Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 3,694
- 3,309
Wale watu walikuwa wanaiharibu TANZANIA! TANZANIA ilikuwa ni nchi ya mfano, lakini baada ya mwaka 1975 kila kitu kilianza kwenda ndivyo sivyo..Wakina Nyamka ndo wakaingiza wakosovo katika uchaguzi mkuu ili watambulike kama jumuiya ya ulaya.. 🤣
Tunaambiwa hata kwa upande wa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ilikuwa ni lazima kusoma na kujifunza sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS]. Lakini baada ya mwaka 1975, waliondoa hiyo programu.
Zamani ilikuwa ukitoka depo la kijeshi, askari alikuwa anatafuta mwenza wa kuoa au kuolewa. Lakini sasa hivi askari akitoka depo la kijeshi, anawaza kuzaa tu! Yale mafundisho yaliyokuwepo zamani, hayapo tena.
Zamani ilikuwa ni marufuku kwa raia aliyeasiliwa katika ukuaji na malezi yake kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Hata askari ilikuwa haruhusiwi kuasili mtoto bila ya kufuata utaratibu, akienda kinyume na utaratibu, anafukuzwa kazi.
Walikuwa wanafanya hivyo ili kupunguza au kuondoa kabisa uwezekano wa kupatikana kwa mapandikizi au mamluki ndani ya MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Lakini baada ya TANZANIA kufanyika kuwa SOBER HOUSE kwa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI, KONGO na YUGOSLAVIA walipuuza baadhi ya sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS].
Kumbe waliokuwa nyuma ni wao na uchaguzi mkuu wa 2005 walijaribu kuwaingiza na wakaonekana ndo waliompitisha JK, kumbe ni wao wakina Nyamka Generation.. 🙏