BABU NYAU
JF-Expert Member
- Feb 15, 2025
- 1,122
- 1,257
Watanzania tunajuana, hivyo hakuna wa kumpa shida mwenzie.. 🙏Ushetani hawajaanza leo
Watanzania tunajuana, hivyo hakuna wa kumpa shida mwenzie.. 🙏Ushetani hawajaanza leo
Zamani town ilikuwa inawika sanaaaaa.. 🙏 Nakumbuka miaka hiyo kulikuwa kuna wakina Zeana Hemed na Tereza Justo, tangu walipoanza darasa la kwanza had wanamaliza standard seven walikuwa hawajawahi kutoka top ten. Lakini ikija mitihani ya nje wanaongoza wakina Minan.. 😂 Mwenge ilitoa mwanafunzi wa tatu, yule mtoto wa ng'wani na alikuwa na vitabu vyote vya Jipime na Jiandae kwa ajili ya kufanya mtihani wa darasa la saba.. 🙏
Afriak ya Kusin walikuja Tanzania kujifunza namna ya kuwa na mfumo wa elimu bora, lakini ile hatua ya matio kuzaa watoto arobain waliikataa kwa kuogoppa watakuwa na watoto wengi wa mitaani.. 🙏
Hata misukosuko waliondoa kwa matio, saivi Sauzi ni super kwa upande wa elimu
Kajamaa kanajua had kanakera!! Wenzio wanasema mlikuwa mnaficha materials ya kujisomea, ukija kuangalia matokeo unaona Buthelezi anaongoza.... 😂Wenzenu ndiyo huwa wanapitia huko! Baada ya hapo inakuwa ni mteremko, kwa sababu inakuwa ni lazima na siyo hiari kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Wakuu wote wa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA huwa wanatokea shule ya msingi pamoja na shule ya sekondari, pale BALAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA].
Ndo huwa ipo hivyo na cku za mbeleni majeshi yote yataongozwa na matio, had jesh la uhifadhi na wanyamaporiSasa hivi wenzenu wanajitahidi kuhakikisha kuwa wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO BORA [TOP FIVE] KITAIFA wanaanzia JESHI LA POLISI wote!
Wakishindwa sana, wanaingia MAJESHI YA MAGEREZA, ZIMAMOTO na UHAMIAJI ili wakifikisha miaka arobaini [40], ndiyo wanajiunga katika CHUO CHA NDC kwa kuanzia cheo cha MEJA au LUTENI KANALI.
Baadae hao ndiyo wanakuwa ni MAJENERALI WA JESHI LA ULINZI, hata CDF ndiyo atakuwa anapatikana kutoka hapo!
Halafu wale askari wengine walioanzia na kupitia mafunzo ya awali kutoka JESHI LA ULINZI watakuwa wanaishia cheo cha KANALI.
Kwahiyo kama mambo yakienda kama yalivyopangwa hadi kufikia 2030, JESHI LA ULINZI litakuwa linaongozwa na askari kutoka MAJESHI YA MAGEREZA, POLISI, ZIMAMOTO na UHAMIAJI.
Huyo binti ni kizazi cha Kwame Nkurumah, hata Ghana walikuja Tanzania kujifunza namna ya kuendesha mfumo wa elimu kipindi cha Nyerere. Lakin saivi Tanzania wanatafuta nan wa kumpa lawama baada ya mambo kuwa magumu kwa upande wao.. 🙏
Mataifa mengine kama GHANA walifanikiwa kuwa na KAMANDI YA JESHI LA POLISI ndani ya JESHI LA ULINZI.
Wao wanaita ni MILITARY POLICE COMMAND [MPC] au MILITARY POLICE BRIGADE [MPB] na inakuwa na kiongozi wa kijeshi ambaye ni JENERALI aliyeanza na kusoma mafunzo ya awali ya JESHI LA POLISI.
Tangu wameanzisha hiyo MPC au MPB ni miaka imepita na wanaendelea kufanya vizuri katika masuala yanayohusu ULINZI NA USALAMA.
MPC au MPB wanakuwa ni askari jeshi waliopitia mafunzo ya awali ya JESHI LA POLISI.
Yaani wanakuwa wanafanya kazi ya JESHI LA POLISI ndani ya JESHI LA ULINZI.
Kwahiyo wenzenu pamoja na kufuata sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] ile kikamilifu..
Bado wameenda mbali zaidi katika kuboresha majeshi yao.
Wenzenu walikimbilia kukaguliwa mikund, lakini saivi wote wamerudi majumbani kwao na wengine ni mama lishe.. 😂Wenzenu ndiyo huwa wanapitia huko! Baada ya hapo inakuwa ni mteremko, kwa sababu inakuwa ni lazima na siyo hiari kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Wakuu wote wa MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA huwa wanatokea shule ya msingi pamoja na shule ya sekondari, pale BALAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA].
Wenzenu walikimbilia kukaguliwa mikund, lakini saivi wote wamerudi majumbani kwao na wengine ni mama lishe.. 😂
Ngoja waingie wanaume.. 🙏🏽Huyo binti ni kizazi cha Kwame Nkurumah, hata Ghana walikuja Tanzania kujifunza namna ya kuendesha mfumo wa elimu kipindi cha Nyerere. Lakin saivi Tanzania wanatafuta nan wa kumpa lawama baada ya mambo kuwa magumu kwa upande wao.. 🙏
Ndo huwa ipo hivyo na cku za mbeleni majeshi yote yataongozwa na matio, had jesh la uhifadhi na wanyamapori
Kwenye kujunja na kuhonga hakuna mpinzan.. 😂 Safari hii watazeeka na utamu wao.. 🙏🏽
Magereza na zimamoto ndo kuna mpambano mkali, Polis pametulia lakini jeshini hawajielewi..Ngoja waingie wanaume.. 🙏🏽
Wale watu wa mwanzo walikuwa wakosea sana! Kwa sababu hauwezi kuruhusu watu wengine walioshindwa kuishi pamoja kwa kuvumiliana huko makwao kuja kuishi TANZANIA, halafu utegemee matokeo chanya.
Hata MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA yote yakiongozwa na WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's], bila ya kuzingatia athari za kijamii ni kazi bure!
Hauwezi ukaandaa WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] katika jamii ambayo imejumuisha "MALICIOUS ACTIVITIES" pamoja na "MALIWARES" ~ hauwezi kupata matokeo yaliyokusudiwa.
Kwahiyo ni vyema kuondoa "MALICIOUS ACTIVITIES" pamoja na "MALIWARES" zote ili kupata matokeo mazuri.
Huyo binti ni kizazi cha Kwame Nkurumah, hata Ghana walikuja Tanzania kujifunza namna ya kuendesha mfumo wa elimu kipindi cha Nyerere. Lakin saivi Tanzania wanatafuta nan wa kumpa lawama baada ya mambo kuwa magumu kwa upande wao.. 🙏
Wenzenu walikimbilia kukaguliwa mikund, lakini saivi wote wamerudi majumbani kwao na wengine ni mama lishe.. 😂
Zamani mtandao ulikuwa una nguvu hadi mashuleni! Sijui sasa hivi hali ikoje, lakini ulikuwa unakuta mwanafunzi anaingia KUMI [10] BORA darasani, lakini hana uwezo unaostahili.Kajamaa kanajua had kanakera!! Wenzio wanasema mlikuwa mnaficha materials ya kujisomea, ukija kuangalia matokeo unaona Buthelezi anaongoza.... 😂
Ndiyo maana wenzenu huwa hawakai nao.. 🙏🏽Ushetani hawajaanza leo
Huo mtandao ulikuwaga unaanzia juu. Lakin necta ya darasa la saba mwaka 2003 ndo ilikuwaga necta..Zamani mtandao ulikuwa una nguvu hadi mashuleni! Sijui sasa hivi hali ikoje, lakini ulikuwa unakuta mwanafunzi anaingia KUMI [10] BORA darasani, lakini hana uwezo unaostahili.
Hata nafasi walizokuwa wanachaguliwa kujiunga na KIDATO CHA KWANZA zilikuwa zimejaa upendeleo!
Sasa wenzenu waliamua kujichimbia kwa kusoma na walifanikiwa kuingia TANO [5] BORA KITAIFA wote wawili kwa upande wa DARASA LA SABA [2003].
Hata mtihani wa taifa wa KIDATO CHA PILI, wenzenu walifanikiwa kuingia TANO [5] BORA KITAIFA [2005] na kuwa na sifa ya kuwa JENERALI WA JESHI LA ULINZI na lazima kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
Hata mtihani wa taifa wa kidato cha nne, wenzenu walifanikiwa kuingia TANO [5] BORA KITAIFA ~ sema kuna wanafunzi wengine walikuwa tayari wameshalizika baada ya kufanikiwa kuingia TANO [5] BORA KITAIFA kwa upande wa KIDATO CHA PILI.
Wenzenu waliendelea hivyo hivyo hata mtihani wa kidato cha sita na walifanikiwa kuingia TANO [5] BORA KITAIFA.
Sasa hivi kuna wanafunzi ambao ni KAPTENI WA JESHI LA ULINZI, wengine ni SP WA POLISI na MAGEREZA! Lakini kwa wale wanafunzi waliofanikiwa kuwa WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] huwa wanajiunga na jeshi wakiwa na cheo cha SP na 2010 alipatikana mwanafunzi mwenye cheo cha ACP WA POLISI kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA].
Kwahiyo wenzenu ndiyo huwa wanafanya hivyo, sema huu utaratibu ulikuwa unatamburika kwa watu wachache na watu wengi walikuwa hawaufahamu.