Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Mambo mengi yule mzee alijitakia mwenyewe
Laiti angesikiliza ushauri wa
Mtoto wake kumshirikisha
Asingepapoteza pale!
Ila ngoja tuishie hapa
Tusimfungulie sana ma file

Ova
Yule mzee alijitakia mwenyewe.. 🙏 Wakina Lipumba na Makani walihamisha hela zao nyingi kwenda nje ya nchi, tanzania wamebakiza majengo tu! Tangu 2005 walihamisha hela zao na kuhamia Marekani.. 😂
 
Pia huwa kuna mchakato maalum wa kufanya SHULE YA SEKONDARI kuwa ni SHULE YA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOLS].

Mwaka 2010, ule ulimwengu wa kitaaluma ulishuhudia SHULE YA MOSHI SEKONDARI ikitangazwa kuwa ni miongoni mwa SHULE YA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOL] baada ya kufanikiwa kuongoza na kutoa MWANAFUNZI BORA [TO's] kwa mara tatu mtawaliwo kuanzia mwaka 2008, 2009 na 2010 kwa upande wa KIDATO CHA SITA.

Kwahiyo SEKTA YA ELIMU ndiyo huwa ipo hivyo! Pia kuna shule nyingine ambazo zilijaribu ule mchakato wa kuwa miongoni mwa SHULE ZA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOLS] na shule mojawapo ilikuwa ni IYUNGA TECHNICAL SCHOOL inayopatikana MBEYA.

IYUNGA TECHNICAL SCHOOL kwa mwaka 2006 ilitoa DIVISION ONE [96]! Mwaka wa 2007 ilitoa DIVISION ONE [98] na mwaka wa 2008 ilitakiwa kutoa DIVISION ONE [100] kwa upande wa KIDATO CHA NNE, ili itangazwe kuwa miongoni mwa SHULE ZA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOLS], lakini hawakufikia malengo na kushindwa kuwa miongoni mwa SHULE ZA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOLS].

Zamani haya masuala yanayohusu ELIMU YA MSINGI pamoja na ELIMU YA SEKONDARI walikuwa wanatangaza kwenye vituo mbalimbali vya habari kama magazeti, radio na televisheni.

Lakini baadae walisitisha, hivyo idadi kubwa ya wananchi wakawa hawana taarifa za uhakika kwa kile kinachoendelea katika SEKTA YA ELIMU na hayo ndiyo madhara ya kuruhusu jamii ya kitanzania kuwa HOSTILE SOCIETY.

Hata kibaha walifanya hivyo hivyo.. 🙏 Walikuwa wanachukua wale wanafunzi waliongoza mikoani kwa upande wa darasa la saba na kwenye miaka ya alfu mbili ilitangazwa kuwa ni shule ya VIPAJI baada kutoa matio mara tatu mfululizo..lakini zamani kulikuwa kuna MZUMBE, ILBORU na TABORA BOYS, saivi ndo zimeongezeka hizo shule nyingine
 
Wakina Bob Nyanga Makan waliona hayo, ndo maana waliamua kujichenga mapema.. 🙏 Saivi Mbowe mguu mmoja nje na ndani na watoto walishatangulia chauma.. 😂
07b8ed32827d3c72fe40b46e38dc5d6f.jpg

​
Hata MANGI MELI aliamua kujichenga tangu siku nyingi na tunaambiwa ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA ANGOLA inayoitwa CLUBE DE AGOSTO.

bf7584b465dcf5a19aa5a0b687213818.jpg

​
Hata wanamichezo wengi wa timu ya CLUBE DE AGOSTO ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA KILIMANJARO.

92e83902fb982119340ba514116b835f.jpg

​
Tunaambiwa wamejitahidi kuwekeza mitaji mikubwa ya kibiashara nchini ANGOLA na pale OLD MOSHI waliondoka wote na baadae watarudi wajukuu na vitukuu.

43e0019e33c814b161d967143abec486.jpg

​
Kwahiyo wale WATANZANIA waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi, ndiyo waliamua kuishi kwa namna hiyo na kuishi sehemu moja bila ya kuhama hama itawia vigumu kufikia malengo.
 
Hata MANGI MELI aliamua kujichenga tangu siku nyingi na tunaambiwa ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA ANGOLA inayoitwa CLUBE DE AGOSTO.

Hata wanamichezo wengi wa timu ya CLUBE DE AGOSTO ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA KILIMANJARO.

Tunaambiwa wamejitahidi kuwekeza mitaji mikubwa ya kibiashara nchini ANGOLA na pale OLD MOSHI waliondoka wote na baadae watarudi wajukuu na vitukuu.

Kwahiyo wale WATANZANIA waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi, ndiyo waliamua kuishi kwa namna hiyo na kuishi sehemu moja bila ya kuhama hama itawia vigumu kufikia malengo.
Mangi Meli alikuwa anakusanya kodi ya meza tangu enzi ya ukolon ndo maana wana hela hadi leo.. 🙏 Hata Mangi Sina nayy cjui walipotelea wapi, lakini walihama pale Moshi na waliobaki hadi leo ni wakina Chif Marealle
 
Hata kibaha walifanya hivyo hivyo.. 🙏 Walikuwa wanachukua wale wanafunzi waliongoza mikoani kwa upande wa darasa la saba na kwenye miaka ya alfu mbili ilitangazwa kuwa ni shule ya VIPAJI baada kutoa matio mara tatu mfululizo..lakini zamani kulikuwa kuna MZUMBE, ILBORU na TABORA BOYS, saivi ndo zimeongezeka hizo shule nyingine
_20260210_183255.JPG

Ndiyo WIZARA YA ELIMU ilivyo! Mambo yapo mengi sana, lakini wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO BORA [TOP FIVE] huwa ni lazima kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.

_20260203_105459.JPG

Pia huwa siyo ruhusa kujihusisha na SIASA, wala kuajiriwa na UTUMISHI WA UMMA! Yaani TANO BORA [TOP FIVE] huwa ipo upande wa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA na hao ndiyo huwa ASKARI JESHI ambao wanasifa ya kuwa na cheo cha kuanzia LUTENI JENERALI, JENERALI, BRIGEDIA JENERALI hadi CDF.

6452fca37f371ae94a00402636f24a85.jpg

Kwahiyo ukiangalia matokeo ya mtihani wa taifa wa DARASA LA NNE [FTNA], 2000 ~ mwanafunzi aliyeshika nafasi ya tano [5] kitaifa ndiyo aliyekuwa na cheo cha urithi cha UWAZIRI UKUU na nafasi yake ilikoma baada ya kufanikiwa kuingia TANO BORA [TOP FIVE], 2000 katika mtihani wa taifa wa DARASA LA NNE.

3360995e85c07924f74def7a3122f4fe.jpg

Hivyo nafasi ya cheo cha urithi cha UWAZIRI UKUU inaendelea kwa kizazi kinachofuata kwa kuzingatia sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] kupitia SHIRIKA LA ELIMU LA TAIFA [UNESCO].
 
Hata kibaha walifanya hivyo hivyo.. 🙏 Walikuwa wanachukua wale wanafunzi waliongoza mikoani kwa upande wa darasa la saba na kwenye miaka ya alfu mbili ilitangazwa kuwa ni shule ya VIPAJI baada kutoa matio mara tatu mfululizo..lakini zamani kulikuwa kuna MZUMBE, ILBORU na TABORA BOYS, saivi ndo zimeongezeka hizo shule nyingine
Pia huwa kuna kundi lingine ambalo huwa ni lazima wahusika kuwa na vyeo vya kijeshi kuanzia cheo LUTENI JENERALI hadi JENERALI katika JESHI LA ULINZI.

91f2e79b2e6b1bc672fb3e9d66c23fd9.jpg

​
Kundi hilo huwa ni wale viongozi wa kitaifa waliofanikiwa kushika zile nafasi tano [5] za juu! Nafasi hizo ni kama RAIS, MAKAMU URAIS, WAZIRI UKUU, SPIKA na NAIBU USPIKA ~ hawa wote lazima wavikwe vyeo vya kijeshi kuanzia cheo cha LUTENI JENERALI.

178b7262c8a93d49cc266b7f0fda3125.jpg

​
Hizi huwa ni sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] na huwa zinatumika katika mataifa yote wanachama wa UMOJA WA MATAIFA [UN CHARTER].

9481564ca7c88c3a09a4024ae20d1957.jpg

​
Kwa upande wa nafasi ya JAJI UFAWIDHI, lazima wahusika kuwa na vyeo vya kijeshi kwa upande wa MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI na ZIMAMOTO ~ sababu wahusika wanakuwa wanahusika na mahakama za kiraia na gwaride la kijeshi huwa wanakagua kwa upande wa JESHI LA POLISI.

feff3ae6ad5a3a55dfd9f0dd9ff3c99f.jpg

​
Kwahiyo nafasi ya MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa upande wa masuala ya kijamii huwa haziepukiki, ukizingatia "maisha bila ya uaminifu ni kazi bure".. 😂
 
Ndiyo WIZARA YA ELIMU ilivyo! Mambo yapo mengi sana, lakini wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO BORA [TOP FIVE] huwa ni lazima kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.

Pia huwa siyo ruhusa kujihusisha na SIASA, wala kuajiriwa na UTUMISHI WA UMMA! Yaani TANO BORA [TOP FIVE] huwa ipo upande wa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA na hao ndiyo huwa ASKARI JESHI ambao wanasifa ya kuwa na cheo cha kuanzia LUTENI JENERALI, JENERALI, BRIGEDIA JENERALI hadi CDF.

Kwahiyo ukiangalia matokeo ya mtihani wa taifa wa DARASA LA NNE [FTNA], 2000 ~ mwanafunzi aliyeshika nafasi ya tano [5] kitaifa ndiyo aliyekuwa na cheo cha urithi cha UWAZIRI UKUU na nafasi yake ilikoma baada ya kufanikiwa kuingia TANO BORA [TOP FIVE], 2000 katika mtihani wa taifa wa DARASA LA NNE.

Hivyo nafasi ya cheo cha urithi cha UWAZIRI UKUU inaendelea kwa kizazi kinachofuata kwa kuzingatia sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] kupitia SHIRIKA LA ELIMU LA TAIFA [UNESCO].
Necta kuna mambo pale, hata To huwa anajulikana atatoka shule gan kabla ya miezi mitano ya kufanyika mtihani.. 🙏 Huwa kuna wataalam wa kufanya utabiri
 
Kipindi town inawika.. Utackia wakina Alfayo Harun, Sharifa na Irene Calist wanakimbiza tatu bora hawakosekani.. 😂.

Ukaja mtihani wa darasa la 4, akaongoza mwingine ambae hata kumi bora haingiagi... 🙏

Kambin tunashangaa kuona town imeingiza mwanafunzi bora kitaifa.. Maafande wakasema watoto wa mjini watakuwa wamepewa majibu na tusubiri moko.. 😂

Mara paap kitu cha moko kata jamaa kaongoza.. 🙏 Ikabid wakuu waanzishe kampeni ya wanafunzi kwenda kusoma kwao, wakakuta Bute anafundishwa nyumbani kwao.. 😂

Tukasema ngoja tusubiri moko wilaya, imekuja jamaa ameongoza tena had utaifa ni hvyo hvyo..

Tangu cku hiyo Maafande hawaamini tena matokeo ya darasani na wakina Alfayo, Irene, Castro Chuwa na Sharifa tuliwaita jeshinmkndu.. 😂 Halaf baadae watarudisha nguo mapema tu..🙏 Allah Akbaruh
 
Saivi mnasema kweli, ingekuwa familia zenye uwezo ungekuta Butelezi ameanza kuzaa tangu 2003.. 🙏

Lakini mama alikuwa Karani wa mahakama ya nguzonane pale na mwenye nyumba alikuwa anataka kodi yake kwa wakati..🙏

Hivyo isingekuwa rahisi kuzaa watoto na ukizingatia usafiri wa familia ilikuwa ni baiskeli tu..😂

Hizo nyumba za Oysterbay ni zali la mentali kabisaa wala sio utani.. 🙏
 
Necta kuna mambo pale, hata To huwa anajulikana atatoka shule gan kabla ya miezi mitano ya kufanyika mtihani.. 🙏 Huwa kuna wataalam wa kufanya utabiri
91fee34ca09ec6e548d191eb9a019735.jpg

​
Tena huwa ikifika mwezi wa nane [8] baada ya matokeo ya MOCK, huwa wanajua hadi majina ya WANAFUNZI BORA [TO's] wa DARASA LA NNE, DARASA LA SABA, KIDATO CHA PILI, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA.

Baada ya matokeo ya MOKO KANDA YA KASKAZINI [2009], wenzenu walifanikiwa kujua MWANAFUNZI BORA [TO] wa kidato cha sita [2010] na walikuwa wanasubiri kutangaza kwenye vyombo vya habari tu.
Necta kuna mambo pale, hata To huwa anajulikana atatoka shule gan kabla ya miezi mitano ya kufanyika mtihani.. 🙏 Huwa kuna wataalam wa kufanya utabiri
22c45d4ad054608cb7e03a7051df76e5.jpg

​
Hata hali ya hewa huwa inabadilika, ile "ATMOSPHERIC PRESSURE" inakuwa ya tofauti na iliyozoeleka pale shuleni.
 
Kipindi town inawika.. Utackia wakina Alfayo Harun, Sharifa na Irene Calist wanakimbiza tatu bora hawakosekani.. 😂.

Ukaja mtihani wa darasa la 4, akaongoza mwingine ambae hata kumi bora haingiagi... 🙏

Kambin tunashangaa kuona town imeingiza mwanafunzi bora kitaifa.. Maafande wakasema watoto wa mjini watakuwa wamepewa majibu na tusubiri moko.. 😂

Mara paap kitu cha moko kata jamaa kaongoza.. 🙏 Ikabid wakuu waanzishe kampeni ya wanafunzi kwenda kusoma kwao, wakakuta Bute anafundishwa nyumbani kwao.. 😂

Tukasema ngoja tusubiri moko wilaya, imekuja jamaa ameongoza tena had utaifa ni hvyo hvyo..

Tangu cku hiyo Maafande hawaamini tena matokeo ya darasani na wakina Alfayo, Irene, Castro Chuwa na Sharifa tuliwaita jeshinmkndu.. 😂 Halaf baadae watarudisha nguo mapema tu..🙏 Allah Akbaruh
a6c76a9d79cf51d333e3e3b2df326976.jpg
 
Tena huwa ikifika mwezi wa nane [8] baada ya matokeo ya MOCK, huwa wanajua hadi majina ya WANAFUNZI BORA [TO's] wa DARASA LA NNE, DARASA LA SABA, KIDATO CHA PILI, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA.

Baada ya matokeo ya MOKO KANDA YA KASKAZINI [2009], wenzenu walifanikiwa kujua MWANAFUNZI BORA [TO] wa kidato cha sita [2010] na walikuwa wanasubiri kutangaza kwenye vyombo vya habari tu.

Hata hali ya hewa huwa inabadilika, ile "ATMOSPHERIC PRESSURE" inakuwa ya tofauti na iliyozoeleka pale shuleni.

Kipindi hicho old moshi ilikuwa inaongoza moko hata ilboru, gallanos, tanga tech, kisimiri na karatu secondary ilikuwa zinasubiri.. 🙏 Tunashangaa kijana kutoka shy anaongoza kanda ya kaskazin.. 😂 Kijana alilewa sifa vibaya mno
 
Wale walikuwa ni wakongo na wakosovo, hata Walimu wengi wa Town walikuwa ni wakongo. Ule mkoa wa shinyanga walipewa wakongo na makubaliano yapo na wakongo wakishika vitengo huwa wanapitisha watu wao tu, hata darasani wapo hivyo hivyo... 🙏
Wenzenu walikuwa wanatengeneza pesa kwa namna hiyo, sababu WAKONGO na WAKOSOVO huwa wanalipwa mishahara na SERIKALI zao na mishahara huwa inaingia kwa mafungu ya USD100 tu.

Kwahiyo ukiwa na idadi kubwa ya watumishi ambao ni WAKOSOVO na WAKONGO, ina maana pesa za kigeni zinakuwa nyingi na chenji zinazobaki zilikuwa zinaenda kwa wakuu.

Kulikuwa kuna mgao wa pesa za bure! Wale waliokuwa WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] wa MAGEREZA na ZIMAMOTO walitengeneza mifereji ya kuchota pesa za bure kutoka kwa WAKONGO na WAKOSOVO.
 
Kipindi hicho old moshi ilikuwa inaongoza moko hata ilboru, gallanos, tanga tech, kisimiri na karatu secondary ilikuwa zinasubiri.. 🙏 Tunashangaa kijana kutoka shy anaongoza kanda ya kaskazin.. 😂 Kijana alilewa sifa vibaya mno
Watu walikuwa wanasomesha na ushindani ulikuwa mkubwa! Hata WHITEY HAIR ilikuwa ni hivyo hivyo na yeye alifanikiwa kuasili watoto wenye asili ya KONGO na alifanikiwa kuchukua hela nyingi sana kutoka kwao.

Lakini tunaambiwa watoto wake wa kuwazaa wapo TABORA tangu miaka ya tisini [1990's] na wengi ni SE FAIRE VALOIR! Hao tunaowaona na kuwasikia kwenye SIASA ZA TANZANIA, ni watoto ambao aliwaasili kutoka kwa WAKONGO.

VIONGOZI WA KITAIFA wengi wana watoto nje ya nchi, hasa wale ambao hawakufanikiwa kuingia KUMI [10] BORA kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA.

MZEE RUKSA aliwahi kuwa na kijana aliyekuwa anaitwa AL HASSAN [ILLIASU SHILLA] katika timu ya taifa ya mpira wa miguu ya GHANA na alikuwa akicheza namba saba [7] katika KOMBE LA DUNIA [2006].

8deb2db95961eb100ad8e0cf0fdf5016.jpg

Kwahiyo wenzenu waliamua kufuata mfumo na mtindo wa maisha ya aina hiyo tangu siku nyingi.
 
Hao watu ni wajinga sna, bora warudi kwao.. 🙏
 
Magufuli alikuwa ni mtu wa kijijin.. 😂Wenzie walitengeneza hela nyingi kutoka kwa wakongo..🙏

Hela za jamaa zote ni kutoka kwa wakongo, bungeni hakuna hela! Jamaa alibeba hela nyingi kutoka kwa wakongo.. 🙏

Pamela na Fred wote sio watoto wa jamaa na mama regina mda mwingi yupo Mboka Manyema ndo maana Fred walimuondoa bungeni..

Jamaa ana watoto 5 na ma'am regina na wote walisomea Mboka Manyema.. 🙏
 
Watu walikuwa wanasomesha na ushindani ulikuwa mkubwa! Hata WHITEY HAIR ilikuwa ni hivyo hivyo na yeye alifanikiwa kuasili watoto wenye asili ya KONGO na alifanikiwa kuchukua hela nyingi sana kutoka kwao.

Lakini tunaambiwa watoto wake wa kuwazaa wapo TABORA tangu miaka ya tisini [1990's] na wengi ni SE FAIRE VALOIR! Hao tunaowaona na kuwasikia kwenye SIASA ZA TANZANIA, ni watoto ambao aliwaasili kutoka kwa WAKONGO.

VIONGOZI WA KITAIFA wengi wana watoto nje ya nchi, hasa wale ambao hawakufanikiwa kuingia KUMI [10] BORA kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA.

MZEE RUKSA aliwahi kuwa na kijana aliyekuwa anaitwa AL HASSAN [ILLIASU SHILLA] katika timu ya taifa ya mpira wa miguu ya GHANA na alikuwa akicheza namba saba [7] katika KOMBE LA DUNIA [2006].

Kwahiyo wenzenu waliamua kufuata mfumo na mtindo wa maisha ya aina hiyo tangu siku nyingi.

Hii nchi ipo cku watalushiana ngumi.. 😂 Watoto wao wanacheza nje ya nchi lakin Tanzania viwanja ni vibovu.. 🙏
 
Kipindi hicho old moshi ilikuwa inaongoza moko hata ilboru, gallanos, tanga tech, kisimiri na karatu secondary ilikuwa zinasubiri.. 🙏 Tunashangaa kijana kutoka shy anaongoza kanda ya kaskazin.. 😂 Kijana alilewa sifa vibaya mno
01f5f8d823b7dab8e7c066b685fb76c9.jpg

​
Wenzenu walifanikiwa kuvunja rekodi iliyowekwa na PROFESA MARK MWANDOSYA katika somo la PHYSICS [95] kwa mara tatu mtawaliwo kuanzia KIDATO CHA PILI [2005], KIDATO CHA NNE [2007] na KIDATO CHA SITA [2010].

PROFESA MARK MWANDOSYA alifanikiwa kuweka rekodi katika somo la PHYSICS kwa kupata alama 95% na rekodi yake ilianza kuvunjwa mwaka 2005 katika MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA PILI, baadae ikaja mwaka 2007 katika MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA NNE na ikafuatia mwaka 2010 katika MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA SITA.

FB_IMG_1770275809718.jpg

Kwahiyo rekodi ya PROFESA MARK MWANDOSYA iliishia mwaka 2010, baada ya kupatikana mwanafunzi aliyeongoza somo la PHYSICS [97%] kwa upande wa KIDATO CHA SITA.
 
Hii nchi ipo cku watalushiana ngumi.. 😂 Watoto wao wanacheza nje ya nchi lakin Tanzania viwanja ni vibovu.. 🙏
ae24be2d4c4d24a8649ca7cdcc1b57bf.jpg

Watoto wa viongozi wa serikali pamoja na kijeshi wengi walihamia AFRIKA YA KUSINI baada ya ubaguzi wa rangi kuisha.
28bf702a52675a702b8ce5f715aaff72.jpg

​
Baada ya kupata uhuru, WASAUZI walikuwa hawana ile hali ya kushiriki katika michezo kutokana na maumivu pamoja na hisia kali za kupigania uhuru na iliwalazimu kuhamasisha WAAFRIKA wengi kuhamia AFRIKA YA KUSINI, ikiwemo WATANZANIA.

ebbd0f9a291c150623b92eadc4a48e6f.jpg

Kwahiyo WATANZANIA wengi walihamia AFRIKA YA KUSINI na kupata fursa ya kushiriki katika michezo na burudani wakiwemo wakina BRENDA FASSIE [the late].

Kwa mara ya kwanza, WATANZANIA ndiyo waliofanikiwa kuunda timu ya taifa ya mpira wa miguu ya BAFANA BAFANA na wamecheza mpira wa miguu kwa mafanikio makubwa sana.
​
Lakini baadae WALOWEZI wataondoka na watasimama WASAUZI katika sekta zote za kiuchumi, ikiwemo sekta ya michezo na burudani.
 
Back
Top Bottom