIKA YA MAGHARIBI kama TOGO na IVORY COAST.

Kuna WATANZANIA wengine walirudi AFRIKA YA MASHARIKI na kuja kuishi katika mataifa ya KENYA, UGANDA na RWANDA.

Pia kuna wanamichezo mbalimbali wanaoshiriki michezo mbalimbali katika mataifa tofauti tofauti, ukiachana na TANZANIA.

Kwahiyo idadi ya diaspora imezidi kile kiwango kinachotakiwa na tuliambiwa siku SIASA ZA TANZANIA zikichanganya ndiyo tutafahamu maana yake.

Huku Tanzania kuna wakina Feti Densa.. 😂 Na Ivory Coast Mmarais wote ni wasukuma tangu mwanzo.. 🙏
 
Eve kazaliwa shinyanga mjini na amehamia Marekani akiwa na miaka 5..🙏
 
Tanzania ndo iliwazoesha wao wenyewe na yale yalikuwa ni makosa.. 👏🏽Na kuna viongoz walikuwa wanakulla hela zao..
Unajua kuwa na familia na malezi kwa watoto huwa ni kipimo cha utu. Hiki ndiyo huwa kigezo cha UZALENDO na kinatumika na mataifa yote yanayofuata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS], ile kikamilifu.

cf6cb467934e641ef50c73ea1490c9aa.jpg

​
Mataifa imara huwa yanajengwa kuanzia ngazi ya familia, kwa kusisitiza kila raia ambaye amefikisha umri wa kuwa na familia aweze kulea na kutunza familia yake.

5e529625d058d1b95e4cc17d50317e2e.jpg

​
Yaani kama mhusika hawezi kutunza familia na malezi kwa watoto aliowazaa yeye mwenyewe anakuwa hana utu wala uzalendo kwa taifa lake.

ab8cc87f7a2d5fb44cd22ee99c8ff67d.jpg

​
Wale wenyeji wa asili wa YUGOSLAVIA huwa wanakosa ule uhalali wa kutambulika katika taifa la MAREKANI kwa kigezo cha kukosa utu katika ule utayari wa kuwa na familia na malezi kwa watoto wao.

Hali kadhalika, kwa upande wa wenyeji wa asili wa mataifa ya RWANDA, BURUNDI na KONGO ~ huwa hawana utu baada ya kukosa ule utayari wa kuwa na familia na malezi kwa watoto waliowazaa wao wenyewe. Hawa huwa wanazaa na kusambaza watoto wao.. 🙏🏽

fd5ed3a3f0d9546ae415c0e5f99d8ea9.jpg

Hizi sheria za kifamilia huwa ni kali kwa mataifa ya mashariki [EASTERN WORLD], wakiamini na kusisitiza kuwa taifa imara linajengwa kuanzia ngazi ya familia.

583e57fc941864a585d643ce001bfb18.jpg

​
Kwahiyo, wao wanaamini amani ya dunia inachagizwa na malezi bora katika ngazi ya kifamilia ~ wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO na YUGOSLAVIA familia zao zilipalanganyika, ndiyo maana walishindwa kuishi kwa kuvumiliana na kuliibuka VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE [CIVIL WAR] ambavyo vilidumu kwa miongo kadhaa.
 
Huku Tanzania kuna wakina Feti Densa.. 😂 Na Ivory Coast Mmarais wote ni wasukuma tangu mwanzo.. 🙏
90cfffba005fa9e8de66207c5db01663.jpg

​
Hata THIERRY HENRY ni mtanzania kwa asili na amecheza mpira wa miguu kwa mafanikio makubwa sana.

a1559f6ac468577ac8012ccd3912c3cc.jpg

​
Tena ni ASKARI WA ZIMAMOTO kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, lakini anawakilisha TAIFA LA UFARANSA katika tasnia ya mchezo wa mpira wa miguu.

a31e322f1e76be7dc61c792257bceda1.jpg

​
Hii hali walishapitia MATAIFA YA ASIA kama CHINA, JAPANI, KOREA na SAUDI ARABIA. Lakini baadae walirudi kwao na kujenga upya mataifa yao katika tasnia ya michezo.

fc1bced074e93f3b470abd2d63e70020.jpg

​
Sasa hivi MATAIFA YA ASIA wanashiriki KOMBE LA DUNIA [WORLD CUP] na wanatoa upinzani mkali kwa MATAIFA YA ULAYA pamoja na AMERIKA ambao ndiyo waasisi wa KOMBE LA DUNIA [WORLD CUP].

f1fa04b595206a4da96c9740bb740a8b.jpg

​
Hata MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI yalishapitia huko, sasa hivi wanamichezo wao wanashiriki katika ngazi ya vilabu huko duniani, lakini ikifika wakati wa kuwakilisha taifa wanarudi kwao na kuwakilisha mataifa yao katika tasnia ya michezo na wanafanya vizuri sana.

f254c4ac1340292df4c41f6103042a49.jpg

Lakini shida kubwa bado ipo kwa upande wa MATAIFA YA AFRIKA YA MASHARIKI, hasa TANZANIA ~ wao wanaenda kuishi ULAYA na wanapotelea huko huko.. 😂

01ca9e26314cac84187675a3dbfbb1e4.jpg

​
Ndiyo maana tunasema, kama raia ameamua kuwakilisha taifa la kigeni katika tasnia yoyote, hapaswi kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

Hii huwa ni sheria inayotumika katika mataifa yaliondelea zaidi kisiasa na kiuchumi, ili kuhamasisha UZALENDO kwa upande wa MATAIFA yao ya asili.
 
Huku Tanzania kuna wakina Feti Densa.. 😂 Na Ivory Coast Mmarais wote ni wasukuma tangu mwanzo.. 🙏
deccc548f6b36038ea3f374b85f5664b.jpg

​
TANZANIA ina watu! Huyu binti ni MTANZANIA na anawakilisha TAIFA LA UHISPANIA katika mchezo wa mpira wa miguu.

771cd03cf11108e6c4dbe56be6280e51.jpg

Hii hali walishapitia MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI, sasa hivi wanarudisha raia wao kwenda kujenga upya mataifa yao ya asili.

6e226212870285d224d30af57a61fb80.jpg

​
Hawa ni WATANZANIA waliowakilisha TAIFA LA MAREKANI katika michuano ya OLIMPIKI iliyopita.

47e05f312ec9c04c4cd03a81f43b6e62.jpg

​
Hii hali walishapitia yale MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO, ila wao walishindwa kurudi kwao kwa wakati na mataifa yao yalidhohofika na baadae WALOWEZI walileta mabadiliko ya kisiasa kupitia MAPINDUZI YA KIJESHI.

2597cf5a920121d7af02d0a68e6f5d1c.jpg

Hawa wote ni WATANZANIA! Sasa haikujulikana mapema kama walishaukana uraia wa kitanzania au lah..

8bcc417f05249877a762da4d6d970cc4.jpg

​
Lakini hauwezi kupeperusha bendera ya taifa la MAREKANI, kama siyo raia wa TAIFA LA MAREKANI.

72197803127bddfec425294f70b1ad7a.jpg

​
Ina maana hawa wote tayari ni raia wa MAREKANI, iwe "BY BIRTH" au "BY ACQUIRED" tayari ni raia wa MAREKANI.

53efba54777ad28362403c20043207b1.jpg

​
Hiki kitu walishakikataa yale mataifa ya AFRIKA YA MAGHARIBI kama MALI, GUINEA, SENEGAL, GHANA, IVORY COAST pamoja na NAIJERIA. Sasa hivi wana hazina kubwa ya wanamichezo.

930afd8b9392c7eb110ded7be8b8f8bc.jpg

​
Lakini TANZANIA bado ina safari ndefu kufika kule tulipotakiwa kuwa tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964].

0e23690b2723653ee39773cc32ca3e29(1).jpg

​
Kwahiyo hali halisi ndiyo huwa ipo hivyo kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
 
Eve kazaliwa shinyanga mjini na amehamia Marekani akiwa na miaka 5..🙏

EVE amehamia MAREKANI akiwa bado binti mdogo, miaka mitano [5] na alikuta kuna WATANZANIA wengine walikuwa wamezaliwa pale na walianza kuingia MAREKANI tangu TANZANIA inaitwa TANGANYIKA.

5555617d47213f85a094da51266effde.jpg

​
Lakini sasa hivi miji yote ya MAREKANI na ULIMWENGU mzima wanamfahamu EVE kupitia kazi yake ya muziki, You Know.. 🎶😂
 
Tanzania ndo iliwazoesha wao wenyewe na yale yalikuwa ni makosa.. 👏🏽Na kuna viongoz walikuwa wanakulla hela zao..
Hata ukiwa ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM], wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO na YUGOSLAVIA huwa wanalipwa mishahara pamoja na posho kupitia serikali zao.

129b6f159bc176c92451e3e284dadddc.jpg

Hata fedha za mfuko wa jimbo huwa zinatoka katika OFISI ZA KIBALOZI ~ CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] pamoja na OFISI YA BUNGE huwa hawalipi hata senti tano [5].

b446eff9ebc8c6998eeb722d2ca411e5.jpg

​
Fedha zote huwa zinatoka katika OFISI ZA KIBALOZI kupitia mataifa yao ya asili.
 
Hata THIERRY HENRY ni mtanzania kwa asili na amecheza mpira wa miguu kwa mafanikio makubwa sana.

Tena ni ASKARI WA ZIMAMOTO kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, lakini anawakilisha TAIFA LA UFARANSA katika tasnia ya mchezo wa mpira wa miguu.

Hii hali walishapitia MATAIFA YA ASIA kama CHINA, JAPANI, KOREA na SAUDI ARABIA. Lakini baadae walirudi kwao na kujenga upya mataifa yao katika tasnia ya michezo.

Sasa hivi MATAIFA YA ASIA wanashiriki KOMBE LA DUNIA [WORLD CUP] na wanatoa upinzani mkali kwa MATAIFA YA ULAYA pamoja na AMERIKA ambao ndiyo waasisi wa KOMBE LA DUNIA [WORLD CUP].

Hata MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI yalishapitia huko, sasa hivi wanamichezo wao wanashiriki katika ngazi ya vilabu huko duniani, lakini ikifika wakati wa kuwakilisha taifa wanarudi kwao na kuwakilisha mataifa yao katika tasnia ya michezo na wanafanya vizuri sana.

Lakini shida kubwa bado ipo kwa upande wa MATAIFA YA AFRIKA YA MASHARIKI, hasa TANZANIA ~ wao wanaenda kuishi ULAYA na wanapotelea huko huko.. 😂

Ndiyo maana tunasema, kama raia ameamua kuwakilisha taifa la kigeni katika tasnia yoyote, hapaswi kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

Hii huwa ni sheria inayotumika katika mataifa yaliondelea zaidi kisiasa na kiuchumi, ili kuhamasisha UZALENDO kwa upande wa MATAIFA yao ya asili.

Henry na Etoo ni watoto wa wakuu wa majesh ya zimamoto na magereza.. 🙏 🙏 Etoo ni mwanguku generation pamoja na adc wa Samia sulluhu hasan.. 🙏
 
TANZANIA ina watu! Huyu binti ni MTANZANIA na anawakilisha TAIFA LA UHISPANIA katika mchezo wa mpira wa miguu.

Hii hali walishapitia MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI, sasa hivi wanarudisha raia wao kwenda kujenga upya mataifa yao ya asili.

Hawa ni WATANZANIA waliowakilisha TAIFA LA MAREKANI katika michuano ya OLIMPIKI iliyopita.

Hii hali walishapitia yale MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO, ila wao walishindwa kurudi kwao kwa wakati na mataifa yao yalidhohofika na baadae WALOWEZI walileta mabadiliko ya kisiasa kupitia MAPINDUZI YA KIJESHI.

Hawa wote ni WATANZANIA! Sasa haikujulikana mapema kama walishaukana uraia wa kitanzania au lah..

Lakini hauwezi kupeperusha bendera ya taifa la MAREKANI, kama siyo raia wa TAIFA LA MAREKANI.

Ina maana hawa wote tayari ni raia wa MAREKANI, iwe "BY BIRTH" au "BY ACQUIRED" tayari ni raia wa MAREKANI.

Hiki kitu walishakikataa yale mataifa ya AFRIKA YA MAGHARIBI kama MALI, GUINEA, SENEGAL, GHANA, IVORY COAST pamoja na NAIJERIA. Sasa hivi wana hazina kubwa ya wanamichezo.

Lakini TANZANIA bado ina safari ndefu kufika kule tulipotakiwa kuwa tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964].

Kwahiyo hali halisi ndiyo huwa ipo hivyo kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
Hawa wengi ni vizaz vya wakuu wa majesh kwa upande wa Tanzania na hao ndo walitaka kufanya Tanzania kuwa kama kongo.. 🙏
 
Hata ukiwa ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM], wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO na YUGOSLAVIA huwa wanalipwa mishahara pamoja na posho kupitia serikali zao.

Hata fedha za mfuko wa jimbo huwa zinatoka katika OFISI ZA KIBALOZI ~ CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] pamoja na OFISI YA BUNGE huwa hawalipi hata senti tano [5].

Fedha zote huwa zinatoka katika OFISI ZA KIBALOZI kupitia mataifa yao ya asili.
Watumishi wa hivyo wa nn3.. 😂 Wananchi atawakilisha wa wapi
TANZANIA ina watu! Huyu binti ni MTANZANIA na anawakilisha TAIFA LA UHISPANIA katika mchezo wa mpira wa miguu.

Hii hali walishapitia MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI, sasa hivi wanarudisha raia wao kwenda kujenga upya mataifa yao ya asili.

Hawa ni WATANZANIA waliowakilisha TAIFA LA MAREKANI katika michuano ya OLIMPIKI iliyopita.

Hii hali walishapitia yale MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO, ila wao walishindwa kurudi kwao kwa wakati na mataifa yao yalidhohofika na baadae WALOWEZI walileta mabadiliko ya kisiasa kupitia MAPINDUZI YA KIJESHI.

Hawa wote ni WATANZANIA! Sasa haikujulikana mapema kama walishaukana uraia wa kitanzania au lah..

Lakini hauwezi kupeperusha bendera ya taifa la MAREKANI, kama siyo raia wa TAIFA LA MAREKANI.

Ina maana hawa wote tayari ni raia wa MAREKANI, iwe "BY BIRTH" au "BY ACQUIRED" tayari ni raia wa MAREKANI.

Hiki kitu walishakikataa yale mataifa ya AFRIKA YA MAGHARIBI kama MALI, GUINEA, SENEGAL, GHANA, IVORY COAST pamoja na NAIJERIA. Sasa hivi wana hazina kubwa ya wanamichezo.

Lakini TANZANIA bado ina safari ndefu kufika kule tulipotakiwa kuwa tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964].

Kwahiyo hali halisi ndiyo huwa ipo hivyo kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
Hapo kuna mtoto wa mkapa.. 🙏
 
Henry na Etoo ni watoto wa wakuu wa majesh ya zimamoto na magereza.. 🙏 🙏 Etoo ni mwanguku generation pamoja na adc wa Samia sulluhu hasan.. 🙏
Wale wakuu wa MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO baada ya mwaka 1975 ni ROYAL FAMILY kuliko HAYATI MWALIMU pamoja na HAYATI KARUME.

1ed8ac1a47be22b513b20c251ba94c98.jpg

Hao ndiyo waliofanya mapinduzi baridi kwa kununua vyama vya TANU pamoja na ASP. Tofauti na hapo, TANU ingelikuwepo hadi leo kama ilivyo kwa upande wa KANU nchini KENYA.

12f59518c336ac6f5dd67a32c8837152.jpg

​
Sasa wale wenzenu walikuwa ni wanafunzi bora [TO's] na walijijenga kiuchumi, walizaa watoto wengi na walisomesha kwa bidii.

9f45a9758ab123869dcb31a077a00cc5.jpg

​
Ikumbukwe pia wakuu wa MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO huwa wanatoka katika JESHI LA POLISI na huwa wanajiunga na JESHI LA POLISI wakifikisha miaka 35.

df3991fb690313590a45ef5c13df893d.jpg

​
Hivyo JESHI LA POLISI ndiyo limeshikilia MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO, pia JESHI LA MAGEREZA ndiyo limeshikilia JESHI LA ULINZI na muunganiko wa haya majeshi manne [4] huwa unapatikana kwa namna hiyo, ikiwa chanzo ni JESHI LA POLISI.

Yale majeshi mengine kama JESHI LA UHAMIAJI na JESHI LA UHIFADHI WA WANYAMA PORI huwa ni mjumuisho wa majeshi manne [4] ya MAGEREZA, POLISI, ZIMAMOTO na JESHI LA ULINZI.

f5df6ce493ac308b08039fbb076c2233.jpg

​
Kwahiyo wale wenzenu walizaa kweli kweli, kwa sababu ukishakuwa MKUU WA JESHI ~ familia inalindwa hadi kizazi cha tano [5].

cd68d14b1d66a86f506c316452ec153d.jpg

​
Ukiachana na wakina SAMUEL ETO'O pamoja na THIERRY HENRY kuna watu kama wakina PATRICK KLUIVERT, EDGAR DAVIES na CLARENCE SEEDORF. Hawa wote ni vizazi vya VIONGOZI WA MAJESHI bila ya kusahau wakina SYLVAIN WILTORD.

2dc08ab2ca26843ea591f97a4de0d26a.jpg

​
Hawa wanajijenga kuwa ROYAL FAMILIES vizuri sana, kuliko hata WANASIASA kwa sababu wanaanza kufanya vizuri kitaifa katika SEKTA YA ELIMU, halafu wanajiunga na MAJESHI na wengine wanashiriki katika MICHEZO.

3de380457509fc139c59947a3d60d1a0.jpg

Hawa wataendelea kuwepo katika SERIKALI YA TANZANIA, kwa sababu vizazi vyao vinatambulika serikalini na wanasoma sana.

Hii ELIMU YA DARASA LA SABA, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA bila kuingia KUMI [10] BORA KITAIFA wanakuwa hawajafanya vizuri na SE FAIRE VALOIR inakuwa haijazingatiwa.
 
Hawa wengi ni vizaz vya wakuu wa majesh kwa upande wa Tanzania na hao ndo walitaka kufanya Tanzania kuwa kama kongo.. 🙏
3cbd38276e976952a329d638bd511b82.jpg

​
Shida ya TANZANIA ni kutokufuata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS], ile kikamilifu.

Kama raia ameamua kuwakilisha taifa la kigeni katika tasnia yoyote, haruhusiwa kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa upande wa TAIFA LA ASILI, wala hapaswi kukumbushwa kuhusu UTAIFA wake.

5e6f526f00f673ef7a61b71abad756bc.jpg

​
Sasa hivi kuna wakina JUSTIN KLUIVERT, RUBEN KLUIVERT pamoja na SHANE KLUIVERT ambao ni muendelezo wa kizazi cha MKUU WA JESHI.

Hawa hawapaswi kukumbushwa kuhusu UTAIFA wao, lakini pia hawatakiwi kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA kwa sababu wanakuwa wanawakilisha mataifa mengine katika tasnia ya mchezo wa mpira wa miguu.
 
Hawa wengi ni vizaz vya wakuu wa majesh kwa upande wa Tanzania na hao ndo walitaka kufanya Tanzania kuwa kama kongo.. 🙏
Sasa hivi WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] huwa wanaanzia cheo cha SP katika JESHI LA POLISI wakifikisha miaka 35.

1d675eeefd7fc6fd8a494b66c45e785e.jpg

​
Huwa wanapitia OFISI YA OCD-WILAYA au OFISI YA RCO-MKOA ambao mwanafunzi atakuwa alifanikiwa kuongoza kimasomo kipindi anasoma SHULE YA MSINGI au SHULE YA SEKONDARI.

6d1390bd35619a1abc76f916ccc970a9.jpg

​
Ikitokea mwanafunzi alifanya vizuri kitaifa mara mbili atatunukiwa cheo cha SSP katika JESHI LA POLISI na tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964] alishapatikana SSP kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA].

f9586b83cb787c8da7e8d65439d330bb.jpg

​
Pia ikitokea mwanafunzi alifanya vizuri kitaifa mara tatu mtawaliwo atatunukiwa cheo cha ACP katika JESHI LA POLISI na tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964] alipatikana ACP kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] ya 2010.

56dc2474b552d9b3f9f2368b4091add4.jpg

​
Sasa baada ya kufanikiwa kufika ile miaka 35, wale WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] huwa wanaanza kulipwa mishahara kwa muda wa mwaka mmoja, ili pale watakapokabidhiwa sare [OPU] zao ipatikane pesa ya kugharamia sare za kijeshi pamoja na vitendea kazi kutoka katika yale malimbikizo ya mishahara.

4427145a5bfd9d20747f19337c60d7d7.jpg

Malimbikizo ya mishahara yanaweza kuanzia miezi mitano [5] hadi miezi kumi na mbili [12], ambayo inatimiza mwaka mmoja ili kulipia gharama za sare za kijeshi pamoja na vitendea kazi.

Kwahiyo idadi kubwa ya WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] huwa wanabaki jeshini kwa malengo ya kuwa CGP, IGP na CGF.

03f1a679db489f65c150c58911d5705d.jpg

​
Hao wenzenu huwa wanasoma sana, ndiyo maana mara nyingi wanapatikana KUMI [10] BORA kwa sababu wanakuwa wanafahamu umuhimu wa ELIMU YA MSINGI pamoja na ELIMU YA SEKONDARI katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
 
Wale wakuu wa MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO baada ya mwaka 1975 ni ROYAL FAMILY kuliko HAYATI MWALIMU pamoja na HAYATI KARUME.

Hao ndiyo waliofanya mapinduzi baridi kwa kununua vyama vya TANU pamoja na ASP. Tofauti na hapo, TANU ingelikuwepo hadi leo kama ilivyo kwa upande wa KANU nchini KENYA.

Sasa wale wenzenu walikuwa ni wanafunzi bora [TO's] na walijijenga kiuchumi, walizaa watoto wengi na walisomesha kwa bidii.

Ikumbukwe pia wakuu wa MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO huwa wanatoka katika JESHI LA POLISI na huwa wanajiunga na JESHI LA POLISI wakifikisha miaka 35.

Hivyo JESHI LA POLISI ndiyo limeshikilia MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO, pia JESHI LA MAGEREZA ndiyo limeshikilia JESHI LA ULINZI na muunganiko wa haya majeshi manne [4] huwa unapatikana kwa namna hiyo, ikiwa chanzo ni JESHI LA POLISI.

Yale majeshi mengine kama JESHI LA UHAMIAJI na JESHI LA UHIFADHI WA WANYAMA PORI huwa ni mjumuisho wa majeshi manne [4] ya MAGEREZA, POLISI, ZIMAMOTO na JESHI LA ULINZI.

Kwahiyo wale wenzenu walizaa kweli kweli, kwa sababu ukishakuwa MKUU WA JESHI ~ familia inalindwa hadi kizazi cha tano [5].

Ukiachana na wakina SAMUEL ETO'O pamoja na THIERRY HENRY kuna watu kama wakina PATRICK KLUIVERT, EDGAR DAVIES na CLARENCE SEEDORF. Hawa wote ni vizazi vya VIONGOZI WA MAJESHI bila ya kusahau wakina SYLVAIN WILTORD.

Hawa wanajijenga kuwa ROYAL FAMILIES vizuri sana, kuliko hata WANASIASA kwa sababu wanaanza kufanya vizuri kitaifa katika SEKTA YA ELIMU, halafu wanajiunga na MAJESHI na wengine wanashiriki katika MICHEZO.

Hawa wataendelea kuwepo katika SERIKALI YA TANZANIA, kwa sababu vizazi vyao vinatambulika serikalini na wanasoma sana.

Hii ELIMU YA DARASA LA SABA, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA bila kuingia KUMI [10] BORA KITAIFA wanakuwa hawajafanya vizuri na SE FAIRE VALOIR inakuwa haijazingatiwa.
Wiltod na Tobias mwesiga wa udom social sciences ni ndugu..🙌
 
Shida ya TANZANIA ni kutokufuata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS], ile kikamilifu.

Kama raia ameamua kuwakilisha taifa la kigeni katika tasnia yoyote, haruhusiwa kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa upande wa TAIFA LA ASILI, wala hapaswi kukumbushwa kuhusu UTAIFA wake.

Sasa hivi kuna wakina JUSTIN KLUIVERT, RUBEN KLUIVERT pamoja na SHANE KLUIVERT ambao ni muendelezo wa kizazi cha MKUU WA JESHI.

Hawa hawapaswi kukumbushwa kuhusu UTAIFA wao, lakini pia hawatakiwi kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA kwa sababu wanakuwa wanawakilisha mataifa mengine katika tasnia ya mchezo wa mpira wa miguu.
Nyamka generation na hao ndo mtandao wa RA..
 
Sasa hivi WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] huwa wanaanzia cheo cha SP katika JESHI LA POLISI wakifikisha miaka 35.

Huwa wanapitia OFISI YA OCD-WILAYA au OFISI YA RCO-MKOA ambao mwanafunzi atakuwa alifanikiwa kuongoza kimasomo kipindi anasoma SHULE YA MSINGI au SHULE YA SEKONDARI.

Ikitokea mwanafunzi alifanya vizuri kitaifa mara mbili atatunukiwa cheo cha SSP katika JESHI LA POLISI na tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964] alishapatikana SSP kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA].

Pia ikitokea mwanafunzi alifanya vizuri kitaifa mara tatu mtawaliwo atatunukiwa cheo cha ACP katika JESHI LA POLISI na tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964] alipatikana ACP kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] ya 2010.

Sasa baada ya kufanikiwa kufika ile miaka 35, wale WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] huwa wanaanza kulipwa mishahara kwa muda wa mwaka mmoja, ili pale watakapokabidhiwa sare [OPU] zao ipatikane pesa ya kugharamia sare za kijeshi pamoja na vitendea kazi kutoka katika yale malimbikizo ya mishahara.

Malimbikizo ya mishahara yanaweza kuanzia miezi mitano [5] hadi miezi kumi na mbili [12], ambayo inatimiza mwaka mmoja ili kulipia gharama za sare za kijeshi pamoja na vitendea kazi.

Kwahiyo idadi kubwa ya WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] huwa wanabaki jeshini kwa malengo ya kuwa CGP, IGP na CGF.

Hao wenzenu huwa wanasoma sana, ndiyo maana mara nyingi wanapatikana KUMI [10] BORA kwa sababu wanakuwa wanafahamu umuhimu wa ELIMU YA MSINGI pamoja na ELIMU YA SEKONDARI katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.

Zamani watu walikuwa wanasoma sna, hata maksi zilikuwa ni kubwa.. Saivi wanafunzi wakijitahidi ni 95%
 
Back
Top Bottom