Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Watanganyika waliohamia Kongo wapo sawa na Watanganyika waliohamia Kenya, wote ni matajiri sanaaaaa na kinachowakwamisha watanganyika waliobaki Tanzania kupiga hatua za kimaendeleo ni mfumo wa kiutawala.. 🙏 Fujo nyingi
fa4e0ec126791242d8205d8007b47c63.jpg

​
Tunaambiwa hata yule WAZIRI MKUU WA KWANZA WA KONGO, CYRILLE ADOURA alikuwa ni MTANGANYIKA.

58d956ff75a78864ab9d51f5a552b80c.jpg

​
Tunaambiwa kwa mara ya kwanza, kabla ya kutokea mabadiliko ya kisiasa nchini KONGO ~ walikuwa wamepanga NAFASI YA URAIS itaenda kwa MNYAMWEZI na NAFASI YA UWAZIRI UKUU itaenda kwa MSUKUMA na CYRILLE ADOURA alikuwa ni MTANGANYIKA mwenye asili ya USUKUMA.

Wale WATANGANYIKA waliohamia KONGO, wapo vizuri KIUCHUMI tangu miaka ya sitini [1960's] na vizazi vyao vipo kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

759b0e3f71f9de7cb72f021a3d2255b0.jpg

​
Kwahiyo hata kizazi cha CYRILLE ADOURA kitakuwepo na kinatambulika kwa upande wa TAIFA LA KONGO ~ kwa sababu alikuwa ni WAZIRI MKUU WA KWANZA WA KONGO.
 
Wamelaaniwa hao watu!! Ni matajiri lakin wana dhiki sanaaaaa

Wenzenu walitaka kufanya TANZANIA kuwa kama KONGO au KOLOMBIA, halafu wao na watoto wao wanaenda kuishi nje ya nchi.

700adb1c174971a968a1a6725418abe8.jpg

Hata KOLOMBIA ilikuwa kama TANZANIA, kwani na wao walifanikiwa kuwa SOBER HOUSE kwa wenyeji wa asili wa YUGOSLAVIA [KOSOVO].

28e799e0c6bdd538289e5793c1eabfd5.jpg

Baadae KOLOMBIA ilikuja kugubikwa na machafuko ya kivita, biashara za madawa ya kulevya pamoja na mdororo wa kiuchumi.

ea4ac9eb0b22e2b065c7b0a13bbbf7e8.jpg

Lakini sehemu ambayo bado haijaathirika na matatizo ya kijamii kwa kiasi kikubwa ni MATAIFA YA MASHARIKI - huko ULAYA na AFRIKA hakuna wa kumcheka mwenzake, kwani YUGOSLAVIA iliwatia dosari kubwa sana ULAYA na wenzenu huwa wanaona aibu na hawapendi kabisa kuzungumza kuhusu madhira ya YUGOSLAVIA.
 
TP Mazembe ni watanzania watupu! AS Far Rabat ni waholanzi wote wa Moroko, AL Ahly ni waingereza wote wa Misri kasoro wachezaji weusi na Pyramid ni waswideni wa Misri.. 🙏
142d227d3c7f02dc6b43a60f1aacf432.jpg

Hizo timu za AS FAR RABAT pamoja na PYRAMID ni nzuri na unaweza kuanza kujenga mahusiano na WAHOLANZI au WASWIDENI kwa manufaa ya baadae.

ce7f8c74446aa03d1bb799c6c3234ef3.jpg

​
Hawa wote ni WASWIDENI kasoro wanamichezo weusi wanaopatikana katika timu hiyo inayoshiriki LIGI KUU YA MISRI.

21ad4e7baf74aa91b8c911af1d54e32e.jpg

​
Wenzenu ndiyo huwa wanafanya hivyo na siyo lazima kwenda ULAYA, kwa sababu hata hawa waliopo kwenye hizo timu ni WAZUNGU na wana dhana zote zinazohitajika katika timu za mpira wa miguu.

2d9a9bafc665a4094be95319c7212f75.jpg

​
Kwahiyo sasa hivi kuna umuhimu wa kuboresha mahusiano ya kijamii ili kupata wigo mpana wa kushiriki katika masuala yanayohusu jamii.
 
Tunaambiwa hata yule WAZIRI MKUU WA KWANZA WA KONGO, CYRILLE ADOURA alikuwa ni MTANGANYIKA.

Tunaambiwa kwa mara ya kwanza, kabla ya kutokea mabadiliko ya kisiasa nchini KONGO ~ walikuwa wamepanga NAFASI YA URAIS itaenda kwa MNYAMWEZI na NAFASI YA UWAZIRI UKUU itaenda kwa MSUKUMA na CYRILLE ADOURA alikuwa ni MTANGANYIKA mwenye asili ya USUKUMA.

Wale WATANGANYIKA waliohamia KONGO, wapo vizuri KIUCHUMI tangu miaka ya sitini [1960's] na vizazi vyao vipo kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

Kwahiyo hata kizazi cha CYRILLE ADOURA kitakuwepo na kinatambulika kwa upande wa TAIFA LA KONGO ~ kwa sababu alikuwa ni WAZIRI MKUU WA KWANZA WA KONGO.

Hawa ni matajiri had leo na vizazi vyao vipo Tanzania, sema nafasi ya ukuu wa polisi wa kongo had leo imeshikiliwa na watanzania
 
Wenzenu walitaka kufanya TANZANIA kuwa kama KONGO au KOLOMBIA, halafu wao na watoto wao wanaenda kuishi nje ya nchi.

Hata KOLOMBIA ilikuwa kama TANZANIA, kwani na wao walifanikiwa kuwa SOBER HOUSE kwa wenyeji wa asili wa YUGOSLAVIA [KOSOVO].

Baadae KOLOMBIA ilikuja kugubikwa na machafuko ya kivita, biashara za madawa ya kulevya pamoja na mdororo wa kiuchumi.

Lakini sehemu ambayo bado haijaathirika na matatizo ya kijamii kwa kiasi kikubwa ni MATAIFA YA MASHARIKI - huko ULAYA na AFRIKA hakuna wa kumcheka mwenzake, kwani YUGOSLAVIA iliwatia dosari kubwa sana ULAYA na wenzenu huwa wanaona aibu na hawapendi kabisa kuzungumza kuhusu madhira ya YUGOSLAVIA.

Hata Libya ilikuwa ni nchi ya wakosovo na baadae walifanikiwa kupinduliwa
 
WAARABU walikuwa ni watu weusi kama WAAFRIKA wengine na baada ya uvamizi wa WATU WEUPE, iliwalazimu kuhamia BURKINA FASO.

6065808724daae9f095fabad8af35850.jpg

BURKINA FASO ndiyo nchi ya WAARABU! Hao ndiyo waanzilishi wa taifa la BURKINA FASO, sema wao pia ni watu wa kuhama hama na wamefanikiwa kusambaa sana katika BARA LA AFRIKA.

561e127686567f708bda4d1762c5a216.jpg

Lakini yale mataifa ya KASKAZINI MWA AFRIKA yanatawaliwa na walowezi wa kutoka ULAYA, ni WAZUNGU!

0857aa30981ae19334b7eefeef8e0628.jpg

​
Yale mataifa yote ya AFRIKA YA KASKAZINI yamefanikiwa kukaliwa na walowezi wa kutoka ULAYA na mwanzoni walikuwa ni walowezi wa kutoka katika taifa la YUGOSLAVIA, kabla ya kuchanganyikana na mataifa mengine ya magharibi.

f047e047ec6e17ce3e716518dd720608.jpg

​
RAIS WA LIBYA, MUAMAR GADAFI [the late] alikuwa ni mwenyeji wa asili wa YUGOSLAVIA [KOSOVO], hata ile "ARAB SPRING" ilikuwa imelenga kuwaondoa madarakani wale VIONGOZI WA KITAIFA katika mataifa ya KIARABU wenye asili ya YUGOSLAVIA.

MATAIFA YA ULAYA ndiyo yaliyokuwa nyuma ya "ARAB SPRING" na walifanikiwa kuleta mabadiliko ya kisiasa.

231751af43c272f7540700b71d810802.jpg

Sasa hivi idadi kubwa ya mataifa ya AFRIKA YA KASKAZINI yanakaliwa na WAJERUMANI.

7ffc5d38b888ee4de7736a818428932b.jpg

​
Tunaambiwa idadi kubwa ya walinzi binafsi wa RAIS WA LIBYA walikuwa ni jinsia ya kike wenye asili ya KIARABU na KIAFRIKA.

1c6c401e97cf6127c6908f261356cd73.jpg

​
YUGOSLAVIA ina raia wengi tajiri na walifanikiwa kutawala mataifa mbalimbali duniani, hata BULGARIA walishawahi kuongoza na kufanikiwa kuwa na RAIS katika SERIKALI YA BULGARIA.

72659a1152bd3bbf0a16b87828bfa829.jpg

​
Kwahiyo huwa siyo watu wa mchezo mchezo! Hata wakihitaji kuwaondoa WAKOSOVO wanaoishi TANZANIA, itawagharimu wiki mbili tu na watakuwa wameondoka wote kwa kuhudumia gharama zote za usafiri.

788571effa48850da00788a69626e9f6.jpg

​
Baada ya matukio kuwa mengi yanayohusu mataifa na wenyeji wa asili wa ULAYA, mataifa mengi ya KIAFRIKA yameelekeza mahusiano yao katika MATAIFA YA MASHARIKI, hasa CHINA.
 
Hizo timu za AS FAR RABAT pamoja na PYRAMID ni nzuri na unaweza kuanza kujenga mahusiano na WAHOLANZI au WASWIDENI kwa manufaa ya baadae.

Hawa wote ni WASWIDENI kasoro wanamichezo weusi wanaopatikana katika timu hiyo inayoshiriki LIGI KUU YA MISRI.

Wenzenu ndiyo huwa wanafanya hivyo na siyo lazima kwenda ULAYA, kwa sababu hata hawa waliopo kwenye hizo timu ni WAZUNGU na wana dhana zote zinazohitajika katika timu za mpira wa miguu.

Kwahiyo sasa hivi kuna umuhimu wa kuboresha mahusiano ya kijamii ili kupata wigo mpana wa kushiriki katika masuala yanayohusu jamii.
Mataifa ya afrikka kaskazin huwa ni wazungu na wanazaliana sanaaaaa
 
WAARABU walikuwa ni watu weusi kama WAAFRIKA wengine na baada ya uvamizi wa WATU WEUPE, iliwalazimu kuhamia BURKINA FASO.

BURKINA FASO ndiyo nchi ya WAARABU! Hao ndiyo waanzilishi wa taifa la BURKINA FASO, sema wao pia ni watu wa kuhama hama na wamefanikiwa kusambaa sana katika BARA LA AFRIKA.

Lakini yale mataifa ya KASKAZINI MWA AFRIKA yanatawaliwa na walowezi wa kutoka ULAYA, ni WAZUNGU!

Yale mataifa yote ya AFRIKA YA KASKAZINI yamefanikiwa kukaliwa na walowezi wa kutoka ULAYA na mwanzoni walikuwa ni walowezi wa kutoka katika taifa la YUGOSLAVIA, kabla ya kuchanganyikana na mataifa mengine ya magharibi.

RAIS WA LIBYA, MUAMAR GADAFI [the late] alikuwa ni mwenyeji wa asili wa YUGOSLAVIA [KOSOVO], hata ile "ARAB SPRING" ilikuwa imelenga kuwaondoa madarakani wale VIONGOZI WA KITAIFA katika mataifa ya KIARABU wenye asili ya YUGOSLAVIA.

MATAIFA YA ULAYA ndiyo yaliyokuwa nyuma ya "ARAB SPRING" na walifanikiwa kuleta mabadiliko ya kisiasa.

Sasa hivi idadi kubwa ya mataifa ya AFRIKA YA KASKAZINI yanakaliwa na WAJERUMANI.

Tunaambiwa idadi kubwa ya walinzi binafsi wa RAIS WA LIBYA walikuwa ni jinsia ya kike wenye asili ya KIARABU na KIAFRIKA.

YUGOSLAVIA ina raia wengi tajiri na walifanikiwa kutawala mataifa mbalimbali duniani, hata BULGARIA walishawahi kuongoza na kufanikiwa kuwa na RAIS katika SERIKALI YA BULGARIA.

Kwahiyo huwa siyo watu wa mchezo mchezo! Hata wakihitaji kuwaondoa WAKOSOVO wanaoishi TANZANIA, itawagharimu wiki mbili tu na watakuwa wameondoka wote kwa kuhudumia gharama zote za usafiri.

Baada ya matukio kuwa mengi yanayohusu mataifa na wenyeji wa asili wa ULAYA, mataifa mengi ya KIAFRIKA yameelekeza mahusiano yao katika MATAIFA YA MASHARIKI, hasa CHINA.

Wajeruman ndo walioleta mabadiliko ya kisiasa katika mataifa ya kiarabu, ni watu hatari na wakosovo wamekua ni watu wakutangatanga kama ilivyo kwa wakongo na hela wanazo.
 
ULAYA ikiongozwa na UJERUMANI ndiyo waliopanga na kukamilisha "ARAB SPRING" katika mataifa ya MASHARIKI YA KATI.

f626082f91877ff669fa6d79b707c11d.jpg

​
Unajua MASHARIKI YA KATI wana utajiri mkubwa wa mafuta ghafi na kipindi chote mataifa hayo yalikuwa yamekaliwa na wenyeji wa asili wa YUGOSLAVIA [KOSOVO].

b082a7d8d4198d5e1a9f0876f82dada8.jpg

​
Ukiachana na MASHARIKI YA KATI, hao wenyeji wa asili wa YUGOSLAVIA [KOSOVO] ndiyo wenye SERIKALI YA SINGAPORE hadi leo na tunaambiwa wana uwezo mkubwa wa kufanya maamuzi ya kiutawala na kiutendaji kwa kutegemea imani ya dini yao.

93b4d942b57c0a010406ee72c4e9e75a.jpg

​
Sasa TANZANIA inahusika vipi? TANZANIA ilibeba majukumu ya UMOJA WA AFRIKA [AU] baada ya kutoa hifadhi kwa WAHANGA WA VITA na kuhifadhi baadhi ya amali zilizokuwa zinamilikiwa na VIONGOZI WA LIBYA akiwemo RAIS.

Pia kuna baadhi ya watoto wa aliyekuwa RAIS WA SYRIA ambao walisoma katika moja ya shule inayopatikana jijini DAR ES SALAAM.

_20260223_211420.JPG

Baadae yule mwanafunzi wa kiume alifariki na taarifa za kifo chake zilitangazwa kwenye vituo vya televisheni vinavyomilikiwa na IPP MEDIA.

1f3498f5dc391e16c7350292abe99c18.jpg

​
Yaani walifanya kama ilivyokuwa kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO bila ya kujali wala kuzingatia athari za kijamii kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
 
ULAYA ikiongozwa na UJERUMANI ndiyo waliopanga na kukamilisha "ARAB SPRING" katika mataifa ya MASHARIKI YA KATI.

Unajua MASHARIKI YA KATI wana utajiri mkubwa wa mafuta ghafi na kipindi chote mataifa hayo yalikuwa yamekaliwa na wenyeji wa asili wa YUGOSLAVIA [KOSOVO].

Ukiachana na MASHARIKI YA KATI, hao wenyeji wa asili wa YUGOSLAVIA [KOSOVO] ndiyo wenye SERIKALI YA SINGAPORE hadi leo na tunaambiwa wana uwezo mkubwa wa kufanya maamuzi ya kiutawala na kiutendaji kwa kutegemea imani ya dini yao.

Sasa TANZANIA inahusika vipi? TANZANIA ilibeba majukumu ya UMOJA WA AFRIKA [AU] baada ya kutoa hifadhi kwa WAHANGA WA VITA na kuhifadhi baadhi ya amali zilizokuwa zinamilikiwa na VIONGOZI WA LIBYA akiwemo RAIS.

Pia kuna baadhi ya watoto wa aliyekuwa RAIS WA SYRIA ambao walisoma katika moja ya shule inayopatikana jijini DAR ES SALAAM.

Baadae yule mwanafunzi wa kiume alifariki na taarifa za kifo chake zilitangazwa kwenye vituo vya televisheni vinavyomilikiwa na IPP MEDIA.

Yaani walifanya kama ilivyokuwa kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO bila ya kujali wala kuzingatia athari za kijamii kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

Huyo dogo alikuwa anasoma feza na alifanana sanaaaaa na baba yake.. 🙏 Wakosovo wana hela
 
Pia ndo walileta teknolojia ya kupaa na ungo na vitu vingine vingi vinavyohitajika kwenye majeshi.. 🙏 Ni hatari kwenye masuala ya uchawi uchawi.. 😂 Hao ndo Indonesia na Malaysia, ni jamii ambayo wana uchumi mkubwa ukilinganisha na mataifa mengi ya afrika
 
634cc708d9e4d62fce2b67c6c1f458ea.jpg

​
Pia walisaidia kuanzisha kampuni nyingi za kibiashara, lakini idadi yao kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA inatakiwa isivuke kile kiwango kinachotakiwa na JUMUIYA YA UMOJA WA MATAIFA [UN CHARTER].
 
Hao ndo waanzilishi wa Azania na Azam!! Wapo vizuri, tatizo ni mavurugu yao.. Hawana tofauti na wakongo.. 😂
 
Tunaambiwa alikuwa amepata nafasi ya kujiunga na masomo ya kidato cha tano [5] katika shule ya vipaji maalum, KIBAHA.. 😏
Vishua tunawapeleka kibaha, mzumbe,, tabora boys na ilboru wakasome na watoto wakina nyalandu na mwigulu halaf baada ya hapo ni jeshinimkndu.. 🙏
 
WAARABU walikuwa ni watu weusi kama WAAFRIKA wengine na baada ya uvamizi wa WATU WEUPE, iliwalazimu kuhamia BURKINA FASO.

BURKINA FASO ndiyo nchi ya WAARABU! Hao ndiyo waanzilishi wa taifa la BURKINA FASO, sema wao pia ni watu wa kuhama hama na wamefanikiwa kusambaa sana katika BARA LA AFRIKA.

Lakini yale mataifa ya KASKAZINI MWA AFRIKA yanatawaliwa na walowezi wa kutoka ULAYA, ni WAZUNGU!

Yale mataifa yote ya AFRIKA YA KASKAZINI yamefanikiwa kukaliwa na walowezi wa kutoka ULAYA na mwanzoni walikuwa ni walowezi wa kutoka katika taifa la YUGOSLAVIA, kabla ya kuchanganyikana na mataifa mengine ya magharibi.

RAIS WA LIBYA, MUAMAR GADAFI [the late] alikuwa ni mwenyeji wa asili wa YUGOSLAVIA [KOSOVO], hata ile "ARAB SPRING" ilikuwa imelenga kuwaondoa madarakani wale VIONGOZI WA KITAIFA katika mataifa ya KIARABU wenye asili ya YUGOSLAVIA.

MATAIFA YA ULAYA ndiyo yaliyokuwa nyuma ya "ARAB SPRING" na walifanikiwa kuleta mabadiliko ya kisiasa.

Sasa hivi idadi kubwa ya mataifa ya AFRIKA YA KASKAZINI yanakaliwa na WAJERUMANI.

Tunaambiwa idadi kubwa ya walinzi binafsi wa RAIS WA LIBYA walikuwa ni jinsia ya kike wenye asili ya KIARABU na KIAFRIKA.

YUGOSLAVIA ina raia wengi tajiri na walifanikiwa kutawala mataifa mbalimbali duniani, hata BULGARIA walishawahi kuongoza na kufanikiwa kuwa na RAIS katika SERIKALI YA BULGARIA.

Kwahiyo huwa siyo watu wa mchezo mchezo! Hata wakihitaji kuwaondoa WAKOSOVO wanaoishi TANZANIA, itawagharimu wiki mbili tu na watakuwa wameondoka wote kwa kuhudumia gharama zote za usafiri.

Baada ya matukio kuwa mengi yanayohusu mataifa na wenyeji wa asili wa ULAYA, mataifa mengi ya KIAFRIKA yameelekeza mahusiano yao katika MATAIFA YA MASHARIKI, hasa CHINA..

Waarabu wa Burkina Faso walienda mahakama ya ICC kuhusu kudai Libya yao na walishinda kesi, wazungu ambao ni wakina Gadafi walitakiwa kuondoka kwa sababu nchi siyo yao na waliikalia kimakosa... 🙏
Wapo vizuri sana! Shida ni uhasama walionao na mataifa mengine ya ulaya, hasa UINGEREZA na hupaswi kuwaingilia.

Huwa ni wataalam wa masuala ya teknolojia na viwanda, hasa fani za UHANDISI.

Ni huzuni kwakwel, ngoja sie tujilie hela za wakongo lakini mjerumani pesa zake haziliwi ovyo ovyo
 
Waarabu wa Burkina Faso walienda mahakama ya ICC kuhusu kudai Libya yao na walishinda kesi, wazungu ambao ni wakina Gadafi walitakiwa kuondoka kwa sababu nchi siyo yao na waliikalia kimakosa... 🙏

Ni huzuni kwakwel, ngoja sie tujilie hela za wakongo lakini mjerumani pesa zake haziliwi ovyo ovyo

Tunaambiwa baada ya kushindwa mahakamani, waliamua kuharibu nchi na kuondoka!

3cc25775e7f09ef5ac1e784eff8cfc23.jpg

Yaani ni michezo inayofanyika katika mataifa ya AFRIKA YA MAGHARIBI pamoja na AFRIKA YA KASKAZINI.

fbbdc905906eccf473bbfbace70eae58.jpg

Hata BURKINA FASO pamoja na SIERRA LEONE, ni mataifa ambayo yalijengwa na WAKONGOMANI lakini baadae walikuja kupinduliwa na kupoteza kila kitu.

a142279108832c1e4d1c2c7b7e98031e.jpg

​
Kwahiyo sasa hivi LIBYA inakaliwa na WAJERUMANI, lakini baadae WAARABU watarudi katika taifa lao.
 
Back
Top Bottom