Wale waliokuwa CGP - MSTAAFU na CGF - MSTAAFU walitaka kufanya TANZANIA kuwa kama KONGO na walitaka kuwafanya WATANZANIA kuwa kama WAHUTU.
Unajua mataifa yote ambayo yalifanikiwa kupata uhuru kutoka kwa UINGEREZA yalikuwa yanafuata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS], ile kikamilifu.
Lakini baadae, baada ya MAPINDUZI BARIDI yaliyotokea mwaka 1975 yalifanikiwa kubadilisha mfumo mzima wa kiutawala na kijamii kutoka "CIVILIZED SOCIETY" na kuwa "HOSTILE SOCIETY" ~ mfumo ambao ulikuwa unatumika na mataifa yaliyokuwa chini ya UFARANSA na UBELIGIJI.
"CIVILIZED SOCIETY" inafuata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS], lakini "HOSTILE SOCIETY" haifuati sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] na ina athari hadi upande wa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Upande wa "CIVILIZED SOCIETY" ~ kipaumbele cha kwanza cha kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ni wale raia waliozaliwa na kulelewa na wazazi wote wawili!
Lakini ikitokea mzazi mmoja amefariki au wazazi wote wawili wamefariki, inabidi kuwepo na uthibitisho wa vyeti vya vifo na kuonesha raia ni YATIMA.
Wanafanya hivyo wakiamini kuwa raia aliyelelewa na wazazi wote wawili anakuwa na ule upendo kutoka kwa wazazi ambao anaweza kuonesha kwa watu wengine na kufanyika kuwa MZALENDO kwa taifa lake.
"CIVILIZED SOCIETY" huwa ni vigumu kupata nafasi ya kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa raia ambao wameasiliwa au wamelelewa na wazazi ambao siyo wao.
Raia walioasiliwa na kulelewa na wazazi ambao siyo wao, huwa ni vigumu kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA katika "CIVILIZED SOCIETY" ~ wakiamini kuwa raia aliyeasiliwa anakuwa amekosa ule upendo kutoka kwa wazazi wake na inakuwa vigumu kuonesha upendo kwa watu wengine na hatimaye hawezi kuwa MZALENDO kwa taifa lake.
Lakini "HOSTILE SOCIETY" ina ruhusu raia ambao wameasiliwa na kulelewa na wazazi ambao siyo wao, kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
"
HOSTILE SOCIETY" haichagui wala haibagui! Wao wanahitaji raia awe na utimamu wa mwili na akili, mfano ni wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO na YUGOSLAVIA. Majeshi yao yalikuwa ni dhaifu sana, kiasi ambacho yaliweza kuvamiwa na kushindwa katika mapigano ya kivita.
Sasa kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ~ MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA hasa JESHI LA ULINZI lilianza kudhohofika kipindi hiki cha kuanzia mwaka 1975 kutokana na kuruhusu wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO na YUGOSLAVIA kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
View attachment 3532337
Wanasema hivyo kwa sababu hauwezi kupata amani au ufanisi kutoka katika jamii za watu ambazo zilishindwa kuishi kwa kuvumiliana.
Kwahiyo uwepo wa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO na YUGOSLAVIA nchini TANZANIA tutategemea vurugu, athari za kijamii pamoja na kudhohofika utendaji kazi katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, hasa JESHI LA ULINZI.
Hali hii ikiendelea, tegemea madhaifu makubwa kwa upande wa JESHI LA ULINZI! Ule upande mwingine wa MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO wapo vizuri na waliwaondoa wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO na YUGOSLAVIA kama tahadhari.