Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Hao watu ni wajinga sna, bora warudi kwao.. 🙏
a568641986f755d2c6a04981287a8dfb.jpg

​
Ipo siku watarudi kwao! Lakini wenzenu walifanikiwa kutengeneza fedha kutoka kwa WAKONGO na WAKOSOVO. Ijapokuwa siyo suala la kuzingatia, kwa sababu huwa wanatumika katika kazi chafu chafu.

856b98ea0f0acc9cdc9c49eac20c1df8.jpg

​
Ndiyo maana wenzenu huwa hawakai nao, ili kuepusha vurugu na migogoro isiyokuwa ya lazima!
 
Ipo siku watarudi kwao! Lakini wenzenu walifanikiwa kutengeneza fedha kutoka kwa WAKONGO na WAKOSOVO. Ijapokuwa siyo suala la kuzingatia, kwa sababu huwa wanatumika katika kazi chafu chafu.

Ndiyo maana wenzenu huwa hawakai nao, ili kuepusha vurugu na migogoro isiyokuwa ya lazima!
Hata sis tumeona, kinachofuata baada ya kuliwa hela zao ni migogoro kama ilivyokuwa kwao huko na sis hututak kuona Tanzania ikiingia kwenye migogoro icyokuwa ya lazima, bora warudi kwao.. 🙏
 
Watoto wa viongozi wa serikali pamoja na kijeshi wengi walihamia AFRIKA YA KUSINI baada ya ubaguzi wa rangi kuisha.
Baada ya kupata uhuru, WASAUZI walikuwa hawana ile hali ya kushiriki katika michezo kutokana na maumivu pamoja na hisia kali za kupigania uhuru na iliwalazimu kuhamasisha WAAFRIKA wengi kuhamia AFRIKA YA KUSINI, ikiwemo WATANZANIA.

Kwahiyo WATANZANIA wengi walihamia AFRIKA YA KUSINI na kupata fursa ya kushiriki katika michezo na burudani wakiwemo wakina BRENDA FASSIE [the late].

Kwa mara ya kwanza, WATANZANIA ndiyo waliofanikiwa kuunda timu ya taifa ya mpira wa miguu ya BAFANA BAFANA na wamecheza mpira wa miguu kwa mafanikio makubwa sana.
​
Lakini baadae WALOWEZI wataondoka na watasimama WASAUZI katika sekta zote za kiuchumi, ikiwemo sekta ya michezo na burudani.

Pale Sauzi kuna timu kama Orlando, Kaizer chiefs na Mamelod Sundowns ambazo zina watoto wa viongoz wa serikali pamoja na viongoz wa kijesh wa Tanzania, hasa jesh la magereza
 
Wenzenu walifanikiwa kuvunja rekodi iliyowekwa na PROFESA MARK MWANDOSYA katika somo la PHYSICS [95] kwa mara tatu mtawaliwo kuanzia KIDATO CHA PILI [2005], KIDATO CHA NNE [2007] na KIDATO CHA SITA [2010].

PROFESA MARK MWANDOSYA alifanikiwa kuweka rekodi katika somo la PHYSICS kwa kupata alama 95% na rekodi yake ilianza kuvunjwa mwaka 2005 katika MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA PILI, baadae ikaja mwaka 2007 katika MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA NNE na ikafuatia mwaka 2010 katika MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA SITA.

Kwahiyo rekodi ya PROFESA MARK MWANDOSYA iliishia mwaka 2010, baada ya kupatikana mwanafunzi aliyeongoza somo la PHYSICS [97%] kwa upande wa KIDATO CHA SITA.

Mzee Mwandosya alikuwa ni msukuma wa Maswa kutoka kijiji cha mwandoya na alihamia Mbeya kabla ya Tanganyika haijapata uhuru.. 🙏 profesa ni kichwa, ila sisiem ndo vichwa ngumu.. 😂 Kwahiyo walikuwa hawaelewan
 
Pale Sauzi kuna timu kama Orlando, Kaizer chiefs na Mamelod Sundowns ambazo zina watoto wa viongoz wa serikali pamoja na viongoz wa kijesh wa Tanzania, hasa jesh la magereza
f983e61acd76b8f14466ae7e6d02c3f8.jpg

Wenzenu ndiyo huwa wanafanya hivyo, lakini pia ikitokea mtoto amefanikiwa kuingia KUMI [10] BORA iwe kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA ndiyo anabaki TANZANIA.

d53674d01042f264728032f7b150a0cc.jpg

​
VIONGOZI WA KITAIFA wengi huwa wanafanya hivyo na wamekuwa wakifanikiwa kwa namna hiyo!

4c4f9ea4b2eff96e749932a68c8d8b42.jpg

​
Tangu miaka ya sitini [1960's], sasa hivi ni kizazi cha tatu [3] na watafanikiwa kufika kizazi cha tano [5].

c93e0f49bb78ad412f666497607e334f.jpg

​
Hawa ndiyo wenye URAMBO yao na kipindi fulani walionesha nia ya kupata fursa ya kuwania nafasi ya kisiasa kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM], sijui waliishia wapi?

6267e05ee3745693729f96fd2e8cbbd2.jpg

​
Hawa walijitahidi sana kujijenga KIUCHUMI kupitia TAIFA LA KONGO kipindi ambacho JOSEPH KASAVUBU [the late] akiwa RAIS WA KWANZA.

305a2518318da1a276968bb911455b2d.jpg

Pia kulikuwa kuna MOISE TSHOMBE ambaye alikuwa RAIS WA KWANZA WA KATANGA, lakini baadae kidogo aliondoka KONGO baada ya JOSEPH KASAVUBU [the late] kuachia madaraka na kumuachia MOBUTU SESE SEKO [the late].
 
Mzee Mwandosya alikuwa ni msukuma wa Maswa kutoka kijiji cha mwandoya na alihamia Mbeya kabla ya Tanganyika haijapata uhuru.. 🙏 profesa ni kichwa, ila sisiem ndo vichwa ngumu.. 😂 Kwahiyo walikuwa hawaelewan
83c945b3d2230afa795329ae9afd9eab.jpg

​
Hata aliyekuwa RAIS WA KWANZA WA KATANGA [1960-63] alikuwa ni MTANGANYIKA, mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA.

9c55db77b0375e4db14a369882644698.jpg

​
Tunaambiwa MOISE KAPENDA TSHOMBE alizaliwa na kusoma MSUFINI, shule inayopatikana SHINYANGA MJINI na mwaka 1964, JULAI 10 alifanikiwa kuwa WAZIRI MKUU WA KONGO baada ya CYRILLE ADOURA.

14098631523b889b5729c16267381ab8.jpg

​
Baada ya HAYATI MOBUTU kuchukua nchi, MOISE TSHOMBE [the late] alienda UHISPANIA kwenda kuishi uhamishoni.

ad5cbd85a362091295a9ac1d4d3882ad.jpg

​
Baadae alihamia ALJERIA, hadi umauti ulivyomkuta lakini tunaambiwa HAYATI MWALIMU alihusika katika ile namna ya kumrudisha TANZANIA.

474addfbe4f27b3a5795aef97236f647.jpg

Kwahiyo VIONGOZI WA KITAIFA na KIJESHI ndiyo huwa wanaishi kwa namna hiyo, hata raia wa kawaida mwenye ukwasi wake anaweza kujipanga na akafanikiwa.

TANZANIA ina mambo sana na mengine unaweza ukastaajabu ukiambiwa na hata kuyasikia.

74dc827ba5335588a12862f718d92a97.jpg

​
Lakini HAYATI MWALIMU "was the best", viongozi wa kijamii na kijeshi wengi wamepitia mikononi mwake.
 
Hata aliyekuwa RAIS WA KWANZA WA KATANGA [1960-63] alikuwa ni MTANGANYIKA, mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA.

Tunaambiwa MOISE KAPENDA TSHOMBE alizaliwa na kusoma MSUFINI, shule inayopatikana SHINYANGA MJINI na mwaka 1964, JULAI 10 alifanikiwa kuwa WAZIRI MKUU WA KONGO baada ya CYRILLE ADOURA.

Baada ya HAYATI MOBUTU kuchukua nchi, MOISE TSHOMBE [the late] alienda UHISPANIA kwenda kuishi uhamishoni.

Baadae alihamia ALJERIA, hadi umauti ulivyomkuta lakini tunaambiwa HAYATI MWALIMU alihusika katika ile namna ya kumrudisha TANZANIA.

Kwahiyo VIONGOZI WA KITAIFA na KIJESHI ndiyo huwa wanaishi kwa namna hiyo, hata raia wa kawaida mwenye ukwasi wake anaweza kujipanga na akafanikiwa.

TANZANIA ina mambo sana na mengine unaweza ukastaajabu ukiambiwa na hata kuyasikia.

Lakini HAYATI MWALIMU "was the best", viongozi wa kijamii na kijeshi wengi wamepitia mikononi mwake.

nyamka na wenzie walipitia kwa nyerere, sema baadae walikuja kumgeuka.. 🙏 Kapenda shombe shombe aliongoza Tanganyika kwenye mtihani wa standard four na inawezekana akawa baba mzazi wa Moise Katumbi Chapwe, MCK.. 😂
 
Wenzenu ndiyo huwa wanafanya hivyo, lakini pia ikitokea mtoto amefanikiwa kuingia KUMI [10] BORA iwe kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA ndiyo anabaki TANZANIA.

VIONGOZI WA KITAIFA wengi huwa wanafanya hivyo na wamekuwa wakifanikiwa kwa namna hiyo!

Tangu miaka ya tisini [1960's], sasa hivi ni kizazi cha tatu [3] na watafanikiwa kufika kizazi cha tano [5].
Hawa ndiyo wenye URAMBO yao na kipindi fulani walionesha nia ya kupata fursa ya kuwania nafasi ya kisiasa kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM], sijui waliishia wapi?

Hawa walijitahidi sana kujijenga KIUCHUMI kupitia TAIFA LA KONGO kipindi ambacho JOSEPH KASAVUBU [the late] akiwa RAIS WA KWANZA.

Pia kulikuwa kuna MOISE TSHOMBE ambaye alikuwa RAIS WA KWANZA WA KATANGA, lakini baadae kidogo aliondoka KONGO baada ya JOSEPH KASAVUBU [the late] kuachia madaraka na kumuachia MOBUTU SESE SEKO [the late].
Hii nchi ina mambo mengi!! Huyo ndo Nyerere's son akiwa na wapongo.. 😂 Kwahiyo Makongoro ni kama Rizwan, Aaah! Ngoja nilale kwanza
 
Hata aliyekuwa RAIS WA KWANZA WA KATANGA [1960-63] alikuwa ni MTANGANYIKA, mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA.

Tunaambiwa MOISE KAPENDA TSHOMBE alizaliwa na kusoma MSUFINI, shule inayopatikana SHINYANGA MJINI na mwaka 1964, JULAI 10 alifanikiwa kuwa WAZIRI MKUU WA KONGO baada ya CYRILLE ADOURA.

Baada ya HAYATI MOBUTU kuchukua nchi, MOISE TSHOMBE [the late] alienda UHISPANIA kwenda kuishi uhamishoni.

Baadae alihamia ALJERIA, hadi umauti ulivyomkuta lakini tunaambiwa HAYATI MWALIMU alihusika katika ile namna ya kumrudisha TANZANIA.

Kwahiyo VIONGOZI WA KITAIFA na KIJESHI ndiyo huwa wanaishi kwa namna hiyo, hata raia wa kawaida mwenye ukwasi wake anaweza kujipanga na akafanikiwa.

TANZANIA ina mambo sana na mengine unaweza ukastaajabu ukiambiwa na hata kuyasikia.

Lakini HAYATI MWALIMU "was the best", viongozi wa kijamii na kijeshi wengi wamepitia mikononi mwake.

Wakina nyamka na aliyekuwa cgf wa zimamoto walifanikiwa kuiokoa nchi kutoka mikononi mwa familia ya mtu mmoja ambaye ni nyerere, lakini mambo mengine wamefeli vibaya sanaaaaa
 
nyamka na wenzie walipitia kwa nyerere, sema baadae walikuja kumgeuka.. 🙏
HAYATI MWALIMU ndiyo alifanikiwa kununua ISUZU, FIAT na TATA. Lakini baada ya 1975, TANZANIA haikuweza kuingia tena katika soko la dunia zaidi ya kwenda ASIA na kuanzisha viwanda vingine.

Huko pia walifanikiwa kuanzisha viwanda vingine kama FAW na YUTONG, lakini hauwezi kulinganisha na viwanda vinavyopatikana ULAYA.
Kapenda shombe shombe aliongoza Tanganyika kwenye mtihani wa standard four na inawezekana akawa baba mzazi wa Moise Katumbi Chapwe, MCK.. 😂
c3140d0fd7b1d5996bfb7fbe88d9fbf3.jpg

​
Tunaambiwa hivyo na hata shule ya SEKONDARI YA MASEKELO inayopatikana MSUFINI alijenga yeye na kuikabidhi serikali.

3b69b1b39ef9b3b2d685584d0cea76c2.jpg

​
Jamaa alifanikiwa kujikita katika michezo na sasa hivi ni MWANASIASA mzuri nchini KONGO.
 
Kapenda shombe shombe aliongoza Tanganyika kwenye mtihani wa standard four na inawezekana akawa baba mzazi wa Moise Katumbi Chapwe, MCK.. 😂
MOISE KAPENDA TSHOMBE ni kama ilivyokuwa kwa upande wa HUSEIN OBAMA na historia zao zinataka kufanana.

IMG-20260217-WA0000.jpg

​
HUSEIN OBAMA na MOISE KAPENDA wote walikuwa ni wenyeji wa asili wa MKOA WA SHINYANGA.

HUSEIN OBAMA alioa MSWIDENI na MOISE KAPENDA alioa MUHISPANIA na wote walifanikiwa kupata watoto wanasiasa ambao ni BARACK OBAMA na MOISE KATUMBI.

Sema HUSEIN OBAMA ni mwenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI na ni miongoni mwa WATANGANYIKA 500 waliohamia nchini KENYA wakiambatana na HAYATI MZEE JOMO [1953].

643d98cd5dce5c99fcc6fe8cff6816d4.jpg

​
Hivyo familia ya HUSEIN OBAMA bado ni miongoni mwa familia mia tano [500] zitakazotawala TAIFA LA KENYA, licha ya BARACK OBAMA kufanikiwa kuwa RAIS WA MAREKANI.

Kwahiyo wenzenu ndiyo walifanikiwa na wanaendelea kufanikiwa katika nyanja mbalimbali kwa namna hiyo.
 
Hata sis tumeona, kinachofuata baada ya kuliwa hela zao ni migogoro kama ilivyokuwa kwao huko na sis hututak kuona Tanzania ikiingia kwenye migogoro icyokuwa ya lazima, bora warudi kwao.. 🙏
7adacc02fa5a0224b4c81bb706ba215a.jpg

​
Ukiwekewa hao watu ujue wamekudharau na hawakutakii mema! Ndiyo maana wenzenu huwa hawakai nao.. 😂
 
Wakina nyamka na aliyekuwa cgf wa zimamoto walifanikiwa kuiokoa nchi kutoka mikononi mwa familia ya mtu mmoja ambaye ni nyerere, lakini mambo mengine wamefeli vibaya sanaaaaa
Tunaambiwa walifeli kununua kiwanda cha kutengeneza magari ya MITSUBISHI ambacho kinapatikana nchini JAPANI.

42623320b9bb5d44ead8352c04fea5de.jpg

​
Waliambiwa hawana vigezo vya kununua kampuni za kimataifa na badala yake MITSUBISHI ilinunuliwa na SERIKALI YA BOTSWANA kwa msaada wa UINGEREZA.

74b29887fcc96c993af4e94978a2908f.jpg

​
Pia waliua vitu vingi ikiwemo SEKTA YA ELIMU, kwani baada ya mwaka 1975 ndiyo ilianza kufanyika ACADEMIC GENOCIDE ["repression and falsification of pupils and students academic results"] na elimu ya TANZANIA ilianza kushuka ukilinganisha na viwango vya elimu vinavyotakiwa kimataifa.

Kwahiyo wale waliokuwa viongozi wa MAJESHI YA MAGEREZA na ZIMAMOTO walifanikiwa kuiokoa nchi kutoka mikononi mwa familia ya mtu mmoja na kuweza kufanya TANZANIA kuwa ni JAMHURI YA WATANZANIA, lakini walishindwa vibaya katika masuala yanayohusu jamii na utawala wa kiraia.
 
Suzuki ni nani anamiliki? Pajero na Fuso ni gari za uhakika, mapato yake kwa mwaka unaendesha nchi ya Burundi
 
MOISE KAPENDA TSHOMBE ni kama ilivyokuwa kwa upande wa HUSEIN OBAMA na historia zao zinataka kufanana.

HUSEIN OBAMA na MOISE KAPENDA wote walikuwa ni wenyeji wa asili wa MKOA WA SHINYANGA.

HUSEIN OBAMA alioa MSWIDENI na MOISE KAPENDA alioa MUHISPANIA na wote walifanikiwa kupata watoto wanasiasa ambao ni BARACK OBAMA na MOISE KATUMBI.

Sema HUSEIN OBAMA ni mwenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI na ni miongoni mwa WATANGANYIKA 500 waliohamia nchini KENYA wakiambatana na HAYATI MZEE JOMO [1953].

Hivyo familia ya HUSEIN OBAMA bado ni miongoni mwa familia mia tano [500] zitakazotawala TAIFA LA KENYA, licha ya BARACK OBAMA kufanikiwa kuwa RAIS WA MAREKANI.

Kwahiyo wenzenu ndiyo walifanikiwa na wanaendelea kufanikiwa katika nyanja mbalimbali kwa namna hiyo.

Watanganyika waliohamia Kongo wapo sawa na Watanganyika waliohamia Kenya, wote ni matajiri sanaaaaa na kinachowakwamisha watanganyika waliobaki Tanzania kupiga hatua za kimaendeleo ni mfumo wa kiutawala.. 🙏 Fujo nyingi
 
Wamelaaniwa hao watu!! Ni matajiri lakin wana dhiki sanaaaaa
 
HAYATI MWALIMU ndiyo alifanikiwa kununua ISUZU, FIAT na TATA. Lakini baada ya 1975, TANZANIA haikuweza kuingia tena katika soko la dunia zaidi ya kwenda ASIA na kuanzisha viwanda vingine.

Huko pia walifanikiwa kuanzisha viwanda vingine kama FAW na YUTONG, lakini hauwezi kulinganisha na viwanda vinavyopatikana ULAYA.

Tunaambiwa hivyo na hata shule ya SEKONDARI YA MASEKELO inayopatikana MSUFINI alijenga yeye na kuikabidhi serikali.

Jamaa alifanikiwa kujikita katika michezo na sasa hivi ni MWANASIASA mzuri nchini KONGO.

TP Mazembe ni watanzania watupu! AS Far Rabat ni waholanzi wote wa Moroko, AL Ahly ni waingereza wote wa Misri kasoro wachezaji weusi na Pyramid ni waswideni wa Misri.. 🙏
 
Suzuki ni nani anamiliki? Pajero na Fuso ni gari za uhakika, mapato yake kwa mwaka unaendesha nchi ya Burundi
Sijui! Tunaambiwa hivyo, lakini pia kipindi ambacho HAYATI MWALIMU amefanikiwa kununua kampuni ya TATA tayari alikuwa amefanikisha kumiliki nusu ya hisa katika kiwanda cha HONDA [1975].

a258b41791c9dd1e260eea74daf5d6a1.jpg

​
Baada ya miaka mingi kupita! Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's], aliyewahi kuwa CGP MWANGUKU ndiyo akamalizia nusu ya hisa iliyokuwa imebaki na hicho kilikuwa ni kipindi cha MZEE RUKSA.
 
Back
Top Bottom