Unajua elimu ya kidato cha tano [ADVANCED LEVEL] kuna michepuo sitini na tano [65] iliyosajiliwa na BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA].
Bila ya kusahau masomo ya BASIC APPLIED MATHEMATICS [BAM] pamoja na DEVELOPMENT STUDIES [DS] kama masomo ya ziada, lakini yanahesabika katika kutafuta wastani wa alama za ufaulu katika MTIHANI WA DARASANI, MTIHANI WA MOKO pamoja na MTIHANI WA TAIFA.
Sasa TANO BORA [TOP FIVE] KITAIFA katika kila mchepuo, unatumika kupata wanafunzi ambao watakuwa na sifa ya UJASUSI wanaotakiwa kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA na huwa ni lazima kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kutokana na ufaulu wa mwanafunzi husika unaotakiwa kuwa na wastani zaidi ya sabini na tano [>75%].
Kwa LUGHA NYEPESI, kwa upande wa MTIHANI WA KIDATO CHA SITA pekee yake, kila mwaka wanapatikana wanafunzi mia tatu ishirini na tano [325] ambao wanakuwa na sifa ya UJ
ASUSI katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Huwa inafanyika hivyo hivyo kwa upande wa MTIHANI WA KIDATO CHA NNE ~ TANO BORA [TOP FIVE] KITAIFA katika kila mchepuo huwa ni lazima kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kutokana na kukidhi ile sifa ya UJAJUSI na kufikisha alama ya wastani zaidi ya sabini na tano [>75%].
Hata MTIHANI WA KIDATO CHA PILI ~ TANO BORA [TOP FIVE] KITAIFA huwa ni lazima kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Hali hii, ipo hivyo hivyo kwa upande wa MTIHANI WA DARASA LA SABA na MTIHANI WA DARASA LA NNE ~ TANO BORA [TOP FIVE] KITAIFA huwa ni lazima kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kutokana na kukidhi ile sifa ya UJAJUSI.
Maana wanasema, sifa kubwa ya UJAJUSI ni kuwa MUWAJIBIKAJI na UWAJIBIKAJI katika malezi na ukujuaji wa raia huwa unapimwa kupitia masomo na ufualu wa mwanafunzi anapokuwa SHULENI.
Kwahiyo elimu ya msingi na elimu ya sekondari kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ilikuwa imesimama vizuri tangu mwanzo, sema baadae kulitokea "MALICIOUS ACTIVITIES" kama kufanya "ACADEMIC GENOCIDE" ambayo kwa miaka michache itakayofuata itaondolewa na hali italejea kama zamani.