Hao wenzenu walianza kufanya vizuri kitaifa tangu AWAMU YA TATU [1995-2005] na wanamiliki majengo yao kama zawadi ya DARASA LA SABA [2003] na KIDATO CHA PILI [2005].
Jengo la tatu [3] na jengo la tano [5] kutoka SURRENDER BRIDGE, zawadi ambayo alipata tangu AWAMU YA TATU iliyoongozwa na MISTER CLEAN.
Majengo ambayo yalikuwa yamepangwa kutolewa kama zawadi kwa WANAFUNZI BORA pamoja na WANAFUNZI VINARA yapo zaidi ya mia nne [>400], yanayopatikana kwa upande wa TANZANIA BARA na TANZANIA VISIWANI.
Majengo hayo ni yale yaliyokuwepo tangu kipindi cha UKOLONI WA KIJERUMANI na KIINGEREZA ambayo yalikuwa na yanaendelea kutumika na serikali.
AWAMU YA NNE [2005-2015] ilivyoingia madarakani ilikuwa inatoa zawadi ya magari aina ya TOYOTA LANDCRUISER kwa upande wa WANAFUNZI BORA pamoja na WANAFUNZI VINARA.
Wenzenu walifanikiwa kupata zawadi nyingine za magari mawili aina ya TOYOTA LANDCRUISER kwa upande wa KIDATO CHA NNE [2007] na KIDATO CHA SITA [2010].
Sasa hivi wenzenu wametulia kama hawapo na wanaendelea kufanya mazoezi ya viungo mdogomdogo.
CHUO KIKUU alikuwa RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI, hivyo hakuna haja ya kujihusisha na siasa za kitaifa. Ijapokuwa bado kile cheo cha urithi kitakuwa kinaendelea.
Kwahiyo wenzenu huwa wanajiunga na MAJESHI wanapofikisha miaka thelathini na tano [35].
Ndiyo maana sasa hivi vijana wamenyooka, wanajianda kuongoza MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO.